Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mohammed Ali Kawaida (MCC) amesisitiza jeshi la polisi kuwa wafanye uchunguzi kufuatia vitendo vya mauaji na utekaji na pale wanapopata taarifa watoe kwa jamii ili wajue kinachoendelea.
Mwenyekiti ameyasema hayo tarehe 04 desemba 2024 akitoa...
Ndugu zangu Watanzania,
Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndugu Mohammedi Kawaida .Kwa uchungu,maumivu,simanzi ,majonzi na huzuni isiyopimika wala kuelezeka.
Ameshiriki na kuhusika katika shughuli zote za kuaga na kuupumzisha Mwili wa Mwenyekiti wa UVCCM Tawi la Machinjioni Makongorosi wilayani Chunya...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili kwa tuhuma za mauaji ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) tawi la Machinjioni kata ya Bwawani Makongolosi wilayani Chunya Michael Andarson Kalinga (36) mkazi wa wilayani humo.
Inaelezwa kuwa watu...
Nimesoma maelezo ya msichana aliekuwa nae alipouwawa, yana ukakasi sana. Kuna coincidence ambazo labda ni polisi wetu tu waliozoea kutunga kesi dhidi ya wapizani wataikubali.
Inaripotiwa kuwa huyu UVCCM, mwenye biashara ya kuchoma chama klabu moja, alipigiwa simu kuwa kuna mbuzi wanauzwa aende...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (CCM) Mkoa wa Geita , Manjale Magambo amesema uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika Novemba 27 Mwaka huu wanauita ni Uchaguzi maalumu ambao utakwenda kuvizika vyama vya upinzani.
Soma Pia: Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.