mwanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwanini mwanaume akiwa star anatamani muonekano na hulka za jinsia ya kike

    Shalom, Inakuawaje mwanaume anapojiona ni star katika fani mfano music, football, movie, Djs na etc hutumia muda mwingi kujibrand na muonekano wa kike mfano nywele, hereni, kujichubua, vipini, kusuka nywele na etc. Je, wanajukwaa tatizo ni nini ama chachu yake nini. Ni hayo tu Wadiz
  2. Somo nyeti: Unapokuwa katika mahusiano na mtoto hakikisha anashidwa kukuelewa wala kukusoma wewe ni mwanaume wa aina Gani

    Ewe kijana wa kiume kama upo katika mahusiano na mtoto wa kike hakikisha anashidwa kukuelewa wala kusoma wewe ni mtu wa aina Gani iwe umeoa au hujaoa ....... Siku zote katika mahusiano wanawake huwa wana maswali mengi ambavyo wanapenda kusikia toka kwa mwanaume lengo ni kuweza kukufahamu...
  3. M

    Kila mwanaume anayepigwa tukio anakuja kulia lia humu. Huu uchuro!

    Kwanza ijulikane wazi kuwa namba unayoiona wewe ni 9, mwenzio akikaa upande mwingine anaiona 6. Kama mtu akiingia humu na kichwa chepesi, ataanza kuwachukia wanawake wote kwa visa vya humu ndani, ambavyo vingine ni vya kubumba. Kwa utafiti wangu rasmi, mwanamke anayepakwa matope humu JF ni...
  4. Furahia kuwa mwanaume

    Habari wakuu. Sisi WANAUME tumepewa mamlaka makubwa sana na mwenye mamlaka.Hivyo basi wewe ni mwanaume kwahiyo furahia kuwa hivyo kaka. Unatafuta pesa kwa akili nyingi ili Mama,baba,Mke,watoto na ndugu ili wapate msaada wako asee sio kazi ndogo kaka. Umetulia unawaza mambo yako unaskia simu...
  5. Mwanaume yeyote rijari asie penda kuwa kama mimi anyooshe mkono

    Ni hivi sijisfiii ila mimi mwenzenu napendwa jaman bila kutumia nguvu. Sihangaiki kuwa sifia na kujikomba kwao. Siwahongi hata thumuni zaidi ya kuwapa muda wangu na dudu ikitokea kumpa kitu basi nampa kama vile ambavyo ningeweza kuwapa wana wengine.. Kitu ambacho wanaume wenzangu hadi mhonge...
  6. Ni kutojitambua mwanaume ukikimbiwa na mwanamke kwa sababu za kiuchumi

    Ni kutojitambua mwanaume ukikimbiwa na mwanamke kwasababu za kiuchumi alafu unaanza kulalamika na kulialia eti mke wangu kanikimbia!!! Ulitaka afanyeje? Mti ukimea kando ya kijito cha maji jani lake litakuwa bichi na utazaa matunda yake kwa misimu yake yote. Lakini pindi kijito kikikauka uwe na...
  7. S

    Mwanaume Unapotaka kuoa zingatia hizi red flags

    1. Amechora tattoos. Red flag. 2. Ametoboa pua red flag. 3. Anavaa shanga 3+ kiunoni red flag. 4. Anakunywa pombe red flag. 5. Mpenda shughuli/vigodoro ni redu flag. 6. Haendi msikitni Wala kanisani red flag. 7. Ni muumuni wa twerking red flag. 8. Ana marafiki wa kiume wengi Red flag. 9. Round...
  8. Mwanaume Black🥰🥰🥰

    Halafu awe ✓Tall🥰 ✓Mwembamba kiasi🥰 Nyiee acheniii 🤗 Sitamani Jumanne ifike🤸 BTW: Kama hakutokuwa na mabadiliko tarehe ya ndoa ni 13 July 2024. I can't wait for shoooo😁😁 Play song for us Mr piano man😁🎵 KARIBUNI ♥️♥️♥️
  9. Kuna ukweli kuwa mwanaume na mwanamke wenye damu zenye chaji tofauti +ve na -ve hawawezi kupata mtoto?

    Leo nimemsikia Mkuu wa kitengo cha damu salama wa hospitali moja ya serikali Dar es Salaam akisema ikiwa mwanaume ana damu +ve na mwanamke ana damu -ve (au vinginevyo) hawawezi kupata mtoto na kama wakipata mtoto atazaliwa akiwa na matatizo makubwa ya kiafya. Hivyo ameshauri kabla ya kuoana ni...
  10. Ewe kijana wa kiume wakwe zako wa leo ndio maadui zako wa kesho baada ya ndoa hivyo ishi nao kwa akiri

    Ewe kijana unapoingia katika maisha tambua ya kwamba wakwe zako ndio maadui zako kwani baada ya ndoa na Sterling movie hii ni mke wako sasa naomba unisikilize kwa haya machache 1.wakwe zako wengi huamini nyumbani kwako ndio nyumbani kwao na ndugu zako sio nyumbani hivyo mkeo atatumika kama...
  11. Mwanaume "kwa mara ya kwanza kubebesha msichana mimba" nulikuwa na umri gani, ulijisikiaje alipokwambia ana mimba yako?

    Wavulana wana balehe miaka 14 na kuendelea japo mikoa ya Pwani hasa Tanga, Dar es salaam, Pwani, Mtwara na Lindi wananza ngono kabla ya baalehe tofauti na mikoa yenye maadili na mafunzo ya kaskazini na kanda ya kati na kanda ya ziwa. Sasa , kijana wewe ulimpa msicha mimba ukiwa na umri gani na...
  12. Mwanaume mwenye uhitaji wa wanawake wengi, hana furaha yeye mwenyewe

    Mwanaume mwenye uhitaji na wanawake wengi, hana furaha na yeye mwenyewe. Kwake kuwa na usikivu wa wanawake wengi, kunamsaidia kulisha nafsi yake, kuficha kutojiamini kwake. Huyu mwanamume asiyejiamini, atacheza na hisia za wanawake wengi, huku akidhani ananufaika na kuongeza kujistahi...
  13. Mwanaume, usifanye mambo ya kijinga ukiachwa na mwanamke. Ishi maisha yako na usonge mbele

    Wanaume wengi huchanganyikiwa kwa sababu tu mwanamke huachana nao. Hii inasababisha wanaume: - Kunywa pombe na kulewa, wengine wanatumia dawa za mitishamba na kichawi kwa lengo la kumpata. - Wanapoteza mwelekeo wa maisha na kuanza kutokuwa na tija, kwa sababu ya kuvunjika moyo wengine...
  14. Ni bora mwanaume anaekwenda kucheat na akarudi nyumbani. Kuliko mwanamke anayekufanyq ulee watoto ambao sio wako kwa maisha yako yote bila kujua

    This weekend nililetewa kesi moja ya mahusiano kuitatua. Wakati wa maongezo niligundia jambo ambalo lilinifanya niwaze na kujiuliza "Je si ni bora kuishi na mwanaume mchepukaji ila anahudimia familia yake kumjali, kumheshimu na kumpenda mke wake kuliko kuishi na mwanamke anayekufanya ulee watoto...
  15. Mwanaume, Ukiona mwanamke wako kaanza kukaa mbali nawe, fanya hivi…

    WAUNGWANA. Wakati mwanamke wako anapoanza kukupa mtazamo, anaacha kukupigia simu, anaanza kujiweka mbali na wewe, na kuondoa umakini wake kutoka kwako. Usiogope, tunza sura yako kama simba. Ni mambo mawili yanayohusika katika hili. 1. Anataka kucheza na mawazo yako na hivyo kukulazimisha...
  16. Huwezi lazimisha Mwanamke akuheshimu, Mwanamke anamheshimu mwanaume anayempenda

    HUWEZI LAZIMISHA MWANAMKE AKUHESHIMU, MWANAMKE ANAMHESHIMU MWANAUME ANAYEMPENDA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wanaume wengi hudhani kúmpiga Mwanamke ndio humfanya Mwanamke awe mtiifu na mwenye heshima. Wengine huwafokea na kuwatukana na kuwatolea maneno makali kwa kudhani kufanya hivyo...
  17. Ushawahi tumia uongo gani ilimradi umpate msichana/mwanamke au mwanaume kimahusiano?

    Nakumbuka ilikuwa mwaka 2012, Nilikuwa nikifanya field katika Kampuni flani ya Ujenzi,, Nikajenga urafiki na mtoto wa moja ya Wakurugenzi wa Kampuni (G), alikuwa akisoma Marekani.alikuja Dar kama likizo. Tukaenda kula bata Billcanas. Demu wa G akaja na rafiki yake, vitoto vya ushuani. Mwamba...
  18. Maneno ya Mchepuko: "Bibi yangu aliwahi kuniambia mwanaume hashibi mwanamke mmoja"

    Pia akampa mfano, "unaona pale kwenye banda la mbuzi, si unaona kuna madume matatu ila majike 38?" Vivyo hivyo na kwa wanyama wengine kama simba, dume moja huwa na kundi la majike, na huo ndo huufanya kama ufalme wake. Bibi yake akamuambia kwenye maisha kuna maneno ya kuambiwa na kuna asili ya...
  19. Kama TUKI wameandika ipasavyo neno linalowakilisha Uke wa Mwanamke na Uume wa Mwanaume, kwanini Sisi Wanafiki tunatumia Tafsida Kuyawasilisha?

    Asanteni sana Taasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili ( TUKI ) kwa Toleo lenu la 3 la Kamusi yenu ya Kiswahili - Kiingereza kwa Kuyaandika bila Tafsida yoyote majina ya Sirini ya Wanawake na Wanaume kama ambavyo tukiwa Mitaani tunayatumia na hata tukizinguana huwa tunayatumia vile vile. Sasa kama...
  20. Kama bado haujafanya maamuzi ya kutulia na mwanaume ulienae/anaekutongoza basi usile hela zake

    Kuanzia unapotongoza mwanamke anakubebesha gharama zote ambazo alitakiwa kuwajibika mwenyewe au kugharamiwa na baba yake sasa hapa mwanaume akisalitiwa ndio yale yale ya msukuma na penny uko goba Imefika hatua hauwezi kutofautisha kati mke, mpenzi na kahaba maana along the way wote watataka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…