mzozo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Uvumilivu wa IPTL Walipa Katika Mzozo wa Dola Milioni 168 na Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong

    12 January 2026 Tanzania: Uvumilivu wa IPTL Walipa Katika Mzozo wa Dola Milioni 168 na Benki ya Standard Chartered ya Hong Kong Januari 12, 2026 Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) imeshinda rufaa iliyowasilishwa na Benki ya Standard Chartered Hong Kong katika Mahakama ya...
  2. Wachina ni wezi wa teknolojia si wabunifu, ndio maana mzozo wao na USA hauwezi kuisha

    Wachina wengi wanakimbilia sana kusoma nchi zenye teknolojia kubwa sio kwa ajili kusoma bali kuchukua maarifa kupeleka kwao ambacho hizo teknolojia zimetumia mda mrefu kiutafiti. Nchi kama USA wanatumia bajeti kubwa za utafiti ukilinganisha na wachina. Sasa hapa unaweza kusema mchina ni mkali...
  3. GE2025 John Heche alalamikia polisi 'kujazana' Mahakamani kabla Kesi ya Lissu kuanza

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelalamikia kile ilichodai kuwa uwepo wa askari wanaovaa kiraia wanaojazana kwenye chumba cha Mahakama huku wananchi (makada wa CHADEMA) waliojitokeza kusikiliza kesi inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu anayekabiliwa na kesi ya...
  4. Tanzania ya Samia: Documentary Yaleta Mzozo

    Kesho, Agosti 27, macho ya Watanzania yatageukia ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, ambako kutafanyika uzinduzi wa “documentary” maalum iitwayo Tanzania ya Samia. Kazi ambayo imetangazwa rasmi na mtangazaji wa Clouds FM, Meena Ally, ambaye pia ni miongoni mwa waliopata nafasi ya...
  5. Tamaduni za kabila la Kalabari kutoka nchini Nigeria zinatija?

    Utaratibu wa sherehe za kabila la kalabari nchini Nigeria, Bibi harusi hacheki wala kutabasamu mbaka atosheke na pesa anazopatiwa na Bwana harusi wakati wa ndoa za kikabila. Tazama video hapa👇
  6. Mzozo wa Mpaka Kati ya Thailand na Cambodia Uendelea kwa Siku ya Tatu

    Mzozo wa mpaka kati ya Thailand na Cambodia umeingia siku ya tatu, huku pande zote mbili zikiendelea kurushiana risasi na silaha za moto. Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetoa wito wa kwanchi hizo kujizuia kulipa mashumbulizi. Cambodia imeitaka Thailand “kusitisha mapigano mara moja”...
  7. Iran yawakamata na kuwanyonga washukiwa kufuatia mzozo wa Israel

    Mamlaka ya Iran imewakamata na kuwanyonga watu kadhaa wanaoshukiwa kuwa na uhusiano na mashirika ya kijasusi ya Israel, kutokana na vita vya hivi majuzi kati ya nchi hizo mbili. Hatua hiyo inawadia baada ya kile maafisa wanaelezea kama kuingiliwa kwa huduma za usalama wa Iran na maajenti wa...
  8. Japani Imezindua Mpango Kuwahamisha Raia 100,000 Kutoka Visiwa Karibu Na Taiwan iwapo Kutatokea Mzozo

    Japani kwa mara ya kwanza imetoa mipango ya kuwahamisha zaidi ya raia 100,000 kutoka baadhi ya visiwa vyake vya mbali karibu na Taiwan iwapo kutatokea mzozo katika eneo hilo, huku kukiwa na mvutano unaoongezeka kati ya Beijing na Taipei. Chini ya dharura hiyo, meli na ndege zitahamasishwa...
  9. T

    Baada ya mzozo wa jana kati ya Trump na Zelensky: Nchi z Ulaya zimeaanza kujielewa

    Norwegian fuel company Haltbakk Bunkers has announced it will cease supplying fuel to U.S. military forces in Norway and American ships docking in Norwegian ports, citing dissatisfaction with recent U.S. policy towards Ukraine...
  10. I

    Bunge la Ulaya lataka kusitishwa kwa msaada wa EU kwa Rwanda kuhusu mzozo wa Kongo

    Kama kawaida waafrika ni watu wanaopenda kutafuta visingizio kwa matatizo yanayowakabili ambazo mara nyingi wanajiletea wenyewe. Mfano mzuri ni mgogoro uliopo nchini Congo unaohusisha serikali ya nchi hiyo na waasi wa M-23 ambao wengine wamekuwa wakidai kwamba huchochewa na wazungu japo hawatoi...
  11. Anguko la Syria litafungua njia kwa anguko la tawala za Kishia Mashariki ya Kati

    Homs tayari imeanguka mikononi mwa waasi Damascus ipo matatani Wakurd jana nao wameteka mji wa mashariki mwa Syria na kuzuia jeshi la Iraq na Iran kutoa msaada wa silaha na kijeshi kwa Assad Homs Wanamgambo wa Hayat Tahrir al-Sham (HTS) muda huu wapo Homs, wakishika maeneo muhimu ya mji...
  12. Mzozo mkali wazuka Willy Paul akizuiwa kutumbuiza kabla ya Diamond Platnumz kwenye tamasha la Furaha City

    Mzozo mkali ulivyoibuka baada ya wasimamizi wa jukwaa na timu ya ulinzi kumzuia Willy Paul kutumbuiza kabla ya Diamond Platnumz kwenye tamasha la Furaha City Inaelezwa pia Diamond Platnumz hakupiga show Soma, Pia: + Diamond aondoka bila kuperform, kwenye show ya Furaha Festival Kenya + Hii...
  13. M

    Stay informed mzozo wa Orxy na Oil com

    Oilcom’s arbitral tribunal support The story about the claim opposing Oilcom and Oryx is putting light on an unknown process in Tanzania, the Arbitration Tribunal. As spotted by legal expert Selemani Mwamba Bakari in the Citizen publication: Arbitration is still a relatively new concept within...
  14. LGE2024 Kilimanjaro: Mzozo mkali wazuka kituo Bubu Vunjo, Watu wakiandikishwa kiholela

    Mzozo mkubwa umeibuka katika kituo bubu cha uandikishaji wapiga kura huko Vunjo, Kilimanjaro ambapo madai ya uandikishaji holela wapiga kura yameibua hasira na maswali mengi miongoni mwa wananchi wema. Pia, Soma: Mwanza: Karani abanwa baada ya kuongeza majina hewa 200 kwenye daftari la Wapiga...
  15. Hivi serikali imejipangaje kukabiliana na uwezekano wa kutokea uhaba wa mafuta mkubwa duniani kutokana na mzozo unaoendelea katika ghuba ya Uajemi?

    Iran Tovuti kubwa ya habari duniani Reuters imeripoti kuwa "Nchi zinazopatikana katika ghuba ya Uajemi (Persian Ghulf states) zitakazo saidiana na Israel kuishambulia Iran katika visima vyake mafuta (oil facilities) , hazitabaki salama. Iran itajibu mapigo kwa kuangamiza oil facilities zote...
  16. M

    HISTORIA YA MZOZO WA WAKIRISTO VS MAYAHUDI

    Mateso ya Wayahudi huko Hispania na Inquisition (Karne ya 15) Mnamo karne ya 15, Wayahudi waliokuwa wakiishi katika Hispania ya Kikristo walikumbwa na mateso makali wakati wa Inquisition ya Kihispania. Wengi walilazimishwa kubadili dini kuwa Wakristo (anaitwa "Conversos"), na wale waliokataa...
  17. Hezbollah yamzika kamanda aliyeuawa katika shambulio la Israel huku mzozo ukiongezeka

    Tunakuletea sasa taarifa kutoka kwa mazishi ya kamanda mkuu wa Hezbollah, Ibrahim Aqil. Aliuawa katika shambulizi la Israel kwenye viunga vya kusini mwa Beirut siku ya Ijumaa. Shambulio hilo liliashiria kuongezeka kwa awamu ya sasa ya mzozo wa Israel-Hezbollah, ulioanza tarehe 8 Oktoba. Hivi...
  18. Kamati Kuu ya ANC yaahirisha kikao kufuatia mzozo ndani ya chama hicho

    Chama cha African National Congress (ANC) kimeahirisha kikao chake cha kamati kuu ya kitaifa (NEC) kilichopangwa kufanyika leo Jumanne, na sasa kitafanyika siku ya Alhamisi, tarehe 6 Juni, 2024. Mmmoja wa viongozi wakuu wa chama cha ANC ameeleza kuwa kuahirishwa huko ni matokeo ya mzozo mkubwa...
  19. Goli la Yanga dhidi ya Mamelodi mzozo ni mkubwa South Africa kuliko Tanzania, CAF inapoteza credibility

    Gumzo linaloendelea hapa South Africa kwenye mitandao ni kwamba Yanga ndio wameshinda mechi lakini Mamelodi ndio walionufaika. Nikiweka ushabiki wangu pembeni Mimi huwa napenda Sana kujifunza Vitu nisivyovijuwa. South Africa wapinzani ni Chiefs na Orlando, lakini ukiwafuatilia vizuri unakuta...
  20. Hatimaye APHFTA na Hospitali Binafsi zote Warejesha huduma za HNIF Hospitalini

    Wizara ya Afya Tanzania wameupongeza Uongozi wa Bodi ya Wamiliki wa Vituo vya Afya binafsi (APHFTA) kwa hatua hii nzuri yenye kuleta matumaini katika kufikia suluhisho la changamito iliyojitokeza. "Sote ni wamoja, turudi kwenye majadiliano, huduma bora za afya ziendelee kutolewa kwa wananchi."...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…