nafasi ya kazi

  1. Mstahiki Mea

    Nafasi ya kazi Mwalimu wa Physics

    Anahitajika Mwalimu wa Physics Tunatafuta mwalimu wa Physics Vigezo: Awe amemaliza chuo kikuu chochote nchini Tanzania. Kwa mawasiliano zaidi.+255763855365 Asanteni
  2. W

    Nafasi ya kazi kwenye duka la nguo

    Anahitaji mdada kwa ajili ya duka la nguo , lipo mwananyamala komakoma awe anayeishi jirani na maeneo hayo, mshahara 150,000, awe na uwezo wa kutumia social media kutangaza Mawailiano , Whatsapp 0754200363
  3. the unique

    Nafasi ya kazi

    Naomba kushare nafasi ya kazi, kuna rafiki yangu anahitaji mtu wa kumsaidia kuuza duka la dawa morogoro mjini mwenye sifa. Mambo mengine wataongea nae waelewane.
  4. Diccas

    Naomba Nafasi ya internship.

    Habari viongozi, nimesoma Accounting with IT nimemaliza mwaka jana, nlikua natafuta sehemu nayoweza kufanya internship kusharpen skills. Kama kuna nafasi sehemu tupeane Deals
  5. Mad Max

    “Dereva Daraja la II” ndio nafasi ya kazi inayoongoza kutangazwa Ajira Portal.

    Wakuu. Wengi mtasupport ili, madereva ndio wanaotangazwa sana katika Ajira Portal. Sizisemi kada nyingine, lakini mfano hapo cheki wana nafasi 40 zimetangazwa, na kila nafasi unakuta zina post 5 kuzidi. Kwahiyo 40x5 inamaanisha kuna madereva 200 wanahitajika ndani ya hizi week mbili...
  6. DanbyHR

    Tunatafuta Msusi mwenye uzoefu kujiunga na timu yetu ya saluni iliyopo Moshi Mjini, Mbuyuni

    TANGAZO LA NAFASI YA KAZI – MSUSI Mahali: Moshi Mjini – Mbuyuni Tunatafuta Msusi mwenye uzoefu kujiunga na timu yetu ya saluni iliyopo Moshi Mjini, Mbuyuni. Sifa zinazohitajika: ✅ Uwe na uzoefu wa kusuka mitindo mbalimbali ya nywele (braids, twisting, lines, crochet, dreadlocks n.k) ✅ Umakini...
  7. Z

    Naomba nafasi ya kazi

    Mim ni Kijana wa kiume , mwenye afya njema elimu yangu kidato Cha sita. Naishi dar es salaam kimara. Nimetafuta sana kazi ila nimekosa ,nilikuwa naomba nafasi ya kazi yoyote ile , na nipo tayari kufanya kazi yoyote ile kwenye mazingira yoyote yale
  8. M

    NAFASI YA KAZI: Kusimamia Akaunti kwa Kutumia Robot (Kazi ya Ofisini - Dar es Salaam)

    Natafuta vijana wenye umri kati ya miaka 20 hadi 28 kwa ajili ya kusimamia akaunti za biashara kwa kutumia mfumo wa roboti (robot) katika mazingira ya ofisi iliyopo Kinyerezi Mwisho, Dar es Salaam. ✅ Robot tayari ipo, kazi yako ni kuingia kwenye akaunti, kufuatilia maagizo ya robot, na...
  9. kingphisher

    Natafuta kazi; nina bachelor ya Business Information Technology

    Wakuu habari za muda huu. nimekuwa nikitafuta kazi kwa udi na uvumba, jasho na da..., ila sijafanikiwa kupata hata hivyo. nina bachelor ya Business Information Technology, nikiwa nimejikita upande wa networking pamoja na programming (PHP/LARAVEL). kwa yeyote anayeweza kunisaidia katika hili...
  10. Orketeemi

    Naomba msaada wa nafasi ya kazi au internship kwa kada ya Clinical Dentist

    Wakuu habari. Nina kijana anatarajia kuhitim mafunzo yake katika kozi ya Diploma in Clinical Dentistry mwezi wa nane mwaka huu. Naomba msaada wa mwongozo au nafasi ya kazi, internship kwa niaba yake kwa kipind hicho. Msaada wako ni muhim sana.
  11. P

    Anaitajika mtu wa mauzo na masoko

    MAPADA SOAP LTD NAFASI: Mtu wa Mauzo na Masoko IDADI: Nafasi moja (1) MAHALI: Kitunda, Mzinga Block 19 – Dar es Salaam MAPADA SOAP LTD inatangaza nafasi ya kazi kwa mtu mwenye uwezo wa kufanya kazi katika kitengo cha mauzo na masoko. Tunahitaji mtu mwenye bidii, ubunifu, na uelewa mzuri wa...
  12. T

    Mining engineer natafuta nafasi ya kazi

    Habari wakuu, Nina digrii ya uhandisi wa uchimbaji madini (BSc Mining Engineering). Nina uzoefu katika; -kufuatilia utendaji wa mitambo -kuhakikisha usalama kazini -Nina uelewa mzuri wa matumizi ya programu kama Surpac, Datamine, na AutoCAD -Stadi za uchambuzi na uandaaji wa taarifa za kila...
  13. Decruise

    Natafuta Nafasi ya kazi

    Shikamooni wakubwa zangu, habari za kazi pia vijana wenzangu. kwa jina naitwa meshack ni muhitimu wa chuo cha taifa cha usafirishaji Dar es Salaam. natafuta kibarua au kazi kabisa. Elimu yangu ni degree ya usafirishaji na logistiki kwa ujumla naweza nikafanya kazi kama afisa usafirishaji yaani...
  14. M

    Natafuta nafasi ya kazi

    Natafuta Fursa ya Ajira – Legal Assistant / Company Secretary / Personal Secretary / Legal Consultant Mimi ni binti aliyehitimu Shahada ya Sheria, naishi morogoro, mchapakazi, mwaminifu, na mwenye maadili ya kazi. Nina hamasa ya kutumia taaluma yangu kusaidia kampuni, taasisi au mtu binafsi...
  15. barakachaplin

    Nafasi ya Kazi: Airtel Money Business Support Officer

    Je, wewe ni mtaalamu wa ukuaji wa biashara, usimamizi wa akaunti muhimu, au huduma za fintech? Jiunge na mteja wetu, kampuni ya simu maarufu, kama Airtel Money Business Support Officer na usaidie kuendeleza matumizi ya pesa za mkononi, ushirikiano wa biashara, na mifumo ya malipo ya dijiti! 🔹...
  16. Dalali mbeya jiji

    Kijana anatafuta nafasi ya kazi kwa mkoa wa Dar es salaam au Dodoma.

    Habari humu ndani kijana anafuta nafasi ya kazi. Amemaliza CBE DODOMA 2021. Ana Diploma Bissness Administration. Ni kijana mwaminifu na muadilifu sana. Mawasiliano. +255761972755,+255612246050. Tumsaidie apate ajira ndugu zanguni
  17. Muchaa

    Nafasi ya kazi Sales & office admin

    Anahitajika kijana mkazi wa Babati Qualification.. 1. Degree/Diploma in business or any related field 2. Awe mkazi wa Babati 3. Awe na uwezo wakusafiri kupita katika wilaya zilizopo Mkoa wa Manyara..... Mawasiliano piga 0687222251
  18. E

    Nafasi ya kazi front desk officer position

    Gdence Auto Spare Parts and Service ni kampuni inayo jihusisha na uuzaji wa vipuli vya magari kutoka German na urekebishaji (Service) ya magari hayo. Ofisi zetu ziko Dar es salaam maeneo ya Sinza na Tandale Tanesco. Tunapenda kutangaza nafasi moja (1) ya kazi nafasi ya FRONT DESK OFFICER...
  19. B

    Ombi la Kibarua – Niko Tayari Kufanya Kazi

    NATAFUTA KIBARUA NDUGU ZANGU Mimi Ni kijana (me), mkazi wa TABATA KINYEREZI. Nina elimu ya kidato cha nne na ninategemewa na familia yangu—mke na watoto wawili. Kutokana na changamoto za maisha, natafuta kibarua chochote cha halali ili niweze kuhudumia familia yangu. Nina uwezo wa kufanya kazi...
  20. F

    Nafasi ya kazi kusimamia biashara ya hardware

    Habari, Nahitaji kijana wa kusimamia biashara ya hardware hasa katika'; Ku apply Tender katika mtandao wa nest Ku tafuta masoko ya bidhaa zilizopo Ku tafuta potential suppliers Ku tuma sales and purchases report kupitia excel tool etc Biashara ipo kibaha, kwa mawasiliano tuma mail through...
Back
Top Bottom