nadra

The National Database & Registration Authority (NADRA) (Urdu: مختاریہ برائے قومی اندراجات و معطیات‎) is an independent and autonomous agency under the control of the Interior Secretary of Pakistan that regulates government databases and statistically manages the sensitive registration database of all the national citizens of Pakistan.Nadra is also responsible to issuing the computerized national identity cards to the citizens of Pakistan, maintaining their sensitive informational upgraded in the government databases, and securing national identities of the citizens of Pakistan from being stolen and theft. It is one of the largest government database institution, employing more than 11,000 people in more than 800 domestic offices and five international offices.Codified by the Second Amendment, §30 of the Constitution of Pakistan in 2000, the constitution grants powers to NADRA to enact civil registration and sensitive databases of Pakistan's citizens; all databases are kept to ensure the safety of its citizen's databases. The organization is currently headed by Brig (Retd) Khalid Latif who is the Acting Chairman.

View More On Wikipedia.org
  1. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Sasa tunaweza kukubaliana kuwa; aina ya siasa anayoifanya Rais Samia ni ya kiwango cha juu sana ambapo ni nadra sana kuiona Afrika

    Rais Mama Samia ni mtu anayeamini kwenye siasa za ushawishi badala ya kutumia maguvu ‘Unnecessarily’. Ni mtu anayeamini kwenye utu na muadilifu kweli kweli. Falsafa yake hii, humfanya asiwe anaangalia tu matokeo ya mwisho ya michakato, bali pia uhalali wa michakato yenyewe na kutumia busara ya...
  2. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Hapa Rujewa, Mbarali umeme kwa sasa ni kitu ghali mno na nadra sana kupatikana

    Ndiyo,ni hapa Rujewa. Leo ni karibu miezi 6 sasa upatikanaji wa umeme hapa Rujewa ni wa kiwango Duni ambacho hakielezeki! Mfano, kwa wiki moja upatikanaji wa umeme hauzidi masaa 48 na tatizo halieleweki ni nini. Mbaya zaidi, si Tanesco ama kiongozi yeyote hawasemi ama kutangaza kama upo mgawo...
  3. Marire

    JamiiForums Tanzania Vifaranga vya broiler vimekuwa taabu sana kupatikana, nifanye nini?

    Wakuu salaam Sana, Baada ya kuchoshwa na ajira nikaamua nirekebishe maBanda nianze kufuga Hawa kuku wa week nne (broilers) ila Sasa nimekuja kukwama baada ya kusaka vigaranga bila mafanikio na kuna makampuni ukiwapigia wanakuambia hawana vifaranga ila utasikia siku flani wameuza Sasa siajua...
Back
Top Bottom