mwauwasa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Mamlaka ya maji Mwanza (MWAUWASA) watuambie kama kuna mgao wa maji Nyakato

    Upatikani wa maji safi katika jiji la Mwanza maeneo ya Nyakato umekua usioridhisha kwa muda wa wiki mbili sasa. Kuna siku maji hayapatikani hata siku tatu. Kuna siku yanakuja asubui na kukatika mchana. Kipindi hiki cha sikukuu maji yamekuwa yakija na kukatika. Tangu jana siku ya Eid maji...
  2. T

    KERO Mamlaka ya Maji Mwanza (MWAUWASA) wajibikeni, Nyegezi na viunga vyake kukosa maji imekuwa tatizo sugu

    Kukosekana kwa huduma ya maji katika maeneo ya Nyegezi na viunga vyake kumegeuka kuwa tatizo sugu na la kudumu, linalojirudia kila mara bila ufumbuzi wa msingi. Tangu sikukuu ya Krismasi hakuna maji, hali ambayo imewaweka wananchi katika adha kubwa ya maisha ya kila siku. Licha ya kurudiarudia...
  3. T

    KERO Mwauwasa imewaangusha wakazi wa Mwanza tatizo la maji limegeuka fedheha ya kudumu

    Kile kinachoendelea Mwanza si hitilafu ya kawaida, bali ni aibu ya wazi, uzembe wa makusudi na kutowajibika kwa kiwango cha juu kabisa kutoka MWAUWASA. Mwezi mzima uliopita Nyegezi haikuwa na tone la maji. Hakuna taarifa, hakuna maelezo, hakuna uwajibikaji—mpaka wananchi walipopiga kelele ndipo...
  4. T

    KERO MWAUWASA, tunaomba taarifa ya haraka. Kwa takribani mwezi mzima Yengezi yote hakuna maji

    MWAUWASA, tunaomba taarifa ya haraka. Kwa takribani mwezi mzima Yengezi yote hakuna maji, na sasa tatizo limejirudia tena bila maelezo yoyote kutoka kwenu. Wananchi tunapata usumbufu mkubwa—maisha, afya na shughuli zetu zimeathirika. Tunaomba maelezo ya wazi: Tatizo ni lipi hasa na kwa...
  5. T

    Mama karibu Mwanza tarehe 08 kwa kampeni (Anza na watu wa Mwauwasa na TANROD)

    Wananchi wanataka usimame hadharani juu ya mambo mawili makuu ambayo yamegeuka mateso makubwa na fedheha kwa jiji: Maji – Takribani mwezi mzima chanzo cha Butimba kimeharibika. Ulizindua mradi huu kwa matumaini, lakini hali imeendelea kuwa mbaya zaidi: Hata mgao wa siku mbili kwa wiki...
  6. T

    GE2025 Mama karibu Mwanza tarehe 08 kwa kampeni(Anza na watu wa Mwauwasa na TANROD)

    Wananchi wanataka usimame hadharani juu ya mambo mawili makuu ambayo yamegeuka mateso makubwa na fedheha kwa jiji: Maji – Takribani mwezi mzima chanzo cha Butimba kimeharibika. Ulizindua mradi huu kwa matumaini, lakini hali imeendelea kuwa mbaya zaidi: Hata mgao wa siku mbili kwa wiki...
  7. T

    Watendaji wa Mwauwasa: Jiuzuluni!

    Kwa takribani wiki nzima wakazi wa Nyegezi, Mwanza wamelazimika kuchota maji mitaroni baada ya huduma ya maji kukosekana kabisa bila taarifa yoyote kutolewa. Cha kushangaza, ni baada ya malalamiko ya wananchi kuibuka ndipo Mwauwasa walitoa tangazo kupitia akaunti yao ya mitandao ya kijamii...
  8. M

    DOKEZO Mwauwasa Mwanza hamuyaoni maji haya?

    Hili ni bomba la maji lililosahaulika kutoka enzi za Zakhiem wakati wa ujenzi wa barabara. Liko maeneo ya Mkolani Nida. Limekuwa kero maana maji yanatiririka muda wote na kutuama kama bwawa.Inasemekana mamlaka inataarifa na hili lakini haijachukua hatua ya kulifunga bomba hilo labda kwa sababu...
  9. T

    MWAUWASA Mnamuangusha rais – wananchi wa Mwanza tunasema imetosha!

    Baada ya Mheshimiwa Rais kuzindua mradi mkubwa wa maji jijini Mwanza, wananchi tuliamini kuwa adha ya maji ilikuwa imefikia mwisho. Lakini hali ya sasa ni aibu kwa taifa na mateso kwa wananchi. UKWELI TUNAUJUA NA TUNAUISHI: Maji hakuna kabisa katika maeneo kama Nyegezi, Buhongwa, Butimba...
  10. Roving Journalist

    MWAUWASA: Maeneo ya Milimani Mwanza hukumbwa na upungufu wa maji kutokana na msukumo mdogo

    Mdau wa JamiiForums.com aliyejitambulisha kuwa Mkazi wa Mtaa wa Kaseze, Kata ya Mkolani, Wilaya ya Nyamagana aliandika ~ Mwanza: Mtaa wa Kaseze, Nyamagana hatuna maji, badhi ya Wananchi wanajisaidia vichakani, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imepa majibu Mwananchi...
  11. Roving Journalist

    MWAUWASA: Kulikuwa na hitilafu ya mfumo wa maji Stendi ya Mabasi Nyegezi (Mwanza), huduma imerejea

    Stendi ya Mabasi Nyegezi ni moja ya wateja wakubwa wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) na Mamlaka imeweka utaratibu wa kufanya ukaguzi wa huduma na miundombinu yake mara kwa mara. Palitokea hitilafu katika mfumo wa usambazaji maji kwa muda mfupi mwishoni mwa wiki...
  12. Roving Journalist

    MWAUWASA: Ujenzi wa matanki ya Maji kwa Wananchi umeanza ili maeneo ya milimani yapate maji kwa uwiano sahihi

    Baada ya hoja za Wanachama kadhaa wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu changamoto ya huduma ya maji katika baadhi ya maeneo Jijini Mwanza, ufafanuzi umetolewa na Mamlaka husika... Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maji na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira...
  13. Roving Journalist

    MWAUWASA: Tunafahamu changamoto ya Maji katika baadhi ya maeneo Nyegezi, tunaifanyia kazi

    Kufuatia andiko la Mwanachama wa JamiiForums.com kuhusu huduma ya maji katika baadhi ya maeneo ya Nyegezi Jijini Mwanza kudaiwa kuwa ni duni, kisha kuitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) ijitafakari kwa kuwa inawakwamisha Wananchi wengi wa maeneo hayo, Mamlaka hiyo...
  14. A

    KERO Responded Idara ya Maji Nyegezi Mwanza (MWAUWASA) jitafakarini suala la ukosefu wa maji

    Naomba kutoa kero yangu juu ya adha kubwa ya maji eneo la Nyegezi na viunga vyake! Kimekuwa na kero kubwa sana ya maji Nyegezi kiasi kwamba tunajiuliza watendaji wa Idara ya Maji eneo la Nyegezi wanawajibika au la! Nyegezi ni eneo lililoko mjini lakini mnaweza kaa hata takribani wiki tatu bila...
  15. K

    KERO Mwanza: Bili za Maji za MWAUWASA zinatisha

    Kwa miezi ya karibuni bili za maji kwa wateja wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) zimekuwa juu mno na hatujui ni sababu gani. Mimi nafikiria gharama ya maji yanayopotea njiani yanajumuishwa kwa wateja. Siyo mimi tu ninayelalamika kadhia hii imewakumba wateja...
  16. Roving Journalist

    Responded Waziri Aweso: TARURA na MWAUWASA wanafanya mchakato wa kurejesha maji kwa Wakazi wa Shamaliwa - Mwanza

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kusema kuwa Wakazi wa Shamaliwa A na B wengi wao hawana huduma ya Maji kwa muda wa zaidi ya mwezi sasa kutokana na wahusika wanaotengeneza Barabara wameharibu mabomba, ufafanuzi umetolewa na Waziri wa Maji Jumaa Aweso. Waziri Aweso amesema “Ni sahihi kuwa...
  17. Roving Journalist

    Responded MWAUWASA: Tumeandaa Mradi wa Tsh. Bilioni 8.4 kufikisha Huduma ya Maji maeneo ya Kishiri na jirani ambayo hayana huduma hiyo

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu changamoto ya huduma ya maji iliyopo katika Kata ya Kishiri, ufafanuzi wa Mamlaka ya Maji Mwanza umetolewa. Kujua alichokisema Mdau huyo unaweza kubofya hapa ~ Changamoto ya maji Kanindo Kata ya Kishiri, Wilaya ya Nyamagana ==== ==== Neli...
  18. A

    KERO MWAUWASA acheni kuruhusu maji machafu kwenye mto Mirongo

    Hakuna kitu kinakera watu kama kupita sehemu na kukutana na harufu kali ya maji machafu, iwe kwenye shimo, mtaro au darajani. Hapa Mwanza, Mamlaka ya Maji Taka mmekuwa na utamaduni mbaya sana wa kuruhusu maji machafu pembezoni mwa ofisi yenu kupitia mkondo wa mto Mirongo kuelekea ziwa Victoria...
  19. R

    Meneja Mawasiliano MWAUWASA katoa taarifa ya uongo kuhusu kutokuwepo tatizo la maji jijini Mwanza

    Wananchi wa mkoa wa Mwanza hususani wilaya ya Ilemela na Nyamagana tunapitia katika kipindi kigumu cha upatikanaji wa huduma ya maji licha ya mradi mkubwa wa uzalishaji maji kata ya Butimba kukamilika na kuanza kutoa huduma. Baada ya malalamiko kua makubwa amejitokeza meneja wa mawasiliano wa...
  20. Bitcoinbase

    KERO MWAUWASA acheni wizi wa kubambikia wateja bili na urasimu kwenye kuunganishiwa huduma ya maji

    MWAUWASA( Mwanza Nyamagana ) acheni wizi kubambikizia bili za Maji Wateja na urasimu kwenye mchakato wa kuunganishwa Huduma ya Maji. Inaumiza wananchi au mnataka wananchi waingie barabarani kama Kenya ndio mjue maumivu mnayowapa wananchi kwa bili za uongo? Pia soma - MWAUWASA: Mwanza hakuna...
Back
Top Bottom