mwenyekiti wa uvccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    Mwenyekiti wa UVCCM anasema vijana walichoma zahanati wakakosa huduma ya kwanza na kusababisha kupoteza maisha kwa makosa yao

    "Waliposhiriki vurugu, wengine walipoumia, ilitakiwa wapelekwe zahanati zilizopo jirani, lakini zilikuwa zimeshachomwa hali iliyopelekea kupoteza maisha kwa makosa yenu wenyewe" - Mwenyekiti wa UVCCM Mohamed Kawaida Je, kuna zahanati au kituo chochote cha afya kilichomwa moto siku ya maandamano?
  2. 100 others

    GE2025 Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Geita na Mtia nia wa Ubunge jimbo la Geita mjini Manjale Magambo adaiwa kutekwa

    Mwenyekiti wa Uvccm Mkoa wa Geita na Mtia nia wa Ubunge jimbo la Geita mjini Manjale Magambo Ametekwa jana 24 October 2025 saa tatu Nyumbani kwake maeneo ya Bombambili. Simu yake ilituma Masseji za maandamano kwa watu zaidi ya 2000 inasemekana alifanyiwa figisu kwenye ubunge sasa analipa...
  3. Waufukweni

    GE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Tanga, Ramadhan Omary: Ukidhani CCM ubunge niwa kununuliwa umechelewa

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Tanga, Ramadhan Omary Agosti 24, 2025 ameongoza kikao cha Baraza la UVCCM Mkoa wa Tanga kilichoketi kwa ajili ya masuala mbalimbali ya Jumuiya ndani ya Mkoa huo kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu. Pamoja na mambo mengine baraza liliazimia kwa kauli moja...
  4. K

    GE2025 Mohamed Kawaida: Wateueni wagombea ambao CCM haitapata shida kuwanadi

    WATEUENI WAGOMBEA AMBAO CCM HAITAPATA SHIDA KUWANADI - KAWAIDA MWENYEKITI WA UVCCM (T) Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa chama cha mapinduzi (UVCCM) Taifa Mohamed Ali Kawaida amewataka wajumbe wa kikao cha halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Kagera kutenda haki kwa kuwapitisha wagombea udiwani ambao...
  5. R

    GE2025 Mwenyekiti UVCCM Taifa Mohamed Kawaida: Tupeleke watu ambao hatutapata shida kuwanadi, historia ya chama chetu hatuwezi kupata shida kuomba kura

    Mwenyekiti Wa Jumuiya ya Umoja Wa Vijana Wa Chama Cha Mapinduzi Ccm Taifa Na Mjumbe Wa Kamati Kuu ya Ccm Taifa Ndg Mohamerd Kawaida Amesema Kuwa Chama cha Mapinduzi Kitaleta Wagombea Ambao wanauzika kwa Wananchi Ili Chama Hicho Kiweze Kushinda Kwa Kishindo Katika Uchaguzi Mkuu Ambao Unatarajia...
  6. R

    GE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mara, Mary Daniel aibuka Mshindi Kura za Maoni Mgombea Ubunge Serengeti

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Mara, Mary Daniel, ameibuka mshindi wa kura za maoni za CCM kuwania ubunge wa Jimbo la Serengeti, akimshinda kwa mbali mbunge aliyemaliza muda wake, Amsabi Amri Kwa mujibu wa matokeo yaliyotangazwa na mratibu wa uchaguzi huo...
  7. mwanamwana

    Mohamed Kawaida: Kila kiongozi akiamua kujiuzulu kwa misingi ya maumivu ya nafsi, hatutokuwa na uongozi

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Kawaida amesema kama kila Kiongozi akijiuzulu kwa misingi ya maumivu ya nafsi hakutokuwa na Uongozi wa Taasisi bali wa hisia huku akimwambia Humphrey Polepole aliyejiuzulu Ubalozi wa Cuba kwamba hisia za Mtu binafsi...
  8. PAYE

    GE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Shinyanga Mjini, Abdulaziz Sakala, arejesha Fomu ya Kugombea Udiwani Kata ya Mjini

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Shinyanga Mjini, Abdulaziz Said Sakala, leo Julai 3, 2025, amerejesha rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea nafasi ya Udiwani katika Kata ya Mjini kupitia CCM, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025...
  9. B

    PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Ali Kawaida: Nilishawahi kusema Mtandao wa X ufungwe ila watu walinibeza

    Mwenyekiti wa UVCCM Ali Kawaida akiongea hivi karibuni kwenye mkutano mkuu wa CCM jijini Dodoma ameendelea kushikilia msimamo wake wa kufungia mtandao wa X ambao aliutoa miezi kadhaa iliyopita "Nilishawahi kusema Mtandao wa X ufungwe ila watu walinibeza bila kujua nini nilichokuwa namaanisha...
  10. Waufukweni

    PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Mohammed Kawaida awavaa Wanaharakati wa Kenya na Uganda adai jirani asiyekuwa na adabu havumiliki

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida, amepongeza msimamo thabiti wa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuweka wazi na kwa uwazi mkubwa kupinga jitihada zozote kutoka ndani au nje ya nchi zinazolenga kuchochea chuki na...
  11. upupu255

    PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Kagera: Vijana tuchangamkie fursa kwenye miradi mikubwa ya serikali

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Cde. Faris Buruhani amewakumbusha vijana wa mkoa huo kuzikimbilia fursa kubwa na za muda mrefu zinazopatikana kwenye miradi mbalimbali ya serikali inayotekelezwa kwenye maeneo yao badala ya kuhangaika na fursa za siku moja ambazo hutokea mara moja tu kila baada...
  12. Mindyou

    PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Ali Kawaida: Wapinzani wakisusia, uchaguzi sisi twala

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi CCM taifa Bw. Mohammed Ali Kawaida amesema wapinzani hawajajipanga na hawana ushawishi wa kusimama na wagombea wateule wa urais CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan na Dkt. Hussein Ally Mwinyi na mgombea mwenza wa urais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi...
  13. upupu255

    PreGE2025 Mwenyekiti UVCCM Geita, Manjale Magambo: Ukipigwa kwenye Kura za maoni usikimbie, baki ujenge Chama chetu

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita, Manjale Magambo, amewataka wanachama wa chama hicho kutokata tamaa au kununa pale wanaposhindwa kwenye kura za maoni. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread...
  14. Waufukweni

    PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Kagera apongeza kauli mbiu mpya ya CCM "Kazi na Utu Tunasonga Mbele"

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kagera Faris Buruhani amekishukuru kikao cha Halmashauri kuu ya CCM Taifa [NEC] kilichoketi Mach 10, 2025 kwa kutoka na kauli mbiu ya KAZI NA UTU TUNASONGA MBELE, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025. Akieleza kuhusu kauli mbiu hiyo, Faris amesema kauli mbiu hiyo...
  15. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Kagera: Mtaa hautaki digrii wala PhD ili mtu aonekane kijana mchapa kazi

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera, Faris Buruhan, amesema mtaa hautaki digrii wala PhD ili mtu aonekane kijana mchapa kazi. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar...
  16. Waufukweni

    PreGE2025 Wazee maarufu Geita wakabidhi fimbo na kuku kwa mwenyekiti wa UVCCM mkoa

    Ni Video ikimuonyesha Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita Manjale Magambo akikabidhiwa Fimbo ya ushindi pamoja na Kuku aina ya Jogoo na wazee maarufu Baada ya kuwatembelea katika kukagua uhai wa chama hicho sambamba na kuhamasisha vijana kushiriki katika...
  17. Waufukweni

    Wasiojulikana wachoma gari la Mwenyekiti wa UVCCM Lindi

    Watu wasiofahamika wamechoma moto gari la Mwenyekiti wa vijana CCM wilaya ya Lindi bwana Frenk Mzani Menuka na kusababisha uharibifu mkubwa kwa gari hilo aina ya Toyota Cresta GX 100 lenye namba za usajili T 402 BCH ambalo lilikuwa limeegeshwa kwenye nyumba anayoishi Mwenyekiti huyo wa vijana...
  18. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Mwenyekiti wa UVCCM Songwe: Nakerwa na baadhi ya wanasiasa ambao wanaifanya Tanzania kama ‘gheto"

    Eh kumbe kuna wanasiasa wanaifanya Tanzania kama geto? Hawa si wa vyama vya upinzani kweli? Mh namuona kama Lissu, Lema na wengineo linawahusu sana =============== Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Songwe, Fatma Hussein, anasema anakerwa na baadhi ya wanasiasa ambao wanaifanya Tanzania kama ‘gheto’...
  19. BigTall

    Ujumbe wa Levinus Kidamabi katika "Barua ya Wazi kwa Emmanuel Nchimbi kuhusu Kutekwa Nikiwa Ndani ya Gari la Mwenyekiti wa UVCCM, Bariadi"

    Barua ya Wazi kwa Katibu Mkuu wa CCM, Emmanuel Nchimbi, Kuhusu Kutekwa Kwangu Nikiwa Ndani ya Gari la Mwenyekiti wa UVCCM, Bariadi Ndugu Katibu Mkuu, Amani iwe nawe! Ni imani yangu kuwa barua hii itakufikia ukiwa mwenye afya njema, ukiendelea na majukumu ya kulitumikia taifa letu ambalo leo...
  20. Waufukweni

    Mwenyekiti wa UVCCM, Kigoma: Abuya awataka Vijana kuwajibika na kuonyesha Uadilifu katika Uongozi

    Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kigoma, Ndugu Emanuel Abuya, amekutana na wenyeviti na wajumbe wa serikali za mitaa vijana, akisisitiza umuhimu wa uwajibikaji katika nafasi zao za uongozi. Alisema kuwa chama kina imani kubwa na vijana, hivyo ni jukumu lao kuonyesha mfano bora kwa vitendo. "Twende...
Back
Top Bottom