nauza

  1. S

    JamiiForums Tanzania Nauza vifaranga vya Kloila

    Nauza kloila vifaranga vya wiki 7 mbegu kubwa wamepata chanjo 4 Bei:7500 Location Sae Mbeya, 0676692082 SIFA Wana stahimili magonjwa Hufikia uzito wa kilo 5 kwa Jogoo na kilo 3.5 hadi 4 kwa tetea Wanaweza fugwa kienyeji hivyo hupunguza gharama za ufugaji Nyama na mayai ya kloila yana ladha...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nauza plot Tegeta A kwa bedui -Goba.

    Kiwanja kipo karibu na kanisa la Sabato dakika 5 kutoka barabara inayoelekea Goba mpakani. Kiwanja kina mapana yafuatayo. Upande unapakana na barabara ni mita 16 na marefu yake ni mita 38. Upande wake wa nyuma ni mita 22. Bei yake kuanzia TZS26 milioni. Maongezi yapo tuwasiliane
  3. JamiiForums Tanzania NAUZA MAFUTA YA DIESEL LITA ZAIDI YA MILIONI MOJA.

    Nauza diesel iliyothibithswa na yenye Vibali vya EWURA, nauza Lita 2600 tshs Sharti: Ili tufanye biashara lazima uwe unanunua kuanzia kuanzia Lita elfu 50 kuendelea Eneo: Dar-Es-Salaam Mawasiliano:0761419399
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nauza chainsaw

    Aina NI hausqavar Model 272 Imetumika miezi mitatu Tu Bei NI Million 1.5
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nauza chainsaw

    Aina ni hausqavarna Imetumika miezi mitatu Bei NI Million 1.5 Made in Brazil
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nauza chainsaw

    Aina NI hausqavar Imetumika miezi mitatu Bei 1.5
  7. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Stand za laptop

    Nauza Stand ya laptop ya aluminium Zimebaki 9 Bei 15,000 Temeke Dar es salaam Namba 0710-599-055
  8. S

    JamiiForums Tanzania Usiagize China, nauza box kubwa 5 za glass protector model tofauti tofauti

  9. JamiiForums Tanzania NAUZA JBL CHARGE 5

    Habari za asubuhi wadau, Naiman mko salama kabisa. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ,nimeamua kuuza hii kwa sababu ya ukata tu ila radio nzima. Hizi ni picha za hip radio husika. Bei ni 340k
  10. C

    JamiiForums Tanzania Nauza mchele kwa bei rafiki

    Baada ya kujidunduliza na kujinyima nyima nikapata kamtaji ka kupata nusu tani ya mchele Nauza mchele kwa bei ya 1600 ,1800,2400 na 2800 Flem yangu ipo chamazi jirani na uwanja wa azam complex,pia nafanya delivery kwa wale ambao watakosa muda wa kufika ninapouzia Namba yangu ni 0682528220.
  11. JamiiForums Tanzania Nauza computer yangu HP ProBook 450 G4

    NAUZA COMPUTER YANGU BINAFSI AINA YA HP PROBOOK YENYE SIFA ZIFUATAZO Model: HP Probook 450 G4 CPU: core i7 7th GENERATION Storage: 512GB (Ssd). Ram: 16Gb Price: Tsh. 680,000/= NOTE: Location DSM TANZANIA Whatsap No: 0716056030 Call Number: 0714739838
  12. JamiiForums Tanzania Nauza pikipiki npo moshi mjini, bei 1.5M maongez yapo kwa mawasiliano 0672901144

  13. JamiiForums Tanzania Nauza monetized youtube account

    Wadau Habari?? Nna youtube account yangu taarifa zake ni hivi ... -It has 13usd, now it only needs identity verification. -Has 4k+ subs - per average it has 900 view Hours per every month since January 2024. Sometimes it hit 1.5k watching hours. _ views kwa wasting ni 12k -it has educational...
  14. JamiiForums Tanzania Nauza gari mitsubishi canter D33 tiper

    Gari ipo kwala Bei M 13 For more details Contact 0578804442
  15. JamiiForums Tanzania Nauza kitanda cha mbao ngumu 4×6

    Ukubwa ni 4×6 Bei 65,000 Kipo Mbezibeach Tangibovu 0687614981
  16. JamiiForums Tanzania Nauza redio yangu Boss 180 iko Chamazi

    Nuza redio yangu aina ya BOSS mali halali iko chamazi piga simu 0711427984
  17. JamiiForums Tanzania Nauza drill full box mpya

    Nauza drill full box mpya(Ina bit tano na vichwa viwili) Inatoboa zege,chuma na mbao Ina sehemu ya nyundo,inazunguruka pia na sehemu zilizoungana zoye hizo Zipo pcs 8 Bei 180,000 Nipo temeke Dar es salaam Namba 0710 599 055
  18. JamiiForums Tanzania Nauza kiwanja chenye hati mbweni teta

    Habari wakuu nauza kiwanja chenye hati ( SURVEYED PLOT) MBWENI MPIJI (Block No 09,Plot 139) UKUBWA WA KIWANJA SQM 820 KUNA BANDA KUBWA LA VYUMBA VINNE LENYE WAPANGAJI BEI: 110M MAWASILIANO:0621973591 Kwa video na picha zaidi nichek Whatsap. Nb: Kiwanja hakina udalali nauza mwenyewe ila dalali...
  19. JamiiForums Tanzania Nilikuwa nauza mgahawa sasa nina hotel mbili

    Kwa hapa nilipo nashukuru, nimefanya kazi ya kupika na kuuza chakula hapa mjini kwa miaka 10 sasa tangu mume wangu alipoamua kuniacha na kuoa mwanamke mwingine. Mume wangu aliponiacha nilipitia hali ngumu ya maisha haswa kulipa kodi, kuwapatia watoto chakula, kuwavalisha na huduma nyingi ambazo...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Nauza Laptop aina ya Dell Latitude E5470

    Nauza laptop yangu ambayo nimekuwa nikitumia kwenye mambo yangu ya maswala ya IT. Ipo vizuri, japo kuna marekebihso kidogo utakachofanya, ni marekebisho ambayo hayaathiri utendaji wake, ni kubadilisha mkanda kwa gharama isiyozidi tsh elfu 20. SPECIFICATION Model: Dell Latitude E5470 Processor...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…