natafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta guta ya mizigo CC250, CC300 kampuni gani nzuri?

    Habar wakuu ushauri wenu ni guta Gani ya kampuni gani nzuri imara...guta leenye nguvu imara ...nani wakala wa yupi kariakoo ana Bei nzur
  2. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta mchumba mwalimu au nesi alie Bariadi

    Wadau habarini, Mimi Nina tabia nzuri Sana mwenye huruma sijisifu bali naongea ukwwli wangu nilioa mwanamke ambae hakuwa na malezi mazuri alijichanganya mtaani na kufuata uhu I kwa ujumla alikuwa mshamba wa mapenzi alipojua saloon ni nini akachepukamazima. Kwa sasa nahangaika Sana kujua...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya ml. 4

    NINA 4,000,000 NIPE MOJAWAPO 👇 Nissan extrail, alteza, markx , mark2 markX, brevis
  4. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari dogo la kukodisha Dar

    Habari za leo wakuu, Natafuta gari dogo, binafsi, isiwe zaidi ya cc1400, kukodisha kwa mizunguko ya Dar es salaam wiki hii. Dereva ni mimi mwenyewe. mwenye nayo nicheck whatsapp 0688180839.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta vijana tupige KAZI ya kuuza Bundle mtandao ,tupate Mia Mia.

    Tigo na Halotel bundles Tu #0658204909
  6. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira yoyote ya halali

    Habar wakuu nina umri wa miaka 29 natafuta kazi yeyote ya halali kwa taaluma ninachet cha hotel kama housekeeper na waiter ambayo nitalipwa mshahara kuanzia 300,000 kwa mwezi. Pia najua kuendesha gari, sijasomea. Nipo DODOMA ila kokote naweza fanya kazi. Kwa manual work nahitaji ambayo naweza...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta Shamba Kisaki Ekari 50. Mwenyeji uko, tuambie bei zinaendaje?

    Natafuta Shamba Kisaki Morogoro Ekari 50. Mwenyeji uko, tuambie bei zinaendaje?
  8. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote, angalau kipato kuanzia 10k+ per day

    Wakuu, rejea hapo juu. Vyeti vilivyopo JKT & EACCFFC na nina uzoefu wa mda mrefu. Niko tayari kwenda mkoa wowote, ila Dar es Salaam hapana Asanteni
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mafundi computer: Nina sh 40,000 natafuta CPU

    Habari mafundi computer Jamani Nina sh 40,000 nahitaji CPU ya desktop computer kampuni yoyote. Iwe unafanya kazi. Ni PM picha zake Shwari wazee
  10. JamiiForums Tanzania Natafuta Laptop

    Nina laki 6 natafuta laptop Iwe dell, hp au mackbook ndio ninazikubali sana Iwe na angalau sifa zifuatazo Ram 8GB STORAGE - SSD angalau 200 gb Generation 8+ Bluetooth, webcam, HDMI port LAZIMA Ukubwa wa Kioo uanzie 13 mpaka 16 yaani iwe saizi ya kati sitaki kioo kidogo au kikubwa Chaji...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nimemaliza Kidato cha sita

    Mimi ni kijana wa kiume miaka 21 Nina elimu ya form six Nimeshindwa kujiendeleza na masomo mwaka jana maana nilikosa mkopo Hivyo basi natafuta kazi yoyote maana nilikokuwa nimejishikiza mwenyewe amefunga Napatikana kwa 0622905303
  12. JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga tanga

    Habari, Tanga kunani palee Wanajf natafuta chumba cha kupanga tanga maeneo ya kisosora au chumbageni au maeneo karibu na hayo. Chumba kiwe na choo ndani Bajeti yangu 70k kushuka chini.
  13. JamiiForums Tanzania Hodi tena wakazi wa Dar es Salaam natafuta mno kifaa hiki

    Wasalaam. Ni muda mrefu sasa sijafika hapo jijini na ata kwenye masoko makubwa kama kariakooo nimeishaanza kusahau mitaa. Ila tatizo langu ni dogo kama nitapata mwenye uelewa wa kifaa hiki kinaitwa Hub motor. Pia kama ikipatikana motor ya kawaida ambayo ni brushless dc motor itakuwa poa sana...
  14. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote nina bachelor of science in chemistry (Mkemia)

    Habarini wakuu mimi ni muhitimu wa Bachelor of Science in Chemistry (Mkemia) mwaka huu kutoka Mwenge catholic university. Natafuta kazi yoyote ata nje ya taaluma yangu kwa mwenye connection naomb msaada🙏. Update:
  15. JamiiForums Tanzania Naombeni hekima zenu; Natafuta mtoto na mke wangu hajafanikiwa kubeba ujauzito

    Ndugu wana Jf natumaini mko salama ndugu zangu. Ndugu zangu katika vipindi vilivyopita ijulikane nilikua natafuta mke na Mwenyezi Mungu amenijalia nimepata mke na nimeoa. Ndugu zangu mimi na huyu mke wangu tulikua tunatafuta mtoto katika siku zake tulizo amini ni siku za hatari ila cha ajabu...
  16. JamiiForums Tanzania Natafuta kibarua chochote Mwanza

    Nipo Mwanza kama kuna tu ana connection yoyote ya kazi aniunganishe mtaani kugumu sana. Nina elimu ya degree na pia leseni ya udereva umri wangu miaka 35. Nisaidie wakuu
  17. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta day work yeyote kwenda na kurudi napatikana ukonga (DSM)

    Habari zenu ndugu zangu wanajamii Forums Natafuta day work yeyote kwenda na kurudi napatikana ukonga (DSM) Accademic qualifications Diploma in accounting and finance Computer applications Basic Diving Simu :0764877912
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta router ya mtandao wa Halotel au Universal router

    Habari za leo waungwana. Natafuta router ndogo ya mtandao wa Halotel au Universal router. Ninapatikana Mwanza. Kwa maelezo zaidi na bei tuwasiliane 0623304519.
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta room single

    Kimara hadi mbezi 50,000 Mwenye anafahamu naomba uni pm
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta mtaalam wa mazingira

    Natafuta mtaalam wa masuala ya mazingira ambae anaweza kuandika vizuri miradi na kufanya EIA, EA AUDIT vizuri. Kama upo Vizuri kwenye Masuala hayo njoo tufanye kazi. Asante WhatsApp ‪+258 87 299 8313‬
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…