nairobi

Nairobi () is the capital and the largest city of Kenya. The name comes from the Maasai phrase Enkare Nairobi, which translates to "cool water", a reference to the Nairobi River which flows through the city. The city proper had a population of 4,397,073 in the 2019 census, while the metropolitan area has a population of 9,354,580. The city is popularly referred to as the Green City in the Sun.Nairobi was founded in 1899 by the colonial authorities in British East Africa, as a rail depot on the Uganda Railway. The town quickly grew to replace Mombasa as the capital of Kenya in 1907. After independence in 1963, Nairobi became the capital of the Republic of Kenya. During Kenya's colonial period, the city became a centre for the colony's coffee, tea and sisal industry. The city lies on the River Athi in the southern part of the country, and has an elevation of 1,795 metres (5,889 ft) above sea level.According to the 2019 census, in the administrative area of Nairobi, 4,397,073 inhabitants lived within 696 km2 (269 sq mi).Home to thousands of Kenyan businesses and over 100 major international companies and organizations, including the United Nations Environment Programme (UN Environment) and the United Nations Office at Nairobi (UNON), Nairobi is an established hub for business and culture. The Nairobi Securities Exchange (NSE) is one of the largest in Africa and the second-oldest exchange on the continent. It is Africa's fourth-largest exchange in terms of trading volume, capable of making 10 million trades a day.

View More On Wikipedia.org
  1. UNICEF, UNFPA, and UN Women are relocating global offices (partially or fully) to Nairobi by 2026.

    Why not arusha Tanzania? I hope ex president kikwete will help solving this equation!, Nairobi security status is known to be unstable!.. Tanzania deserve this honour!
  2. Abdullah Al Faisal: Mhubiri wa siasa kali aliyekamatwa Nairobi 2010

    Abdullah al-Faisal (alizaliwa kama Trevor William Forrest) Asili: Alizaliwa mwaka 1963 huko St. James, Jamaica. Alisilimu akiwa na umri wa miaka 16, na kuchukua jina la Kiislamu: Sheikh Abdullah al-Faisal. Alisomea Uislamu nchini Saudi Arabia katika Chuo Kikuu cha Imamu Muhammad bin Saud...
  3. E

    Jiji la Nairobi lafungwa, polisi watanda kila kona

    Wakati Watanzania wakiadhimisha siku ya Sabasaba ikiwa ni maadhimisho ya kimataifa ya Biashara, kwa Wakenya siku hiyo inakumbukwa kuwa ni ya kiharakati, ikienda hadi miaka 1990 ambapo baadhi ya wanasiasa walifanya mkutano wa kihistoria katika uwanja wa Kamkunji jijini Nairobi, kushinikiza...
  4. Kenya inafanya uchaguzi mwaka 2027,fainali za mataifa ya Afrika (CAF) 2027 zitachezwa Nairobi, je itawezekana na jinsi wameanza kuvurugana?

    Mechi ya fainali ya kombe la mataifa ya Afrika itapigwa Nairobi. Lakini tunazijua siasa za Kenya zilivyo na machafuko, maandamano na kuuana. Uchaguzi wa taifa la Kenya ni 2027.Sioni kama hii fainali itapigwa Kenya. Tanzania naiona ikibeba fursa
  5. Kenya's economy compared to Tanzania in 2025, Nairobi beats Dodoma

    The International Monetary Fund (IMF) ranks Kenya as a middle-income country, while Tanzania is considered a low-income country In 2025, the Bretton Woods institution projects Kenya's economy would expand by 4.8%, while Tanzania's would grow by 6% Kenya's GDP is expected to soar to $132 billion...
  6. W

    Boniface Mwangi apokelewa kwa shangwe Nairobi

    Kundi moja la wanaharakati jijini Nairobi wamemkaribisha kishujaa mwanaharakati Boniface Mwangi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Wilson akitokea Ukunda, baada ya kurejeshwa Kenya kwa barabara kutoka Dar es Salaam na maafisa wa polisi wa Tanzania
  7. Polisi Kenya wakiwa na Silaha wazingira Ubalozi wa Tanzania Nairobi kuzima maandamano ya Wanaharakati kisa Boniface Mwangi kushikiliwa Tanzania

    Jeshi la Polisi nchini Kenya limepelekwa nje ya Ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi leo Mei 22, ikiwa ni hatua ya tahadhari kufuatia taarifa za maandamano yaliyopangwa kufanywa na wanaharakati wanaoshinikiza kuachiwa huru kwa mwanaharakati maarufu Boniface Mwangi. Soma, Pia: Wakenya, akiwemo Mke...
  8. Kaunti ya Nairobi yafungia kanisa la freemason kwa kutoka na deni la mamilioni ya pesa

    Serikali ya Kaunti ya Nairobi imefunga Jumba la Grand Lodge linalotumika kama Ukumbi wa ibada kwa wa waumini wa Freemasons wa Afrika Mashariki lililopo katikati mwa jiji kutokana na na malimbikizo ya deni la ardhi kiasi cha Shilingi milioni 19 za Kenya Operesheni ya utekelezaji hiyo...
  9. Uchunguzi wa mauaji ya Mbunge Ong'ondo Were aliyepigwa risasi na kuuawa Nairobi wamepatikana haraka ila wa Lissu ulishatupiliwa mbali

    Kuna zidi kunuka huko kenya inasemekana kuna wabunge wanahusika.Ila kwetu itelejensia ni CCM. https://www.youtube.com/watch?v=_rM8NExBTGw Mbunge Ong’ondo Were alipata majeraha matano ya risasi, huku risasi zikiharibu viungo muhimu vya mwili wake kama vile moyo, mapafu, ini na mshipa wa aorta na...
  10. R

    Kama alikwenda kumjulia Hali Nairobi hospital, Kisha ubelgiji, atakwenda pia kumpa pole pale Ukonga.

    Salaam! Alikuwemo kama makamo wa kiongozi Mkuu wakati ule, lakini kwa kuwa Yeye kama Yeye binafsi ni mtu asiyependa mtu kuonewa na kuumizwa, alifunga safari Hadi Nairobi hospital kumpa pole ndugu yetu alipojeruhuwa na mishale ya wasijulikana. Haikuishia hapo, ndugu yetu alipokimbia kwenda...
  11. Bahasha Iliyobeba Kitabu Kutoka kwa Ally Dar es Salaam Kwenda kwa Ali Nairobi

    BAHASHA ILIYOBEBA KITABU KUTOKA KWA ALLY DAR ES SALAAM KWENDA KWA ALI NAIROBI Asalaam Aleikum Warahmatullah Wabarakatuh Sheikh Salim, Ahsante sana kwa kuniletea kumbukumbu ya Balozi Chirau Ali Mwakwere aliyoihifadhi ya Ally Sykes. Tulikuwa sote msibani na wewe ndiye yliyonifahamisha kuwa...
  12. Mkutano wa kujadiliana kwa pamoja fursa mpya kutokana na uchumi wa China wa CGTN Kiswahili wafanyika Nairobi

    Mkutano wa “Kujadiliana kwa pamoja Fursa Mpya kutokana na Uchumi wa China” ulioandaliwa na Idhaa ya Kiswahili ya Kituo cha Kimataifa cha Televisheni cha China (CGTN) cha Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) umefanyika tarehe 6 mjini Nairobi, Kenya. Katika mkutano huo, wataalamu wa masuala...
  13. U

    Raila Odinga Leo amekaribishwa kwa furaha na heshima kubwa na rais William Ruto ikulu ya Nairobi

    Rais William Ruto ametangaza kuwa atashirikiana na Waziri Mkuu wa zamani, Raila Odinga, ili kufanikisha ajenda za maendeleo za serikali. Akimpokea Raila Odinga katika Ikulu ya Mombasa siku ya Jumatatu, baada ya kushindwa kwenye kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC), Rais...
  14. Siku Moja na Mwalimu Wangu Ahmed Rajab Nairobi

    SIKU MOJA NA AHMED RAJAB MWALIMU WANGU NAIROBI Ahmed Rajab akinipa kazi si haba nyingine ''investigative'' na hapa akitaka sana kusoma ubongo wangu na fikra zangu kwa jambo fulani hizo hazichapwi na jina si lake wala langu kwa hiyo hutoziona popote na akinilipa fedha. Makala hizi hazina...
  15. S

    Kikundi cha rsf kuongea na waandishi wa habari jijini Nairobi- kenya ikiwa ni baada ya kupoteza udhibiti wa mji wa wad madani

    Kulingana na The Eastleigh Voice, kikundi cha RSF cha nchini Sudan kitaongea na waandishi wa habari jijini Nairobi nchini Kenya mnamo Jumatatu ya tarehe 13 Januari 2025. Hii inakuja ikiwa ni siku moja tangu RSF wapoteze udhibiti wa mji muhimu wa Wad Madani. Kuipoteza Wad Madani ni pigo kubwa...
  16. Kumbe safari ya Arusha Mpaka Kenya (Nairobi) ni masaa matatu mpaka nne, Basi Haichoshi kabisa,naweza enda na kurudi chap kulitumikia taifa langu

    The total driving distance from Arusha, Tanzania to Nairobi, Kenya is 170 miles or 274 kilometers.(TravelMath Calculator). The driving distance from Nairobi (NBO) to Arusha (ARK) is 160 miles / 257 kilometers, and travel time by car is about 3 hours 14 minutes. (Air Miles calculator) Trippy
  17. Kwani kazi ya Maria Sarungi Nairobi Ilikuwa ni nini? Na nani alikuwa anamlipa

    Tunamuombea apatikane akiwa salama. Lakini naomba nijibiwe maswali haya:- 1. Kwa zaidi ya miaka 2 sasa amekuwa anaishi Nairobi huku akaunti zake za mitandao ya Kijamii zikishambulia mambo ya Serikali. Je ni nani anamlipa kwa kazi hiyo? 2. Ameweza kuwachukua na kuwatafutia makazi vijana maarufu...
  18. K

    Maria Sarungi anawapa 'mafunzo' gani Makamanda wa CHADEMA huko Nairobi?

    Habari Wanajamvi? Huu uchaguzi wa nafasi za juu CHADEMA, unaibua mambo mbalimbali ya kushangaza na kufurahisha kutoka kwa MACHAWA wa ngome mbili tofauti zilizotangaza nia ya kugombea uongozi ndani ya CHADEMA. Kuna Kamanda wa CHADEMA kule kwenye mtandao wa X anayefahamika kwa jina la Freddie...
  19. Tetesi: Kesho huenda kukawa na Maandamano ya Vijana Kenya kupinga Utekaji, wameandaa wenyewe bila Wanasiasa.Njoo Tanzania tunamtafuta mtu wa kutuandamania

    Nitarudia hili mala trilion , Tatizo la Tanzania sio kukosa upinzani imara au watu imara au Chama imara bali ni kukosa raia walio tiyali kupigania nchi, kumejaa keybord worrior tu. Vijana wa Kenya wana set maandamano Kesho wao wenyewe kwenye socia media na wanaingia road wenyewe, bila...
  20. L

    PreGE2025 Mbowe ndiye aliyepambania Uhai wa Lissu kwa Jasho na Damu Mpaka Kumvushia Nairobi Kenya lakini leo Lissu anampaka matope na kumuona hafai

    Ndugu zangu Watanzania, Tenda Wema nenda zako na wala usisubiri shukurani,ni bora Umfadhili Mbuzi kuliko Mwanadamu.Duniani hapa Watu wanaumizwa na Wameumizwa sana na watu wale wa karibu sana yaani wale ambao waliwasaidia kwa jasho na Damu lakini Mwisho wa siku wamegeuka na kubakia Maadui...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…