Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limemtia mbaroni Tito Onesmo Machibya, maarufu kama “Nabii Tito”, kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo, matusi na uchochezi.
Kwa mujibu wa taarifa ya Polisi, mtuhumiwa alikamatwa usiku wa Agosti 15, 2026 katika eneo la Sinza Makaburini, wilayani...