Yes , lazima ukubali kuliwa ubongo. Ukiwa na Ubongo huwezi kupata vyeo au nafasi flani flani. Lazima kwanza uliwe Ubongo. Msikilizwe Msigwa msikilize PM utagundua bongos zao zimeliwa
Kuna mambo yanafurahisa sana wakuu..
Yaani kosa la yule jamaa ni kuwa mkweli na kuwa mzalendo kwa chama chake na taifa... serious kabisa kama taifa lenye vyombo vya dola, mahakama, serikali na watu wenye akili timamu kabisa kabisa tumeamua kuacha na kukaa kimya.
Ni aibu sana kwa vyombo vyetu...
Yawezekana wewe ni mstaafu , uliyewahi kulitumikia Taifa kwa moyo wako wote.
Yawezekana bado upo kwenye madaraka na bado unazitii order zote nakukiombea mema chama chako kiendelee kutawala.
Yawezekana wewe ni mwanachama wa kawaida unaeshiriki kupambana kuwabagaza wapinzani kwa uwezo wako wote...
Ukweli waweza kuwa mchungu, lakini ndio ukweli hata kama hatuupendi. Na ukweli mchungu mojawapo kwa Balozi Polepole na wenzake, ni kuwa Dr. Samia ndio mgombea wetu wa urais.
Mwalimu alituasa wana CCM, kuwa akishapatikana mgombea wa CCM, wana CCM wote lazima tumtetee. Katiba ya CCM imeenda mbali...
Kwa kweli nilishangaa sana pale Tume ya Uchaguzi ilipotangaza ya kwamba wapiga kura waliojiandikisha ni milioni 37 na ushee. Nikashangaa Sana.
Ila Leo nimegundua ya kwamba INEC imechukua takwimu au orodha ya watu waliopo kwenye mfumo wa NIDA na kuwafanya kwamba ndio wapiga kura wa uchaguzi...
Mimi ni kada mtiifu wa chama Cha mapinduzi. Sio muumini wa kuandika sana humu, ila napenda kutoa ya moyoni.
Sifurahishwi kabisa nchi kwenda kwenye uchaguzi uku kiongozi mkubwa wa upinzani yupo gerezani. Viongozi wangu ata mataifa rafiki wanatucheka kabisa. Hii imesababisha uchaguzi wa mwaka huu...
WaTanzania wanaisusia timu ya Taifa, na wewe kama msemaji wa serikali unashangaa huelewi shida ni nini?
Kama mmeshindwa kujaza uwanja ongea na mwana CCM mwenzenu mwamposa awasaidie kujaza huo uwanja mashabiki anao wa kujaza kwa mkapa na uhuru kwa mpigo
Apereke kondoo wake wakaiombee timu ya...
Tayari tumefika kubaya na hakuelezeki kabisa
Haya yote yanajiri ni kwa sababu tu, CCM mmekosa huruma, mmekosa utu, mnazurumu, mnateka na kuuwa watu peupe pe na bila aibu
Wananchi wataanzia wapi kuwaona kuwa nyinyi ni binadamu wenzao
Kifo???
Wananchi wanaandamana kufanya sherehe? Kufurahia...
Wana-CCM wote wanaaomuombea Mabaya Lissu, inapofika siku ya kifo wanakuwa wapole kama wananyolewa. Wanajuta sana..
Pamoja na Ukwasi wao na kutunga Sheria zinazowalinda wanapofanya ufisadi lakini saa ya kifo ikifika wanajuta.
Dakika ya kifo wanasema, "Roho yangu imezimika, siku zangu...
Billionea Rostam Aziz 'kada' wa CCM
Moja ya misingi ya Imani ya mwana CCM ni kwamba :
Binadamu wote ni sawa
Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake
jamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru
Pamoja na Imani hizi ambazo ni...
Wenye CCM Yao wameanza kuhoji Je huyu aneyejiita mwana CCM aliyesema ameshashika vyeo vikubwa ndani ya CCM. JE ni lini alijiunga na ÇCM?
Je ni kweli anataka tumuamini eti anaijua katiba,mienendo na tamaduni za CCM Kuliko wengine?
Kama uchaguzi utafanyika hiyo Mwezi Oktoba,madhara ya kisiasa,kiuchumi na kidiplomasia yatatokea kama ifuatavyo;
1. Mvurugano ndani ya CCM utakuwa wa wazi na mkubwa sana,
2. Uhasama baina ya vyama vya upinzani na CCM utaongezeka,
3.Uzalishaji wa mali ndani ya nchi utazorota na huduma kwa umma...
KAMA HUYU NI MWANA CCM, wako wana CCM wangapi wa namna hii?
Ukurasa wangu hupokea maoni mengi kutoka pande zote za sarafu, CCM, Wapinzani, Wasio na Vyama kama mimi, Maadui zangu na marafiki zangu.
Jioni hii nimepokea ujumbe huu kutoka Mwana CCM. Nauleta kama nilivyoupokea na mwisho nitaweka...
Bila shaka alikuwa mmoja wa wajumbe wa mkutano wa Halmshauri kuu ya CCM ambako mwenyekiti wao Bi Chura Kiziwi alitoa kauli tata kuhusu Gwajima na blindly polisi wakiwa - facilitate "wasiojulikana" wameanza kufanya vitu vyao
Wameanza kufyatuka mmoja mmoja. Kama una mfahamu, wajulishe ndugu zake...
Ni Wasira ndiye alimuondoa Warioba katika ubunge wa Bunda, walipelekana mpaka mahakama ya rufani.
Sijamsikia Warioba akitoa hata pongezi, kulikoni!?
N. B:
Ni Wilaya ya Bunda ambayo imetoa Makamu wa Mwenyekiti CCM Taifa, Waziri Mkuu, nadhani(hata Mwenyekiti wa CCM taifa, Julius Kambarage...
Am still trying to figure out why ? Wanachama wa CCM asilimia Kubwa kama sio wote wanapambana kuhakikisha FAM anabaki kua Mweyekiti.
Ninawaza tu yaan katika Siasa ya Vyama zaidi ya 15 vyenye lengo la Dola , wanatokea Wafuasi wa Cha Dola, wakakuambia , Mwenyekiti komaaa ,uendelee kua...
Bila shaka wote ni wazima wa afya njema. Ndani ya CCM haitatokea Mwanasiasa kama kachelo marehemu Membe, aliweza kumpinga wazi wazi Raisi Magufuli juu ya demokrasia, ndani ya CCM.
Aliweza kuonesha nia ya kuchukua form ya kugombea urais kama sehemu ya kidemokrasia, mbali na vitisho alivyokuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.