nauza

  1. V

    JamiiForums Tanzania NAUZA MABALO YA MTUMBA NAPATIKANA ILALA BOMA 0657710078

    Karibuni sana vunjabeimtumbagrade1 wauzaji wa balo za mtumba grade 1 tuna balo za nguo aina zote Leo nawapa Bei ya nguo baadhi tu ✅Jeans kiume 450000 kike 320000 PC 80 mpk 90 ✅nguo ya mtoto 400000 PC 350 ✅ gauni 400000 PC 130 ✅blouse 380000 pc 280 ✅shati 900000 PC 200 ✅viatu 250 PC 40 ✅ school...
  2. JamiiForums Tanzania Nauza Kabati la Mninga Bei Sawa Na Bure tsh 299,000/=

    Habari wanajukwaa wenzangu najua mko poa, kama kichwa cha tangazo kinavojieleza nauza kabati langu la mninga lina mwaka mmoja tu toka nilinunue na nilinunua bei kubwa sana nadhani wengi mnafahamu mbao ya mninga ulivo imara na bei kubwa ni 6 ×5 ,lina milango mitatu juu na chini na drow bei ni...
  3. JamiiForums Tanzania Nauza Kabati la Mninga Bei Sawa Na Bure tsh 299,000 /=

    Habari za leo ndugu zangu najua mko poa, naenda kweny dhumuni langu kama kichwa cha uzi kinavojieleza, nauza kabati langu la mninga, nimelinunua lina mwaka mmoja tu ni 6×5 lina milango mitatu juu na chini na drow bei ni tsh 299,000 /= halina kipengere chochote wala changamoto yoyote ni mali...
  4. JamiiForums Tanzania Nauza gari Mitsubishi Outlander (2009) - Bei ni Mil 18.

    Nauza Mitsubishi Outlander ya 2009, bei ni Mil 18. Niliagiza ikiwa na Km 132,000 (Genuine) sasahivi ina km 150,000 kwahiyo nimeitembelea Km 18,000 tu. Haina shida yoyote kwenye engine, gearbox wala body. Doc zote zipo kwenye jina langu. Niliinunua mwezi wa 9/2022 then 2023 nikaipaki home Dodoma...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Nauza twin za mastercable 1.5 na 2.5 roller 2 bei 370,000/- zote mbili

    Piga simu Kwa maelezo zaidi 0685590415
  6. JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza nyumba Mbagala Kibulugwa

    Habari maboss wangu. Ni Mimi Kwa mara nyingine tena nakuletea nyumba hii ipo Mbagala kibulugwa. Kiwanja hiki kina nyumba mbili ndani ya fensi. Hapa unaweza kufanya uwekezaji wa Lodge Kali sana mana nyumba ipo katika ya mtaa na magari yanapita hapa boss. Lakini ukiamua wewe mwenyewe...
  7. V

    JamiiForums Tanzania Nauza mabalo ya mtumba

    Karibuni sana vunjabeimtumbagrade1 wauzaji wa balo za mtumba grade 1 nguo kutoka uk china Dubai na Canada Whatapp group VUNJABEI BALO ZA MTUMBA GRADE 1 QUALITY 👕👖👙👟 Mawasiliano 0657710078 Tunapatikana Ilala dar es salaam mkoani tunafanya delivery
  8. JamiiForums Tanzania Wakuu nauza hp probook mali yangu binafsi

    Hp proboook Proccessor intel-pentium inside (7thgeneration) Ram 8gb HDD 500gb Battery 4hrs Price 280k 0628116693 Airport Dar Es Salaam
  9. JamiiForums Tanzania Nauza Laptop yangu mwenyewe haina kipengele

    Wakuu nauza laptop aina ya Hp Pro Book, Yenye Ram 8GB, Hdd 500gb. Battery 4hrs. Haina kipengele chochote sema tu nauza kwasababu nina shida ya haraka. Napatikana -Banana-Dar Es Salaam Mawasiliano yangu ni 0628116693 Price 380,000
  10. T

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza pikipiki aina ya Honlg

    Wanajamvi nauza pikipiki imetumika no .MC439 CUN aina HONLG ipo mbezi ya kimara. Bei 700,000 Njoo DM tuongee
  11. J

    JamiiForums Tanzania Habari nauza nguo za mtumba nipo Dar es salaam wapi nikitembeza naweza nikapata soko kirahisi naombeni ushauri wenu

    Mimi ni kijana mjasiriamali naombeni ushauri wenu nauza nguo za mtumba za watoto nikitembeza wapi naweza nikapata soko kirahisi nipo dar es salaam
  12. JamiiForums Tanzania Nauza vitabu vya hard copy

    WhatsApp 0737317870 au jambojambo633@gmail.com 1. Richest man in Babylon 20,000. 2. The Law of success 18,000. 3. Side hustle 45,000. 4. The magic of thinking Big 30,000. 5. How to handle difficult people 25,000. 6. Rich dad, poor dad 25,000 7. The subtle art of not giving a f* 45,000. 8. Talk...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Nauza shamba eneo la viwanda misugusugu

    Wadau nina eneo upande wa shule ya msingi misugusugu iliyopo mkoani Pwani ninauza ni karibu na eneo la viwanda vya wachina. Pia unapita eneo la Usangu logistics. Jirani ni msikiti, na kiwanda cha tissue 5,865 sqm Urefu 141.01m Upana 45.62 Bei 18.75M Dalali 10%(kwa dalali akileta mteja) Umbali...
  14. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza king'amuzi cha Startimes na dish lake

    Nauza king'amuzi cha Startimes kikiwa na dish lake, remote controller, waya wake wa kutoka kwenye dish hadi kwenye decoder pamoja na power adopter yake kwa Tshs 35,000 Kimetumika miezi 4 tu Nipo Mbezi Luis Mawasiliano 0767696021
  15. JamiiForums Tanzania Nauza bulb Kwa bei nafuu

    Kampuni: Honor LED Watts 3 - 10,000 PC 10 Watts 5 - 12,000 PC 10 Watts 7 - 13,000 PC 10 Watts 9 - 14,000 PC 10 Free Delivery piga : 0614502969 Dar na mikoani
  16. JamiiForums Tanzania Nauza tv used, inches 43, Moelectro ni smart tv bei 300,000

    Nauza tv used, inches 43, Moelectro ni smart tv bei 350,000 namba yangu ni 0684101707
  17. R

    JamiiForums Tanzania Nauza crate 10 tupu za bia mchanganyiko TBL na Serengeti

    Anaye hitaji niko Tabata Kisukuru kwa Swai. Bei sh 9,000 @ crate mawasiliano 0718219523
  18. B

    JamiiForums Tanzania Nauza Kuku chotara, ni Tetea kwa bei ya TSh 10,000 wapo 145

    Wakuu Kama muonavyo kwenye picha, hawa ni baadhi ya Kuku ambao nauza. Kuku wapo Dar es Salaam, Mbweni JKT kwa mawasiliano 0612630936 … bei n elfu kumi kamili ndo wana miezi mitatu na siku 24.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nauza Harrier chogo (DPR) TZS. 14.8m

    2360cc Automatic Petrol Engine safi Gear box safi AC safi Haijawahi kupata ajali . Call: 0717 650800
  20. JamiiForums Tanzania Nauza redio call

    Nilinunua 150,000 Kwa sasa sina kazi nayo zipo 2 unaweza kuongea hadi km 15 hadi 20km Kwa sasa sina kazi nayo nauza bei ya hasara 100,000 zipo banana 0743257669 Kwa msiojua unaweza kuongea na mtu bila kutumia vocha wewe ni kuichaji tu kwa kampuni za ulinzi Godauni,mashambani,kiwanda hii itakufaa
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…