Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye, amemsifu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi wake uliojengwa katika misingi ya utu, usikivu na maridhiano.
Akizungumza na wananchi wa Jimbo la Mtama wataka Waufungaji Wa...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye, amewataka vijana nchini kutanguliza hekima na kujitambua wakati wa uchaguzi, akisisitiza kuwa kuna maisha marefu baada ya kura kupigwa. Amesema si sahihi mtu kujitumbukiza kwenye vurugu au migogoro ya kisiasa kwa sababu ya siku moja ya uchaguzi na...
Nape Nnauye, amesema wanaompinga Mgombea Urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan, wanapaswa kuja na takwimu na si maneno matupu.
Nape amesema tangu alipoingia madarakani mwaka 2021, Dkt. Samia ameweka rekodi ya kipekee ya uadilifu katika kusimamia rasilimali za taifa na...
Ukichukuwa ndoo ukaitoboatoboa ukijaza maji haitajaa, Serikali ya Rais Samia ingekuwa na matundu ya rushwa hiyo pesa isingeonekana imeonekana kwa sababu Mama kainua uchumi na akaziba mashimo ya rushwa, wanaosema mama hawezi nani..? La pili niseme nisiseme..? Serikali yoyote corrupt kiongozi...
Pamoja na kulipwa MAFAO ya ubunge takribani 600m TZS kila Mheshimiwa iweje hamkuchukua tena Fomu za kuomba uteuzi wa Chama Chetu? Au mmeamua kustaafu na Dr Majaliwa?
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye, amesema Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa kiongozi mwenye usikivu mkubwa kwa wakulima wa korosho, akisisitiza kuwa pembejeo za bure alizotoa kupitia serikali yake ni uthibitisho wa dhamira ya kweli ya kuwawezesha wakulima nchini.
Akizungumza Aprili 12, 2025...
Kutokana na report ya CAG Shirika la TTCL chini ya waziri Nape Nnauye aliyekuwa waziri wa mawasiliano limeongeza hasara kutoka Sh 4.32billioni mwaka 2022 hadi 27.7billioni mwaka 2023 licha ya serikali kufanya uwekezaji mkubwa.
Kazi ya kwanza ya waziri Nape alipochukua wizara ilikuwa ni kufukuza...
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema migogoro inayoendelea kwenye chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni dalili za kuvunjika kwa chama hicho.
Vyama vyote vya Siasa vikikaribia kufa au kufutika kwenye ramani wananza kupigana wenyewe kwa wenyewe.
Nape ameyasema hayo Mkoa Rukwa...
Nape kwa asili ni mtu mwenye mizaha, tabia hii imemsaidia kwingi lakini pia imemuumiza katika mambo mengi. Sio mara ya kwanza kwa Nape kutoa kauli zenye utata kuhusu ushindi wa CCM dhidi ya Upinzani Tanzania. Mwaka 2015 aliwahi kutamka kuwa CCM itashinda hata kwa bao la mkono. Mwaka 2020 katika...
https://m.youtube.com/watch?v=y9oF0mu09zQ
Mtakwimu mkuu wa serikali atetea takwimu zilizotolewa na TAMISEMI kuhusu waliojitokeza kujiandikisha katika daftari la mkaazi, lililo maalum kwa ajili ya kuweza kupiga kura November 27, 2024 katika uchaguzi wa viongozi wa mitaa, vijiji na vitongoji...
Yu wapi Nape na January?!
Hawasikiki tena. Walijiona na kuhisi rasmi Dunia ni yao baada ya kifo cha JPM na wao kurejeshwa ndani ya mfumo.
Kiko wapi hatimaye!
Leo hii Makonda anakula kuku kwa mrija huku Nape na January wakiendelea kujificha walipo.
Dunia tambala bovu, tuwe na kiasi.
Wakuu
Toka Rais wetu Kipenzi Daktari Samia Suluhu afanye mabadiliko madogo kwenye baraza lake la mawaziri na kuamua kumpumzisha Ndugu Nape Nauye,hatujamuona wala kumsikia hadharani mwanasiasa huyo machachari.
Je Nape atakua yuko mapumzikoni wapi?
Mimi ni mwanachama wa chama cha Mapinduzi CCM kindakindaki lakini ninaamini katika demokrasia, uchaguzi huru na wa haki katika kuijenga nchi na umoja wa kitaifa. Nimesikitishwa na kauli ya Waziri Nape kuwa matokeo yana tegemea anayehesabu na kutangaza matokeo ya kupiga kura na uchaguzi na siyo...
Hakika Msigwa, naamini unafuatilia mitandao ya kijamii ili kujua mambo yanavyoendelea duniani. Nimeona na kusikia Nape akielezea mambo yanayofanywa na chama chako pendwa, CCM. Najua kwamba Roho wa Mungu bado haujatoka kabisa moyoni mwako, huenda bado masalia ya hofu ya Mungu yapo.
Swali langu...
Ndugu zangu Watanzania,
Katika ukurasa wake wa Mtandao wa X, waziri wa habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mheshimiwa Nape Moses Nnauye ameweka picha hii. Sasa ningependa kuwauliza wana jukwaa mnafikiri Mheshimiwa waziri alitaka kutoa ujumbe gani na ujumbe huo unamhusu na kumlenga nani...
Wadau site za porn zimefunguliwa tena baada ya muda mrefu kufungiwa. Hii ni move ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu au tatizo ni nini.
Kimaadili naonaa lilikuwa jambo zuri kuzifungua, najua watu walikua wana-access kupitia vpn lakini angalau kwa kiasi kikubwa ilisaidia watoto wetu kutozifikia...
Hivi kwanini mkipata Madaraka na mnapokuwa mbele ya Camera huwa mnakuwa Majuha ( Fools ) sana na Kuboa hivi?
===
Alichokisema Nape Nnaye: “Lazima tujenge culture [utamaduni] ya kufanya kazi. Hii culture ya watu wanashinda mtandaoni masaa 24, halafu baada ya pale mfukoni hamna kitu, hii culture...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amekaribiishwa na roboti Eunice wakati akiingia bungeni leo Mei 16, 2024 ambapo uwasilishaji wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2024 / 2025, unafanyika.
Roboti hilo lililokuwa katika lango ya kuingia ukumbi wa Bunge na...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Nape Nnauye waziri wa Habari ,Mawasiliano na teknolojia ya habari amesema ya kuwa serikali haikuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini bali walikwama wenyewe kutimiza mashariti yaliyohitajika kukamilishwanl ili kupewa lesseni.
Kauli hii imekuja kutokana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.