nafasi ya pili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dalton elijah

    GE2025 ADA TADEA tunagombea Urais Ili Kupata Nafasi ya Pili

    Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ADA-TADEA, Juma Ali Khatib, amesema chama chake hakina dhamira ya kumpinga Rais wa sasa, Dk. Hussein Ali Mwinyi, bali kinalenga kupata nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar. Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa fomu za kugombea urais katika...
  2. Mtu wa Majira na Nyakati

    Mfahamu Mgombea ubunge aliyeshika nafasi ya pili katika jimbo la Bukoba mjini, Ndugu Alex Muganyizi

    HUU HAPA UTAMBULISHO WA ALEX DENIS MUGANYIZI Mgombea Ubunge – Bukoba Mjini (CCM) Aliyeshika nafasi ya pili. Alex Denis Muganyizi ni mfano wa kiongozi wa kisasa anayechanganya kwa ustadi taaluma, maadili na upendo kwa watu wake. Ni mwanasheria mbobezi katika masuala ya kodi, mwenye shahada ya...
  3. L

    Jesca Magufuli Atakata Kwa kushika nafasi ya Pili Nyuma ya Ng'wasi ,huku Halima Bulembo Aking'ara nafasi ya tatu Ubunge Viti Maalumu vijana Bara.

    Ndugu zangu Watanzania, Jesca Magufuli mtoto wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Ameibuka kidedea na kutakata katika Kuwania ubunge wa viti maalumu Tanzania Bara kundi la vijana kwa kushika nafasi ya pili Nyuma ya Mwanadada machachari Ng'Wasi Kamani aliyeshika nafasi...
  4. Nucky Thompson

    Musiba ashangaa kukatwa CCM: 2020 nilikuwa nafasi ya pili kura za maoni, 2025 nimeonekana sifai kabisa?

    Mwnaharakati machachari na mzalendo wa Chama cha Mapinduzi, aliyependa na kupendwa sana na hayati Magufuli Cyprian Musiba amesema hajaelewa sababu walizotumia viongozi wa chama kukata jina lake pamoja na majina ya watu wengine Musiba amesema yeye amechukua fomu kwa mara ya nne mwaka huu na...
  5. Papillon 1906

    Je umeshawai kupewa nafasi ya pili baada ya kughafilika

    Katika safari ya maisha uwezi kufanya mambo yote kwa usahii lazima kunapahala utaghafilika na kukosea katika uwajibikaji. Inafaa mtu anapokosea apewe nafasi nyingine ya kuweza kubadilika na kufanya vizuri. Je kipi ulifanya baada ya kupewa nafasi ya pili?
  6. Kitimoto

    Mama Mbona Ujaipongeza Timu ya Simba Kushika Nafasi ya Pili Kwenye Kombe la Shirikisho Mwaka Huu 2025?

    Inawezekana Mama amepitiwa kulikosababishwa na Majirani zetu wapendwa wa hapo Kenya!
  7. M

    Je, ikitokea Simba amemaliza nafasi ya kwanza kileleni na Yanga nafasi ya pili na imebakia mechi moja ya Simba vs Yanga, Je Yanga mtakaa kucheza?

    Nna uhakika Simba akimaliza nafasi ya kwanza kileleni na Yanga akashika nafasi ya pili, je mechi ya mwisho mtakayopangiwa na Bodi ya Ligi ili mcheze na Simba mkishinda mnabeba kombe, mtakaa kwenda kucheza kweli? Yaan Yanga amebakiza mechi moja na Simba ili awe bingwa, mtakaza msicheze Simba awe...
  8. Waufukweni

    Aliyefutiwa Uraia Afrika Kusini, Chidimma aibuka mshindi wa pili Miss Universe 2024

    Malkia wa urembo wa Miss Universe Nigeria, Chidimma Adetshina, ameibuka mshindi wa pili katika shindano la Miss Universe 2024 lililokamilika Mexico City Jumamosi usiku. Miss Denmark, Victoria Kjaer Theilvig ndiye aliyeibuka Miss Universe mwaka huu 2024. Chidimma Adetshina ambaye awali...
  9. L

    Mchezo wa Draft ndio mchezo unaoshika nafasi ya pili kwa kupendwa nchini Tanzania, Serikali ikae na wadau kuanzisha na kuendeleza mchezo huu

    Ukiondoa mpira mguu, mchezo wa draft ndio mchezo ambazo unachezwa katika wilaya zote nchini, hakuna wilaya hapa nchini utaenda utakosa wachezaji wa mchezo huu, nenda wilaya yoyote draft lipo na wachezaji wapo, Dar es salaam ndio balaa, kule manzese, mbagala, kinondoni ndio kuna mafundi wakubwa...
  10. LUKAMA

    Saikolojia: Aina 10 za watu ambao hawastahili nafasi ya pili (second chance)

    Inasemekana mara nyingi kwamba kila mtu anastahili nafasi ya pili. Lakini hiyo si kweli kila wakati, kulingana na saikolojia. Kuna aina fulani za watu ambao, kwa ajili ya afya yako ya akili, hawapaswi kupewa nafasi ya pili. Hawa ni watu ambao matendo na tabia zao zimeonyesha kuwa hawana...
Back
Top Bottom