mwenezi ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Butiku amshukia mwenezi CCM: 'Ziara ya hovyo', Agusia sakata la CHADEMA

    Mpasuko CCM!? Ni ziara ya HOVYOOO! Mzee Butiku amvaa vikali Mwenezi wa chama cha CCM Kenani Kihongosi na ziara yake huko mikoani.
  2. R

    GE2025 Kenani Kihongosi: Vyama vingine vinaruhusiwa kuja kusikiliza sera za CCM Agosti 28, 2025

    Wakuu, Tayari Katibu mpya wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Kenani Kihongosi ameanza kufanya kazi ----------- Chama cha Mapinduzi (CCM) kinatarajiwa kuanza kampeni za kuwania nafasi ya Urais ,Ubunge na Udiwani siku ya kesho huku chama hicho kikisisitiza kitafanya kampeni za kisataarabu...
  3. GENTAMYCINE

    Nauliza tu hivi Polepole angeendelea kuwa Mwenezi CCM Taifa au Balozi wa Cuba haya anayoyafichua sasa Serikalini na CCM alipanga kutuambia lini labda?

    Tafadhali nawaomba mlio nae karibu na kumuunga mno mkono mniulizie hili Swali kisha ama Yeye au Nyie mje Kunijibu.
  4. M

    PreGE2025 Mwenezi CCM Moshi Vijijini anavyobeba watia nia majimbo ya Moshi Vijijini na Vunjo

    Wakati CCM kupitia viongozi wake wakuu wanakemea kampeni za mapema na viongozi kubeba wagombea/watia nia hali huko wilaya ya Moshi Vijijini ni tofauti. Mwenezi wa CCM wilaya hiyo aitwaye Huseni Abduli eikei mwenyekiti anayeishi mji wa Himo amekuwa kinara wa kubeba wasaka ubunge wakiwemo Nicolas...
  5. Just Pray

    PreGE2025 Gari ya katibu mwenezi CCM Mbeya lachomwa moto

    Familia ya Katibu Mwenezi wa CCM Mbeya Mjini, Philimon Mng'ong'o, imekumbwa na hofu baada ya watu wasiojulikana kuvamia nyumbani kwake usiku wa kuamkia Aprili 22, 2025 na kuchoma gari. Moto huo pia ulianza kushika sehemu za nyumba, lakini watu 11 waliokuwemo waliokolewa salama. Mng'ong'o...
  6. mwanamwana

    PreGE2025 Mwenezi CCM Dodoma: Wanaochukia wanaomsifia Rais Samia wana hulka ya roho mbaya

    Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, Jawadu Mohamed amesema yeyote anayekerwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kusifiwa kwa maendeleo makubwa aliyoyafanya basi mtu huyo siyo mzalendo na achague kukaa kimya kama hana cha kuzungumza...
  7. Mindyou

    PreGE2025 Katibu Mwenezi CCM Iringa awahimiza wananchi kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la mpiga kura

    Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo mkoa wa Iringa Mwl. Joseph Ryata amewaomba Watanzania kujitokeza kujiandikisha kwenye zoezi la kupata vitambulisho vya Mpiga Kura kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu mwakani 2025. Akizungumza wakati wa mafunzo ya walimu Makada wa CCM mkoani Songwe, Ryata alisema kuwa...
  8. Nehemia Kilave

    Nadhani mtu aina ya Paul Makonda kwa sasa anahitajika sana kama Katibu Mwenezi CCM taifa kuliko wakati wowote ule

    Tar 21/7/2024 , utenguzi wa mawaziri Nape na January Makamba umefanyika , waheshimiwa hawa ni mashuhuri sana katika matumizi ya Teknolojia na ni viongozi wanaoweza kujieleza vizuri. Hivyo tutegemee mitandaoni ya kijamii kuchangamshwa na habari mbali mbali zikiwemo za ndani sana zitazokahusu...
  9. J

    Unapendelea Katibu mwenezi wa Chama Kikongwe kama CCM awe Kijana au Mzee?

    Je, unapendelea Katibu mwenezi wa Chama Kikongwe kama CCM awe Kijana au Mzee? Nawatakia Sabato Njema 😄
Back
Top Bottom