Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Deogratius Mahinyila, amesema ni muhimu taarifa zote kuhusu mazingira ya kifo cha marehemu Maradufu kuwekwa wazi ili kuondoa sintofahamu. Mahinyila ameeleza kuwa marehemu alikutwa na fedha taslimu kiasi cha Tsh. 428,000 ambazo alikabidhiwa, huku pia akibainisha kuwa...