natafuta kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Natafuta kazi za ndani

    Habari wanajamii, mimi ni kijana wa kike natafuta kaz za ndani mshahara angalau uwe laki, naweza kufanya kaz zote za ndani na kutunza watoto pia. Ni mchapakaz na mwaminifu napatikana dar es salaam...
  2. Q

    Natafuta kazi hali ni mbaya

    Natafuta kazi yeyote iliopo ndani ya jiji la Dar es salaam naombeni msaada wa kazi hali ni mbaya
  3. R

    Natafuta kazi

    Jina: Rich Mashauri Mahali: Dar es salaam Elimu: Muhitimu Bachelor of accounting with information technology (BAIT) chuo cha IFM Miaka: 23 Gender: Male Ujuzi: IT skills, accounting ethics na ujuzi katika maswala ya biashara na tax principals Majukumu kwa sasa: Najiendeleza na masomo ya CPA...
  4. M

    Natafuta kazi ya udereva

    Habari za mida wakubwa zangu! Naitwa Mzelela Ally, nina miaka 25 ni dereva na nimesomea VETA pamoja na N.I.T. course ya Public Service Vehicle na nina lesen Class A, B, D, C1, E pia nina uzoefu wa miaka mitano hadi sasa. Naomba kwa atakaekuwa na tenda za ajira ya udereva wa makampuni, binafsi...
  5. Empty container for sale

    Natafuta kazi ya jikoni - kuuza chipsi, kuku, supu n.k

    Habari ya uzima. Mimi naitwa Erick Bernard napatikana DSM kwa sasa. Natafuta Kazi ya jikoni Kama kuuza supu ya kongoro, chipsi, kuku wa kukaanga, chakula na huduma zote za chakula. Nina uzoefu wa hii kazi, nimefanya Sana hii kazi maeneo ya DSM kibamba, Mbezi na Banana Gongo la Mboto. Nina...
  6. Bruno Jewel

    Natafuta nafasi ya kazi

    Mimi ni muhitimu wa shahada ya kwanza ya elimu, nimesomea ualimu wa masomo ya Kingereza na fasihi ( English Language and Literature) pia nina uwezo wa kufundisha lugha ya Kifaransa (FRENCH)kwa ngazi ya chini ( beginners). Natafuta nafasi ya kazi ili niweze kutumia maarifa na ujuzi wangu...
  7. D

    Natafuta kazi

    Ndugu zangu, mimi ni kijana me (24) elimu yangu 4m 4. Natafuta kazi yoyote ndani ya Dar napatikana kwa namba 0783090144.
  8. H

    Natafuta kazi yoyote ile iliyo halali

    Kwa majina naitwa Hamis Mahujaji Hamis mwenye umri wa miaka 24, mkazi wa mkoa wa Dar Es Salaam katika wilaya ya Kigamboni, piah ni muhitimu wa stashahada katika fani ya PROCUREMENT, LOGISTICS AND SUPPLY CHAIN MANAGEMENT, nilikuwa naomba kazi ya aina yoyote Ile inayoweza kunifaa ndugu mtaani ni...
  9. F

    Natafuta kazi, nimesomea Uandishi na Utangazaji wa habari

    Habari zenu watanzania wenzangu. Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma hivyo natafuta kazi ya uandishi na utangazaji wa habari. Pia Hata kwa kazi ya kujishikiza huku nasubiri cheti, nipo dar es salaam wilaya ya ilala, ukonga. Kazi ya dukani hata mashuleni nafanya. Asanteni 🙏
  10. R

    Bado natafuta kazi

    Wakuu nipo hapa tena mbele yenu bado natafuta kazi sehemu yeyote ile viwandani na sehemu nyiginezo naamin kupitia jukwaa hili mtanisaidia ombi langu wenye connection sehemu mbali mbali naombeni mnisaidie kwa hili sichagui kazi japokuwa nimesoma.
  11. wamjin

    Natafuta kazi, nina uzoefu wa kuuza duka la nguo na simu

    Habari za muda huu wana jf, Nina shida na natafuta kazi, nina Certificate of Achievement, natafuta kazi ya counter (nina uzoefu), duka la simu au la nguo (accessories) kwa mwenye connection please anisaidie.
  12. sanzy

    Natafuta kazi

    Habari WanaJF mimi ni kijana wa kiume (25) shupavu mwadirifu na nimwaminifu .Sina ELIMU sanaa Nina certificate ya 4m4 tu, nipo hapa kwa ajili ya kuomba kazi ndugu zanguni, nikipata kazi yoyote ambayo inayoweza kusongesha maisha yangu nitashukuru Naombeni mnisaidie Asanteni
  13. X

    Kwa mashirika/kampuni au watu binafsi naomba mnipe nafasi niwatumikie, hamtojuta

    Salute kwa wanajamii wote! NB: Nipo tayari kufanya kazi mazingira ya mjini au Vijijini. KWA MASHIRIKA YA VIKUNDI VYA KIJASILIAMALI naweza Kuunda mashine,mbalimbali zinazotumia teknolojia ya kisasa na kuzisimamia kwa ajili ya miradi ya vikundi na wajasiliamali. Mfano: *Maashine...
  14. R

    Mwalimu wa physics & chemistry (bachelor) natafuta kazi ya kufundisha

    Habari wanajamvi, shule zinaenda kufunguliwa kesho hivyo kwa mwenye connection ya kazi ya kufundisha anisaidie, chuo nmehitimu UDSM
  15. B

    Natafuta kazi. Mm ni videographer, photographer, graphics designer na content creater

    📷📷
  16. cold water

    Natafuta kazi ya udereva mkoa wa Ruvuma

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ,ninaomba kazi ya udereva,mkoa wa Ruvuma kwenye mashirika binafsi.Nina vigezo na uzoefu wa kazi wa miaka mitano, nawasilisha nakala hii kwenu kwaajili ya kupata fursa,Asante na Mungu awabariki.
  17. R

    Natafuta kazi

    Habarini wanajukwaa nipo mbele yenu natufuta kazi yeyote ambayo itaniingizia kipato au kama kuna mtu mwenye connection akaniunga kazi zilipo naomba anisaidie. Nina diploma ya procurement and logistics location nipo dar es salaam.
  18. MduduAli

    Nina Shahada ya Usimamizi wa Miradi (Project Management) naombeni ajira

    Habari za wakati huu Ndugu, ...Ninaamini Hali ninayo ipitia sio mimi peke yangu ninayo pitia, Haya maisha yana mambo mengi ya kutufunza na zaid ya kutubadilisha na kuwa mtu wa tofauti kabisa. Nina Shahada ya Usimamizi wa Miradi (Project Management). Baada ya kumaliza chuo nilipata nafasi ya...
  19. A

    Natafuta kazi, nipo Tabora. Nimemaliz Kidato cha Sita (PCB)

    Mimi ni kijana wa kiume mkakamavu na mtii mwenye umri wa miaka 22 naishi tabora, nina elimu ya kidato cha 6 PCB. Naandika andiko nikiwa nina uhitaji wa kazi yoyote ya halali kwamfano:kuuza duka, shamba boy pia kama nikipata nafasi ya kujifunza fani za ufundi au uendeshaji wa magari na mitambo...
  20. O

    Natafuta kazi Medical Laboratory scientist

    Mimi ni kijana wa Kitanzania nahitaji kazi kwa hiyo fani niliyosomea ..uzoefu miaka 3 ...kazi temporary au parmanent. Popote Tanzania
Back
Top Bottom