mwinyi

Ali Hassan Mwinyi (born 8 May 1925 in Kivure, Pwani Region, Tanzania) is a Tanzanian politician who served as the second President of the United Republic of Tanzania from 1985 to 1995. Previous posts include Interior Minister and Vice President. He also was chairman of the ruling party, the Chama Cha Mapinduzi (CCM) from 1990 to 1996.During Mwinyi's terms Tanzania took the first steps to reverse the socialist policies of Julius Nyerere. He relaxed import restrictions and encouraged private enterprise. It was during his second term that multi-party politics were introduced under pressure from foreign donors. Often referred to as Mzee Rukhsa ("Everything goes"), he pushed for liberalization of morals, beliefs, values (without breaking the law) and the economy. Many argue that during Mwinyi's tenure the country was in transition from the failed socialist orientation of Julius Nyerere that brought its economy to its knees. It was during Mwinyi's administration that Tanzania made some of the crucial decisions towards the liberalization of its economy that paved the way for short-term economic growth.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Njia ya Watembea kwa Miguu imegeuzwa DAMPO la TAKATAKA na kusababisha athari za kiafya (Yombo barabara ya Mwinyi, Kata ya Kilakala)

    Ndugu Wahusika, Napenda kuwasilisha malalamiko rasmi kuhusu hali isiyoridhisha ya njia ya kupita kwa watembea kwa miguu katika eneo letu, ambayo kwa sasa imegeuzwa kuwa dampo la kutupia takataka. Hali hii imesababisha: Harufu kali na isiyovumilika katika mazingira ya makazi Uchafu unaoathiri...
  2. Sifi Leo

    Wanaume wawili Zanzibar watekwa kwenye gari aina ya IST

    Kuna habari ya wanaume wawili kutoka Zanzibari ya kuwa wametekwa na watu wawili walio kuwa na gari aina ya IST nauliza kweli wanaume mnatekwa kwenye gari aina hii? Rais wa Zanzibari chukua hatua
  3. Sifi Leo

    Kwa hiyo Ikulu kubwa sasa zipo kwa matukio tu? Rais Samia katoka Ethiopia na kutua Zanzibari, kwanini Mwinyi hamkupokea?

    Kwa hiyo sasa hivi watanganyika wakiwa na shida na Rais wamfate huko kwao zanzibari wakiwa nabarua za utambulisho kutoka Kwa wenyeviti wa mitaa? Swali jingine, je matumizi ya statehouse ambazo ni chamwino na Dsm Sasa zipo MAALUMU kwa matukio TU? Rais wa Tanganyika alipotua uwanja wa Amani...
  4. B

    Nimetathimini Kazi Nzuri alizofanya Rais Hussein Mwinyi Ndani ya Zanzibar, kiukweli kabisa ashukuriwe

    Dr Hussein Mwinyi, Rais na Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar anapaswa kupongezwa na kupewa heko. Ndugu zangu ukiona sehemu imepata maendeleo au jambo zuri linafanyika ni vema utambue ya kuwa watu wemewekeza nguvu, akili, muda, pesa na uhuru wao pia. Ndani ya miaka mitano ya utawala wa...
  5. S

    Kuna shaka na walakini (conspiracy theory) katika kila kifo cha waliokuwa marais wa Tanzania isipokuwa Mwinyi peke yake

    1. Julius Nyerere Nyerere alimbeba sana Mkapa ili kuweza kumshinda Mrema, na kila mtu alijua bila Nyerere Mrema ndie angekuwa raisi wa Tanzania kupitia NCCR-Mageuzi. Jambo la ajabu ni kwamba baada ya kushinda uraisi Mkapa alimgeuka kabisa Nyerere, akawa hafanyi hata consultation nae, hata kwa...
  6. S

    Kisa cha rais Mkapa na spika mstaafu Anna Makinda

    Mkapa wakati akigombea urais 1995, alikuwa hafahamiki sana. Hivyo wanaccm wengi, ikiwa ni pamoja na Anna Makinda walikuwa wakiwaunga mkono "Boyz II Men" (nick name ya Kikwete/Lowasa & Co) . Wakiwa Chamwino kwenye kampeni za hapa na pale kabla ya kuanza kwa vikao vya maamuzi, Anna Makinda akiwa...
  7. SNAP J

    Chanzo cha tatizo (root cause) ni Samia na genge lake; mkitaka kuamini hilo, Dr. Mwinyi aje huku na Samia aende Zanzibar, nchi itatulia

    Ikitokea samia aende kuwa raisi wa Zanzibar halafu Dr. Mwinyi aje kuwa raisi wa JMT, naamini Taifa litarudi kwenye utulivu wake immediately. Ndio!. Ila najua kuna wengine watabisha. Do you know WHY?.. THE ANSWER IS VERY SIMPLE...
  8. Mhaya

    Mwinyi Awapa Wapinzani Waongoze Wizara 4, Mwinyi ndio alipaswa kuwa Rais wa Tz baada ya JPM

    JPM alifanya makosa kumteua SSH kama mgombea mwenza. Mwinyi alifaha sana kuwa Rais wa TZ, jamaa yuko smart pia hana mihemuko na anaonekana kuwa na upendo kwa kila mtu. Mimi ni mkristo ila huyu ofisaaa alitufaha sana kama Rais wa Jamhuri. Kwanza anaga skendo za kijinga pili kanyooka kama rula...
  9. Mhaya

    Kumbe Zanzibar ina Katiba yao, Msikilize Hussein Mwinyi

  10. McLaren

    Mchambuzi Simba Mwinyi: Waliokuwa wanahamasisha maandamano walikuwa wanataka kufanya mapinduzi

    Mchambuzi wa masuala ya siasa na uchumi, Simba Mwinyi, amesema maandamano yoyote yenye tija ni lazima yabebe ajenda maalum na yafanyike kwa kufuata utaratibu wa kisheria, ikiwemo kupata kibali kutoka mamlaka husika kabla ya kufanyika kwake. Akizungumza katika Mjadala Maalum wa Jambo TV leo...
  11. M

    Zanzibar: Hussein Mwinyi wins reelection with 74.8 pct vote

    October 30, 2025 Tanzania's Zanzibar President Hussein Ali Mwinyi has won a second term in office, the Zanzibar Electoral Commission (ZEC) announced on Thursday night. ZEC Chairperson George Joseph Kazi said Mwinyi, the candidate of the ruling Chama Cha Mapinduzi party, won 74.8 percent of the...
  12. B

    GE2025 ZEC yamtangaza Dk Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Zanzaibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ya Zanzibar

    30 October 2025 | Unguja, Zanzibar Dr. Hussein Ali Mwinyi azoa kura 448,892 uchaguzi wa 2025 Huku mpinzani wake mkuu Othman Masoud Othman almaarufu OMO wa ACT Wazalendo akipata kura 139,399 ZEC imemtangaza Dk Hussein Mwinyi kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Braza la Mapinduzi ya...
  13. tonicimmobility

    GE2025 Mwinyi: Wakulima msiwe na wasiwasi wa soko

    Mgombea wa urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema serikali itaendelea kutekeleza mikakati ya kuinua sekta ya kilimo kwa kujenga skimu mpya za umwagiliaji, kuongeza upatikanaji wa zana za kisasa, na kujenga maghala ya kuhifadhia mazao ili kudhibiti...
  14. PAYE

    GE2025 Dkt. Mwinyi: Kwenye Kampeni huwasikii wenzetu akihubiri amani, unasikia siasa za Chuki, Uongo na Ubaguzi

    Mgombea wa Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza alipokutana na makundi ya vijana wa CCM kisiwani Pemba, katika mwendelezo wa mikutano yake ya kampeni, hafla iliyofanyika...
  15. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Wanu: Hakuna sababu ya kumnyima kura Samia na Mwinyi tunasema "paka wanyumbani hafukuzwi"

    Mtoto wa Rais Samia bibie Wanu naye amuombea kura mama yake pamoja na Dkt Mwinyi huku akitanguliza na msemo ukisema "paka wanyumbani afukuzwi" Mama yake naye akauunga mkono kwa asilimia zote
  16. tonicimmobility

    GE2025 Mwinyi awashauri wapinzani wake wajikite kwenye umakamu wa kwanza

    Mgombea urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewashauri baadhi ya wagombea wa vyama vya upinzani kuendelea kushindana kwenye nafasi ya makamu wa kwanza wa rais badala ya kutumia kivuli cha kugombea urais bila malengo ya kweli. Soma zaidi: Cheo cha Umakamu wa kwanza...
  17. JanguKamaJangu

    GE2025 Rais Mwinyi: Tuna akaunti maalum ya kulipa madeni, nitaondoka madarakani sitaacha deni hata la Senti 5

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema dhamira yake ni kuhakikisha kuwa atakapoondoka madarakani hatoacha deni lolote ambalo serikali imelikopa. Amesema hilo litawezekana kutokana na serikali kufanikiwa kuweka mfumo wa kulipa madeni ya serikali kwa...
  18. chiembe

    Maaskofu walikuwa wapi wakati J. K. Nyerere mara kadhaa baada ya kustaafu alikuwa akishauri serikali ya Mwinyi? Warioba (mstaafu)je?

    Hakuna mtu ambaye alikutana na hoja za mstaafu kama Ali Hassan Mwinyi, au kwa sababu aliyetoa ushauri alikuwa wa Vatican? Warioba mpaka juzi alikuwa anatoa ushauri, haisemwi na maaskofu kwa kuwa ana reference ya ukristo? Ni udini ?
  19. Jamhuri ya Zanzibar

    GE2025 Je, Rais Hussein Mwinyi amesaliti maridhiano na umoja wa kitaifa Zanzibar?

    https://www.youtube.com/watch?v=MCNhPjrsMLA&t=87s
  20. The Zanzibar Echo

    Dkt Hussein Mwinyi nakukumbusha!

    Ningependa kumkumbusha rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr. Hussein Mwinyi kuwanunulia watoto wa maskin, mayatima na wasiojiweza viatu vya kuendea shule. Nakukumbuka enzi za utawala wa Dr. Shein nilipokua primary alikua anagawa viatu shule zote za Zanzibar kuanzia primary...
Back
Top Bottom