Moja ya wosia maarufu zaidi wa baba wa taifa kwa vijana unaoishi hadi leo.
Nyerere,
"Tunataka vijana waasi, jeuri na mashujaa dhidi ya mifumo isiyoendana na matarajio ya watanzania."
kwa mauwaji samia aliyoyafanya kwa kushirikiana na polisi wapumbavu, wajinga na wala rushwa vijana lazima tuasi...
Baadhi ya Viongozi wa nchi hii siyo tu kwamba wanaonekana kuelewa madaraka na uchawa, bali Sasa wameanza kukufuru.
Mmoja wao ni Profesa Kabudi. Huyu anajua baba wa Taifa Hayati Mwalimu Nyerere enzi za uongozi wake alifanya mambo mengi makubwa na ya kukumbukwa.
Nyerere alituunganisha watanzania...
MANENO YA MWALIMU NYERERE
“Tunataka kuona katika Taifa hili vijana jeuri na wenye kujiamini; si vijana waoga, akina “ndiyo bwana mkubwa; vijana wenye ujasiri wa kuhoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya Kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya...
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.
Matokeo ya kura yakaonesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.
Baada ya matokeo hayo...
ali hassan mwinyi
benjamin mkapa
gazeti la mwananchi
magufuli
mkapa
mwananchi
mwljuliusnyerere
rais magufuli
rais samia
the citizen
uchumi imara
uchumi wa tanzania
I first met Julius Kambarage Nyerere in 1955. At this time I was assigned by Msgr. Gerard Grondin, Prefect Apostolic of the Prefecture of Musoma, Tanzania (formerly called Tanganyika) to open a new mission among the Zanaki Ethnic Group (formerly called tribe).
When I first arrived in Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.