mwigulu nchemba

Mwigulu Nchemba
Mwigulu Lameck Nchemba Madelu ni mwanasiasa na mwanachama wa chama cha kisiasa nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Mwigulu alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango tangu 31 Machi 2021, mpaka July 2023 ambapo wizara hiyo ilivunjwa na kuwa wizara mbili yaani Wizara ya Fedha inayoongozwa na Mwigulu Nchemba na Wizara ya Mipango na Uwekezaji inayosimamiwa na Waziri Kitila Mkumbo.
  1. JamiiForums Tanzania Uthibitisho: Mwigulu Nchemba ni majina ya kupewa, Sio majina bandia, na Vyeti vyake, Sio Vyeti bandia ni Vyeti vya kweli, Bonafide Genuine!

    Wanabodi, Katika zoezi la kusaka vyeti bandia linaloendelea sasa, kuna watu wanashindwa kutofautisha kati ya vyeti bandia na vyeti halisi, halali na vya kweli, na pia kushindwa kutofautisha majina bandia na majina halali, hivyo hili ni bandiko la uthibitisho kuwa Mhe. Mwigulu Nchemba sio...
  2. JamiiForums Tanzania Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

    Salama comrades? Nimeiona thread hii: Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzito, aliyeandika naona hajui historia yangu. Ni vema kuweka rekodi sawa: Kwanza anasema nilikuwa nanaitwa Lameck Madelu Mkumbo, sasa moja Lameck sio jina la kinyiramba, na Madelu sio jina halisi la baba...
  3. JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

    Akichangia bungeni muda huu Mwigulu Nchemba amesema yupo tayari kutoa ushahidi popote pale iwe polisi, mahakamani bungeni hata mbinguni kuthibitisha video ya Lwakatare jinsi alivyoipata, na kwamba kiongozi wa CHADEMA aliyempa pia yupo tayari kuthibitisha mahali popote. Amewataka viongozi wa...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba ni mtuhumiwa wa kwanza kutekwa kwa Absalom Kibanda

    Wanajamvi niwasalimu kwanza. Ni hivi karibuni tumeshughudia kutekwa na kuumizwa kwa mwenyekiti wa jukwaa la wahariri ndugu yetu Absalomu Kibanda. Kutekwa huku kwa Kibanda na kuumizwa hakutofautiani sana na kule kuteswa kwa mwenyekiti wa jumuiya ya madaktari ndugu yetu Stephen Ulimboka. Leo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…