mwigizaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 3

    JamiiForums Tanzania Mwigizaji Micky Afungua Mashtaka RIB Dhidi ya Wanaovamia Familia Yake

    Mwigizaji mashuhuri wa filamu nchini Rwanda, Micky, ametangaza rasmi kuwa amewasilisha malalamiko ya kisheria katika Bodi ya Upelelezi ya Rwanda (RIB), akituhumu kikundi cha watu kwa kuvuka mipaka na kushambulia familia yake. Kupitia barua rasmi aliyoichapisha kwenye ukurasa wake wa Instagram...
  2. 3

    JamiiForums Tanzania Mwigizaji ‘Nadia’ wa City Maid, Awataka Wazazi Kuwafunza Watoto Kuchagua Wenza Bora

    Mwigizaji mashuhuri wa filamu nchini Rwanda, Sandra Ishimwe, anayejulikana zaidi kama Nadia katika mfululizo maarufu wa "City Maid," ametoa wito mzito kwa wazazi kuchukua jukumu la kuwafunza watoto wao jinsi ya kufanya maamuzi sahihi wanapochagua watu wa kuingia nao kwenye mahusiano ya...
  3. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Mwigizaji Carina azikwa makaburi ya Kisutu, Dar

    Aliyekuwa mwigizaji wa Filamu nchini marehemu Hawa Hussein (Carina), amezikwa leo Aprili 19, 2025 katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam. Carina alifariki dunia Aprili 15, 2025 nchini India alikoenda kupatiwa matibabu ya tumbo ambalo limemsumbua kwa zaidi ya miaka saba, huku akifanyiwa...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Mwigizaji mashuhuri, Gene Hackman na mkewe wakutwa wamefariki nyumbani kwao

    Mwigizaji nguli Gene Hackman na mkewe Betsy Arakawa wamepatikana wakiwa wamefariki dunia nyumbani kwao huko Santa Fe, New Mexico. Polisi wamesema kuwa hakuna dalili za uhalifu, lakini sababu halisi ya vifo vyao bado haijajulikana. Hackman alikuwa na umri wa miaka 95 na alikuwa mshindi wa tuzo...
Back
Top Bottom