nauza

  1. JamiiForums Tanzania NAUZA VIFAA VYA STUDIO YA KUPIGIA PICHA (PHOTOSHOOT)

    Wadau kama heading inavyojieleza hapo juu nina vifaa vyangu kwa ajili ya kupiga picha indoor na viuza kwa bei kitonga Sana Kuna studio background yenye vitambaa vinne ambavyo ni nyeusi, nyeupe, kijani na kijivu. Soft box mbili, miavuli minne na reflector Taa NNE na fleme zake, pia vitambaa...
  2. JamiiForums Tanzania Nauza hii phone 13 Pro

    Apple Iphone 13 pro 128 GB •Face id✅ •Battery health 81 •Ina network lock(unaweza tumia •Gevey sim card au ukalipia deni ikawa unlocked) Simu Imetumika wiki moja tu tangu itoke nje ya nchi Price 950,000/= Kimara Dar es salaam 0757187238
  3. JamiiForums Tanzania Nauza shera Tsh. 250,000

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu nauza shera. Shera ni mpya nzuri ninaiuza bei iyo kwa sababu ya dharula iliyojitokeza ambayo inaitaitaji fedha kwa ambae atakuwa serious ni pm ili nikutumie picha na video. Napatikana Dar Mbezi
  4. JamiiForums Tanzania NAUZA ASUS All in One Pc i7

    Nauza Pc Asus Zen AIO Z240 Intel Core i7 6Gen 16Gb Ram 24 Display size Touch imepasuka ila nimei disconnect haina madhara SSD nimetoa unaweza kuweka mwenyewe ina NVYDIA GRAPHIC GTX950 BEI 250K Tshs Nipo Ilala - Dsm 0767953873
  5. B

    JamiiForums Tanzania Nauza majogoo chotara

    Wakuu Nina vijogoo vya kuku chotara naviuza nipo maeneo ya mbweni jkt karibuni sanaaa kwa mawasiliano 0612630936 bei n 15000
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nauza simu Infinix hot 40 pro

    Nauza simu Aina Infinix hot 40 pro GB 256 Ram 16
  7. JamiiForums Tanzania OFA YA JANUARY : Nauza Shuka za kudarizi kwa bei ya elfu Thelathini ( 30,000/=) Tu.

    Jipatie shuka za kudarizi pamoja na foronya mbili kwa bei ya elfu Thelathini (30,000/=) Tu. Size ni 6×6. Delivery ni Bure kwa wakazi wa dar. Usikubali kupitwa na ofa hii ya January , hivyo nitafute kupitia 0628 160058 / 0658 843438. Karibuni sanaa.
  8. JamiiForums Tanzania Ongeza uwezo wa laptop nauza RAM za DDR4 8gb kwa 30,000 Tu

    Ram za ddr4 ambazo kila moja ina 8gb bei ni 30,000 Tu. ukichukua zote 2 yaani 16gb nakufanyia kwa 50,000. Nipo kimara Dar es Salaam 0782780980
  9. JamiiForums Tanzania Nauza bando za internet za Halotel kwa bei rafiki

    Habarini za muda huu wana jukwaa!?, mimi ni mjasiriamali mdogo ninae jihusisha na kuuza bando za halotel internet za mwezi mzima, kwa mawasiliano zaidi 0653963998, 0621599120(whatsap only)…karibuni sana kwa huduma na mchanganuo wa bando hizo na gharama zake ni kama ifuatavyo!
  10. JamiiForums Tanzania Nauza Tv stend na coffee Table yake

    Jamani hii nilishaipost narudia tena sasahivi kwa kuweka gharama yake maana naona watu wengi walikuwa wanaongelea pesa ambazo sijaziandika, HIYO SET KWENYE PICHA NI STAND YA TV INA NA COFFEE TABLE YAKE, JAPO KIOO CHA COFEE TABLE KIMEPASUKA NI CHA KUBADILI, KWAHIVYO NAUZA ZOTE MBILI KWA 90,000...
  11. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza king'amuzi cha Startimes kwa bei nafuu

    Nauza king'amuzi cha Startimes kwa Tshs 20,000 tu. Kipo na Adapter yake ya umeme pamoja na remote controller yake. Kimetumika miezi mitano peke yake Nipo Mbezi Luis karibu na Stand ya mabasi ya mkoani ya Magufuli Karibu upate kilicho bora Mawasiliano: 0767696021
  12. K

    JamiiForums Tanzania NAUZA EXTRNAL HARD DRIVE

    Habari ya siku watu wa jf, Nauza Extrnall transcend gb 1000 (1TB) 100,000/-95,000/ niko MASASI MJINI MTWARA 062721875:
  13. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Bata Mzinga na Kuku aina ya Brahma

    Nauza Bata Mzinga wawili , Kuku aina ya Brahma wawili na Kuku aina ya Kuchi wawili wote wakiwa na umri wa miezi minne bei maelewano napatikana Dumila Morogoro Kwa mawasiliano piga simu 0655760381
  14. JamiiForums Tanzania Nauza Epson printer L3250 mpya

    Bidhaa: Multi-purpose Epson printer L3250(mpya) Kazi:Printing,scanning and photocopying Bei: Tsh 450,000/= Eneo: Kimara mwisho-Dar es salaam Mawasiliano: 0624576521* Ofa: wino+ Rimu
  15. JamiiForums Tanzania LEO NAUZA HIKI KIFAA KWA BEI YA MWAKA MPYA

    Hiki kifaa kinaitwa ID-WTM6 TRIMMER, KAZI YAKE NI PAMOJA NA KUTENGENEZA MAPAMBO KWENYE MBAO NA NAKISHI, NI KIZURI SANA KWA WATENGEZA FURNITURE LEO NA KIUZA KWA BEI NDOGO SANA 120000 TU. Namba 0617009453 DSM
  16. J

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja

    Kiwanja kipo kigamboni mwasonga tulivu kina ukubwa wa sqm 480 kipo mpaka mmoja na shule majira wawili watatu wapo kiwanja ni changu mwenyewe hakina dalali nina shida na ndio maana nauza Bei 3.2Milioni Maongezi kidogo yapo Cantact 0687536389
  17. JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza kiwanja Dodoma

    Habari, nauza kiwanja Dodoma kipo eneo la michese square meter 520, hati ipo,bei mil. 15 kwa maelezo zaidi nitafute.
  18. JamiiForums Tanzania Nauza photocopy machine xerox 7220 kama screpa bei 500k, mazungumzo yapo.

    Shida yake ni moto tu inajiwasha na kujizima. Muonekano wake ni kama hapo pichani.
  19. S

    JamiiForums Tanzania NAUZA VIFARANGA VYA KLOILA

    Nauza kloila vifaranga vya wiki 7 mbegu kubwa wamepata chanjo 4 Bei:7500 Location Sae Mbeya, 0676692082 SIFA Wana stahimili magonjwa Hufikia uzito wa kilo 5 kwa Jogoo na kilo 3.5 hadi 4 kwa tetea Wanaweza fugwa kienyeji hivyo hupunguza gharama za ufugaji Nyama na mayai ya kloila yana ladha...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Nauza vifaranga vya Kloila

    Nauza kloila vifaranga vya wiki 7 mbegu kubwa wamepata chanjo 4 Bei:7500 Location Sae Mbeya, 0676692082 SIFA Wana stahimili magonjwa Hufikia uzito wa kilo 5 kwa Jogoo na kilo 3.5 hadi 4 kwa tetea Wanaweza fugwa kienyeji hivyo hupunguza gharama za ufugaji Nyama na mayai ya kloila yana ladha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…