nactvet

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania KERO Nini sababu ya kuwalipisha wanachuo pesa ili wapate AVN namba?

    Habari zenu wana Jamii Forums. Niende kwenye mada moja kwa moja, nimekua kwenye wakati mgumu kimtazamo kutokana na mambo yanavyoenda kwenye Nchi yetu, na moja ya jambo ambalo limekua likinipa ukakasi ni juu ya swala la NACTVET kulazimisha wanafunzi wanaotaka kusoma hatua ya Degree kununua namba...
  2. JamiiForums Tanzania Changamoto ya mfumo wa nactvet kushindwa kutoa avn

    Mfumo wa NACTVET kushindwa kutoa AWARD VERIFICATION NUMBER. USERNAME na PASSWORD walionitumia baada ya ku create account hazikubali ku log in na hata nikifanya FORGOT PASSWORD bado mfumo unanipa notification kwamba USER NAME na NAMBA YA SIMU sio Sahihi. Mwenye uelewa wa hii changamoto naomba...
  3. JamiiForums Tanzania Award Verification number (AVN)-DIT & NACTVET

    Habari wadau, Ninatumaini kuwa mnaendelea vyema na Majukumu. Mimi ni Mhitimu wa diploma idara ya Umeme katika taasisi ya teknolojia Dar es salaam DIT Mwaka wa masomo 2021/2022. Ninawaandikia thread kuomba msaada na kufikisha Malalamiko yangu kuhusu kucheleweshewa au kushindwa kupatiwa...
  4. JamiiForums Tanzania Namba zote za ofisi ya NACTVET hazipatikani na Hii ni ofisi ya umma inayotoa huduma

    Tangu Jana nina tatizo kubwa ambalo nahitaji msaada kwa NACTVET lakini namba zao zote zilizopo kwenye website yao hazipatikani. Inamaana mimi nitumie nauli kuvuka mikoa kwa mikoa niende ofisini kuulizia kitu tu? Na hapo nimejaribu hafi kwa njia ya email ila haijajibiwa. Mkurugenzi wa NACTVET...
  5. JamiiForums Tanzania NACTVET: Malalamiko kuhusu vyeti yanatakiwa kuwasilishwa kwetu kwa maandishi

    Baada ya malalamiko kutolewe na member kwenye Jukwaa la Habari na Hoja ndani ya JamiiForums.com kuhusu Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kuwazungusha baadhi ya watu ambao wanafanya mabadiliko ya taarifa za vyeti vyao vya elimu, mamlaka husika imetoa maelezo...
  6. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Nimelipia marekebisho ya cheti cha Chuo, huu ni mwezi wa nne sasa, NACTVET wananizungusha tu

    Nina malalamiko yangu kuhusu Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET). Kuna watu tupo wengi tuliomba tubadilishiwe matokeo ya Chuo kwa makosa ya kibinadamu katika Uandishi, tukalipia pesa kupitia “Control Number”. Mpaka sasa miezi minne imefika kila tukienda...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini TAMISEMI wamechagua wanafunzi kujiunga NACTVET?

    Mh waziri Tamisem Angela Kairuki, wiki hii ametangaza chaguzi/selection za vijana wa kidato cha nne kujiunga na kidato cha tano pamoja vyuo mbalimbali. Miaka ya nyuma vijana wote waliokuwa wakijiunga na vyou vya ufundi pamoja na uwalimu serikali ilikuwa inacover gharama zote au baadhi. Leo hii...
  8. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Sababu za kukua kwa lugha ya Kiswahili Kimataifa na kudumaa nchini

    SABABU ZA KUKUA KWA LUGHA YA KISWAHILI KIMATAIFA NA KUDUMAA NCHINI Kiswahili ni Lugha inayozidi kukua barani Afrika na duniani kote kadri siku zinavyozidi kusogea hili likidhihirishwa na maboresho na mabadiliko ya mitaala ya elimu katika mataifa mbalimbali barani Afrika ili kutoa mwanya wa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kelele , jana NACTVET/ Wizara ya Afya wametoa Ratiba ya mitihani ya vijana wa Afya

    Shame upon you! Mpaka watu walalamike ndio mzinduke. Hamstahili kuwa ofisini nyote mnaohusika na wajibu huu wa kutoa ratiba. Shame upon you!
  10. C

    JamiiForums Tanzania NACTVET chunguzeni wasimamizi wa mitihani ya Wizara ya Afya

    Wapo wasimizi wanashiriki kila zoezi la kazi maalum kwa sababu ya connection tu lakini si waadilifu. Baadhi wamekuwa wakiomba fedha ili wawabebe wanafunzi na wamiliki wa vyuo wasio na maadili huwakubalia. Najua kwa sasa kuna watu wa ofisi ya Rais wanahusishwa katika zoezi isipokuwa ninyi mna...
  11. JamiiForums Tanzania Coordinator of Admissions and Articulations II - 1 Post at NACTVET

    POST COORDINATOR OF ADMISSIONS AND ARTICULATIONS II – 1 POST EMPLOYER The National Council for Technical and Vocational Education and Training (NACTVET) JOB SUMMARY N/A DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To assist coordination of students’ admission into technical and vocational institutions; ii...
  12. JamiiForums Tanzania NACTE yabadilishwa jina, sasa kujulikana kama NACTVET

    Baraza la Taifa na Elimu ya ufundi (NACTE), sasa limebadilishwa jina na litajulikana kama Baraza la Taifa la Elimu ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi (NACTVET), mabadiliko hayo yamefanywa kufuatia Bunge kufanya mabadiliko mbalimbali ya Sheria ikiwemo Sheria namba 4 ya 2021. Mabadiliko hayo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…