natafuta ajira

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Powell Gonzalez

    Naungana rasmi na Zemanda na Natafuta Ajira kwenye operation tokomeza simping

    Rasmi najiunga na Zemanda na Natafuta Ajira kwenye operation tokomeza simping! kwanzia sasa wakurugenzi wa hii operation naomba mnitag popote mtakapokuwa mnazungumzia hili swala. We gotta save this generation! Na kwa kuanza natoa some point on how to stop simping! Daily moves to kill...
  2. K

    Natafuta ajira ya kibarua

    Habari za wakati huu wanajamii wenzangu, Naomba kuchukua nafasi hii kuwasalimia na kuwaomba msaada wenu. Mimi ni kijana mchapakazi, mwenye ari na nguvu za kufanya kazi mbalimbali ili niweze kujipatia riziki halali ya kila siku. Kwa sasa ninatafuta kibarua chochote halali, iwe ni kazi ya muda...
  3. ERTUGRUL BEY

    Naungana na Zemanda na Natafuta Ajira kupinga Usimp

    Watu wengi wanauelewa ambao sio sahihi kuhusu usimp,na ndio maana wanaona kama hawa ma expert wanashawishi wanaume kuwa na roho mbaya kwa wanawake. Ukweli hauko hivyo,ebu tufahamu kidogo tunamaanisha nini tunapo zungungumzia usimp au simp Here we go....... Simp ni mtu (mara nyingi mwanaume)...
  4. K

    Mimi ni dereva natafuta kazi kwa mwenye gari ya Tax Mtandao (Uber, Bolt na nyingine)

    Habari wana JF jina langu napatikana Kivule Matembele ya Pili DSM, wilaya ya Ilala niko apa natafuta gari ya kufanyia kazi tax mtandao almaarufu uber &bolt nk. Nna lesen pamoja na Account ya tax mtandao, nina uzoefu wa miaka 5 kwenye kazi hii tangu nimeanza nina wadhamin ambao wanaweza...
  5. B

    Swali kwa natafuta ajira na wanaume wengine kuhusu kuoa wadada wenye miaka 19-23

    Habarini, Natafuta Ajira alileta uzi uliosema wanaume wa 30's tuoe mabinti wa 19-23, wanaume wengi ikiwemo mimi walimuunga mkono natafuta ajira, ila hizi ni factors ambazo hatukuzi consider: 1) Kwa uzoefu wangu mdogo mabinti wengi wa miaka 19-23 wana prefer ku-date na age mate wenzao...
  6. bushoke wa dar

    Wakuu Natafuta ajira au mchongo wowote wa kufanya

    Wakuu bado sijapata mchongo kama kuna mchongo wowote au ajira me bado natafuta ni kijana wa miaka 22 nishafanya kazi sehem tofaut tofaut pia nnaufanis wa quality na marketing pia kwa sasa natafuta ajira yoyote kama kuna mchongo bandarin au sehem yoyote ya mauzo au kazi yoyote ila me niko tayar
  7. L

    Natafuta ajira, nimeambatanisha na CV yangu

    Nawasalimu sana wote wakubwa kwa wadogo, wazee kwa vijana, waheshimiwa kwa wasio waheshimiwa, ni matumaini yangu mpo salama na kama hali ni kinyume chake Mungu awape nguvu muwe salama. Naanza kwa kusema kuwa ni huzuzni kubwa sana kwa CV kama hii kukaa haina mchongo wa kueleweka katika...
  8. Jipatie Siagi ya karanga

    Natafuta Ajira /kazi nimesomea Fani ya umeme jinsia KE

    Habari wana-JF. Mimi ni binti Kwa sasa makazi yangu yapo Dar es Salaam Natafuta Kazi au ajira katika taasisi au Kampuni zinazojihusisha na maswala ya umeme. Nimesomea Fani ya umeme hadi Level three. (111). Ninauwezo mkubwa wa kufanya shughuli hii Kwa ufanisi mkubwa na ninafundishika pia ...
  9. K

    Natafuta ajira yoyote au kibarua

    Nikijina wa miama 26 mkazi wa Arusha nina leseni class D nina uzoefu ila nipo tayari kufanya kazi yoyote sehemu yoyote Mawasiliano 0699249137
  10. Fufua Tumaini Jipya

    Kijana wa miaka 20 natafuta ajira au kazi

    Naitwa Yusuph , umri miaka 20 natafuta Ajira au kazi yoyote ile ya halali. Elimu yangu kidato cha nne. Aina ya kazi , naweza kufanya Kazi mbali mbali , zakutumia akili pamoja na nguvu Napatikana DSM wilaya ya TEMEKE Mawasiliano +255696993834
  11. Knock life

    Natafuta Ajira /Kazi ya Ulinzi, Storekeeper

    Naitwa Ezra Umri 23 Elimu kidato cha sita. Nimepita JKT Natafuta Kazi zifuatazo Ulinzi -kazi hii nipo na uzoefu nayo maana nimepita JKT pia nimewahi kufanya Kazi SGA Kama Mlinzi wa Silaha. (security group of Africa) kazi hii niliacha Kwa makubaliano ya pande zote mbili baada ya kwenda...
  12. M

    Kuoa bikra: kwa hili naungana na Natafuta Ajira

    Wa kutumia pesa zako ukitoa mama, ni mke wako. Msininukuu vibaya, namaanisha mke uliyemtoa usichana ukaiona damu yake. Mwisho wa nukuu. Naungana na ndugu zangu Natafuta Ajira pamoja na R Heriel. Mke ambaye hukumkuta bikra, si wako na hatokuwa wako. Faida nimeona nyingi sana, ingawa hasara zipo...
  13. B

    Natafuta ajira yoyote ya halali

    Habar wakuu nina umri wa miaka 29 natafuta kazi yeyote ya halali kwa taaluma ninachet cha hotel kama housekeeper na waiter ambayo nitalipwa mshahara kuanzia 300,000 kwa mwezi. Pia najua kuendesha gari, sijasomea. Nipo DODOMA ila kokote naweza fanya kazi. Kwa manual work nahitaji ambayo naweza...
  14. F

    Natafuta ajira ya uandishi na utangazaji wa habari

    Habari zenu watanzania wenzangu. Nimemaliza Chuo Kikuu katika kozi ya mawasiliano kwa umma na uandishi na utangazaji wa habari.. hivyo natafuta kazi ,, ujuzi ninao wa.miaka miwili Pia , nipo dar es salaam wilaya ya ilala, ukonga. Kazi ya dukani hata mashuleni nafanya. Mtusaidie jamani maana...
  15. R

    Natafuta kazi

    Jina: Rich Mashauri Mahali: Dar es salaam Elimu: Muhitimu Bachelor of accounting with information technology (BAIT) chuo cha IFM Miaka: 23 Gender: Male Ujuzi: IT skills, accounting ethics na ujuzi katika maswala ya biashara na tax principals Majukumu kwa sasa: Najiendeleza na masomo ya CPA...
  16. B

    Nawakubali sana hawa members wa jf, Mzee wa kupambania, Natafuta ajira, Extrovert, Equation x, mzabzab, DeepPond, Robert mtibeli, Analyse na Umughaka

    Shout out to you brothers, wengine kati yenu mna vipaji vya kuelezea story k.v Eric shigongo, wengine mnatoa post zenye falsafa iliyo timamu, wengine kati yenu huwa nikisomaga comments au post zenu mara nyingi huwaga nacheka kabla ya kujibu, wengine majina yenu ya humu yanachekesha, mara...
  17. chiziwafursa

    Unenepeshaji wa ng'ombe ni fursa

    1. Unenepeshaji wa ng'ombe Kipindi cha kiangazi (ukame) ng'ombe huwa zimedhoofika na kusababisha ng'ombe kuuzwa kwa bei ya hasara. Kwa mfano, ukiwa na ng'ombe 5 ambao umewapata kwa 200,000 Jumla ya pesa iliotumika 200,000×5=1,000,000 Makadirio ya matunzo kwa miezi 3 ni 150,000 kwa ng' ombe...
Back
Top Bottom