mwanamuziki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wadau: Tanzania Muungeni mkono Mwanamuziki JettyMan

    Anaitwa Samson Noha...(Maarufu kama Jettyman),Licha ya changamoto ya kiafya anayopitia zaidi ya miaka 6 sasa lakini amekuwa akifanya muziki wake akiwa kitandani,na zaidi sasa amekuwa ni producer mzuri kabisa. Kwa wale wanaokumbuka ule wimbo wenye introduction "kama naikumbuka hivi inasema...
  2. JamiiForums Tanzania Babu zake na mwanamuziki Prince Dully sykes

    Picha hapo chini: kutoka kulia ni abdhullwahid Sykes na mdogo wake ally Kleist Sykes, wamevaa gwanda za kijeshi za king's African rifles, waliposhiki vita vya pili vya Dunia. Na hawa ndio waanzilishi wa TANU
  3. JamiiForums Tanzania Zambia: Mwanamuziki Slapdee ajitoa tuzo za AFRIMMA baada ya kushambuliwa kwa kupigia kampeni chama tawala

    Picha: Mwila Musonda (Slapdee) Mwanamuziki Mwila Musonda maarufu kama Slapdee amejiondoa kwenye kuwania Tuzo baada ya kushambuliwa mtandaoni kwa kusherehesha shughuli za kilichokuwa Chama Tawala cha Nchi hiyo, Patriotic Front. Slapdee ambaye awali alijitetea kuwa alitumbuiza kama sehemu ya...
  4. JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Mashonda (Marekani) ndio Mwanaharakati wa kwanza kutoa Kitabu Cha Talaka baada ndoa.Na kuachika, leo Ni Mpweke.

    Kitabu chake Mashonda tifrere Mwanamuziki wa kike Nchini Marekani, kimejikita zaidi katika changamoto za ndoa na jinsi ya kutuliza nafsi unapopewa Talaka ndani ya ndoa. Nimetambulisha video yenye sura yàke. Kitabu Ni Kama unavyoona kava. Nitakiwasilisha TANZANIA.
  5. JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki mkongwe Ismail Issa Michuzi amefariki leo akiwa Muhimbili

    Mwanamuziki mkongwe Ismail Issa Michuzi amefariki dunia asubuhi hii katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar alikokuwa akitibiwa maradhi ya tumbo. Ismail, ambaye ni kaka yake mpiga picha maarufu na blogger Muhidin Issa Michuzi, amefariki akiwa na umri wa miaka 61. Ismail atakumbukwa...
  6. JamiiForums Tanzania Nico Zengekala: Mwanamuziki kipofu aliyetikisa Tanzania

    ILIPOSIKIKA sauti yake kila mpenzi wa muziki anayefuatilia bendi za hapa nyumbani alihisi kuna kitu kipya kimeingia katika tasnia ya muziki wa dansi. Hiyo ilikuwa mwaka 1982 alipoingia kwa mara ya kwanza nchini mwimbaji hatari kutoka mkoa wa Pwani nchini Kenya Nico Zengekala akiwa ni mwimbaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…