Mabingwa watetezi wa Morocco, FAR Rabat wanaofundishwa na kocha wa zamani wa Yanga Nabi, wametupwa nje ya Klabu Bingwa Afrika kwa kuzabwa mabao 3-1 kwa matokeo ya jumla na Etoile du Sahel ya Tunisia.
FAR Rabat wamepigwa nje-ndani baada ya kupoteza kwa 1-0 na 1-2 kwa mechi za ugenini na...