nandy

  1. 3

    JamiiForums Tanzania Nandy afafanua vazi la Miss Universe baada ya kikao na BASATA

    Mwanamuziki Nandy amevunja ukimya baada ya kukutana na walezi wa sanaa BASATA kufuatia mjadala mkubwa wa vazi alilovaa kwenye fainali za Miss Universe. Nandy amefafanua kuwa hakuwa utupu kama wengi walivyodhani, bali vazi hilo lilitengenezwa kwa kitambaa kinachofanana na rangi ya ngozi yake...
  2. JamiiForums Tanzania BASATA yawataka Nandy, Harmonize, Director Kenny na Millen Magese kufika ofisini kwake

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), lililo chini ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, limetoa wito rasmi kwa wasanii na wadau mashuhuri wa sanaa nchini wakiwemo Nandy, Harmonize, Director Kenny, na Millen Magese. Wito huo unawataka kufika bila kukosa katika Jengo la Utumishi...
  3. JamiiForums Tanzania Nandy the African princess mwanamuziki wa kike Tanzania anayeweza kuimba live akaeleweka

    nampa maua yake bila tone la wivu wala kijiba cha roho, huyu binti (mdada) kiukweli anaimba vizuri kiasi chake na ana nyimbo za kuimba kwenye events watu wakaburudika. Na shape kaichonga imeikala bien 😝 Kikubwa kaimba vizuri kwenye miss universe grand finale
  4. JamiiForums Tanzania Unalipa asilimia ngapi uno la Nandy kwenye kibao kata cha zuchu siku ya henna

    Hivi ndivyo staa wa muziki wa bongo Fleva Nandy alivyopita na mdundo wa Kibao kata katika usiku wa Hinna huko madale ikiwa ni sehemu ya sherehe kuelekea 40 ya mtoto wa Zuchu na Diamond. Hapa uzungu umewekwa pembeni kidogo na jasiri akaamua kuifata njia ya asili yake.
  5. JamiiForums Tanzania Nandy na Billnass wafanya kufuru kwenye birthday party ya NayaBill

    Msanii kutokea nnchini Tanzania Billnass na mkewe Nandy wameamua kufanya kufuru kwenye birthday ya mtoto wawo @naya_bill wiki nzima imekua na matukio mbali mbali mapaka Leo mwisho wa kusheherekea birthday hiyo namna walivyo Pamba utasema ni harusi ya bilionea kumbe ni sherehe ya mtoto Naya Bill.
  6. S

    JamiiForums Tanzania Pipijojo Ahamia Rasmi Kwa Nandy (The African Princess) – Mwanzo Mpya Wa Moto! πŸ”₯

    Pipijojo Ahamia Rasmi Kwa Nandy (The African Princess) – Mwanzo Mpya Wa Moto! πŸ”₯ Msanii chipukizi mwenye kipaji kikubwa, Pipijojo, anaendelea kupiga hatua kubwa kwenye tasnia ya muziki Tanzania baada ya kufanya mabadiliko muhimu katika safari yake ya kisanii. Baada ya awali kusimamiwa kimuziki na...
  7. JamiiForums Tanzania Watu wa Arusha tupeni mrejesho ,Je Nandy alifanya show yake huko Arusha?

    Nandy alitangaza show tarehe 19 dec arusha. Leo tarehe 20, je alifanya hiyo show au kapima upepo kaona show itadoda?
  8. JamiiForums Tanzania Game gumu. Nandy anatoa wimbo same day anau-promote Youtube

    Ngumu kuacha kitu kitrend chenyewe. Boost muhimu. Ningeongeza view ila walituambia tufanye kazi.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa kivuruge-nandy remix made by AI hata Nandy haoni ndani

    Sikiliza kionjo tu cha dakika moja kisha toa maoni.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wimbo Mpya wa Nandy wafutwa Youtube na Mr. Tonge Nyama

    Staa wa Bongo Fleva Nandy ameeleza kwa uchungu kupitia ukurasa wake wa Instagram baada ya msanii anayejiita Mr Tonge Nyama kudai kuwa ametumiwa jina lake bila ridhaa kwenye kazi ya muziki ya Nandy na kuishusha YouTube Mr Tonge Nyama anadaiwa kutaka alipwe kiasi cha shilingi milioni 200 za...
  11. JamiiForums Tanzania Yammi: Nimelipa TSh. Milioni 100 kuondoka kwa Nandy

    Usiku wa kuamkia leo msanii Yammi amefanya uzinduzi wa wimbo wake mpya na akifanya interview na waandishi wa habari amefunguka kuwaalika wasanii Nandy na Billnass lakini hawajatokea, mbali na hilo pia ameeleza kulipa kiasi cha Milioni 100 ili kutoka katika label ya The African Princess "Kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Msanii wa Nandy, Yammi atimkia kwingine! Aaga African Princess

    African Princess Records inapenda kuwataarifu rasmi wadau wa muziki, vyombo vya habari, na mashabiki wote kuwa msanii wetu mpendwa Yasirun Yasin Shaban, anayefahamika zaidi kwa jina la kisanii Yammi, amehitimisha rasmi mkataba wa usimamizi wa kazi zake na lebo yetu ya The African Princess Label...
  13. JamiiForums Tanzania MSAADA; hivi kwenye ule wimbo wa Nandy na Maua Sama wanaposema " siku hizi bila beat naenda ata akapela" walimanisha nn?!!

    Kama kichwa kinavyojieleza..nahitaji ufafanuzi wa huo mstari kwenye wimbo wa hao mabinti wawil ambao inasemekana wanapenda sana kwichkwich! Merry Christmas 🌲
  14. JamiiForums Tanzania Zuchu aachane na Wasafi asimame mwenyewe kama Nandy ! Atafute mume aolewe muda ni sasa awe na familia

    Wabobezi wa Sheria za mikataba waingie kazini wamsaidie huyu mrembo kijana na mwenye mvuto mkubwa Afrika nzima ,kuuvunja mkataba wake na Wasafi ili asimame mwenyewe kwa uwezo wa zuchu akiwa mwenyewe atafanya makubwa sana! Zuchu asipoondoka Wasafi atadumaa na hatakuwa huru hata siku Moja ...
  15. JamiiForums Tanzania Billnass amzawadi Nandy gari ya ndoto yake, amwandikia ujumbe mzito mumewe

    Wakuu Billnass amemzawadi Nandy gari ya ndoto yake, aina ya Defender new Model ya mwaka 2023 Gari hili linaifanya kuwa la nane (8) Kwenye parking ya magari yao Nandy amemwandikia haya mumewe kumshukuru kwa zawadi
  16. JamiiForums Tanzania Nandy kidogo ampasue Harmonize Kizazi

    Nandy kidogo ampasue Harmonize KizaziπŸ˜‚πŸ˜‚
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nandy haiba yako inaendana vema na mavazi ya heshima. Usivae nusu uchi

    Tofauti na mwanzoni alivyokuwa anavaa nguo nzuri sana na zinazomsitiri vema, hakika alikuwa anapendeza sana na nina uhakika ndicho kilichomuongezea umaarufu na kupendwa. Ila kwa sasa naona Nandy naye anavaa vinguo kuonyesha tumbo, mapaja na matiti. Ukiangalia sura ya Nandy haijakaa KIMCHARUKO...
  18. JamiiForums Tanzania Nandy: Nilishawahi kupigwa chupa Mbeya nikatoka nundu ya jicho

    Moja ya wanadada icons kwenye muziki wa bongofleva. Bidada anaejua kuimba na kucheza na jukwaa na mwenye utajiri wa kutisha Nandy amefunguka maswaibu aliyowai kukutana nayo akiwa kwenye show ya fiesta mkoani mbeya ambapo alipigwa chupa na watu wa Mbeya akiwa aelewi kosa lake haswa ni nini...
  19. JamiiForums Tanzania Tuzo za Dullah Makabila zawavunja mbavu mastaa, Ruby, Ray the Boss wamaindi

    πŸ˜‚πŸ˜‚ hivi huyu Dulla Makabila ana nini kwani? Jamaa amekuja na tuzo zake "Makabila Awards" na ametangaza vipengele tisa vilivyojaa utani, kuna UVUMILIVU, FITNA YA MUZIKI, CHAWA BORA mpaka KUPENDA WAGANGA πŸ˜‚πŸ˜‚ Sema Ruby na Ray the Boss kama hajapenda hivi. Wakasuka kwenye comments na kumpa vidonge...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mjengo mpya wa Nandy na Bilinass

    Msanii Nandy ameshiriki video leo septemba4 inayoonyesha mjengo wao mpya wa kifahari waliotumia miaka miwili kuujenga, na kuandika maneno haya (Tunasmshukuru mungu sana kutuwezesha kushare na nyie bhii furaha kubwa ya hatua ya maisha yetu,.... Nyumba yetu ya kwanza katika ndoa na zawadi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…