mvua

  1. JamiiForums Tanzania Mvua zasababisha abiria wa Dar, Arusha na Kilimanjaro kukwama njiani zaidi ya saa 20

    Mamia ya Wananchi (abiria) waliokuwa wanasafiri kutoka Arusha, Kilimanjaro na nchi jirani na waliotoka Dar es Salaam kuelekea mikoa mbalimbali wamekwama tangu jana mchana wilayani Korogwe na Handeni Mkoa wa Tanga sababu zikielezwa ni kutokana na maji kupita juu ya daraja la Mandera na kulisomba...
  2. JamiiForums Tanzania Misri yakumbwa na mafuriko makubwa baada ya mvua kunyesha kwa siku 2 mfululizo

    Watu Kumi wamekufa na wengine kadhaa hawajulikani walipo, baada ya mafuriko makubwa kuikumba nchi ya Misri hasa katika mji wa Alexandria. Mamia ya watu wamelazimika kubaki katika nyumba zao na kushindwa kwenda kazini, baada ya mitaa mingi ya mji huo kujaa maji na kushindwa kupitika. Mafuriko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…