mustakabali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa Wenzi wa Ushirikiano wa Kimkakati kati ya China na Afrika wajenga mustakabali wa pamoja wa watu bilioni 2.8

    Miaka kumi iliyopita, katika Mkutano wa kilele wa FOCAC uliofanyika Johannesburg, uhusiano kati ya China na Afrika ulipandishwa ngazi na kuwa “wenzi wa ushirikiano wa kimkakati” Leo, mkakati huu umegeuka kuwa reli, umeme, mawasiliano ya simu na vifaa vya afya barani Afrika—ukithibitisha...
  2. JamiiForums Tanzania 9DecemberTunataka- Mustakabali na Matokeo ya utawala wa kikatili wa Samia

    🔻Utangulizi :Haya ndiyo matarajio magumu zaidi yanayosubiriwa... 🔥 Iwapo Watanzania hawatasimama kupigania uhuru wao, Hili litaamua Mustakabali 🇹🇿 [image designed by AI] @Mg2+ REJEA : Uchambuzi wa kina kwa kuzingatia uzoefu wa maisha halisi wanaokumbana nao #Waganda kwa sasa unaodhihirishwa...
  3. E

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baraza la Kidigitali CHADEMA: Viongozi wajadili mustakabali wa uchaguzi Mkuu 2025

    Chama cha Demokrasia na Mendeleo kimeandaa Baraza la Kidigitali ambalo leo Agosti 27, 2025 kwa lengo la kujadili mustakabali wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Fuatilia... https://www.youtube.com/watch?v=X6MuQ8tB36M
  4. JamiiForums Tanzania GE2025 Kiongozi huyu ni hatari kwa mustakabali wa chama na Taifa!

    a. Aliingia kupitia mtandao b. Akamtema namba mbili wake katika kipindi alichokuwa anahitajika zaidi c. Uchaguzi uliofuata akatumia familia kufanya kampeni nje ya mfumo wa chama. d. Alitumia muda mwingi nje ya nchi e. Akamuaandaa shemeji yake kuwa kumrithi wa nafasi yake. Alimanusra chama...
  5. JamiiForums Tanzania Haki ya Wananchi Kukosoa, Kudai Mabadiliko na Kukataa Uchaguzi Usio Huru: Tathmini ya Kikatiba na Kisheria kwa Mustakabali wa Taifa

    Leo tunapaswa kujitafakari kwa kina kama taifa. Kuna hali ya kuogopa, kujishusha, na kujiaminisha kuwa sisi wananchi hatuna mamlaka ya kusema lolote kuhusu hatma ya taifa letu. Tumejenga tabia ya kuwaona watawala kama miungu wasiogusika, tukasahau kuwa kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nakusanya Speech Za Rais SSH akiongolea mustakabali wa Tanzania

    Moja kwa moja kama ilivyo kwenye kicha cha habari hapo juu, yeyote aliye na speech zilizoandikwa za rais akiongelea kuhusu mustakabali wa maendeleo ya taifa letu tukufu, basi anaweza kutuwekea hapa ili tuweke kumbukumbu sawa.
  7. JamiiForums Tanzania Wazungu Wanaogopa Ongezeko la Waafrika – Je, Wana Sababu?

    Nimeangalia documentary moja nzito YouTube, ambayo inazungumzia hofu inayoongezeka Ulaya kuhusu ongezeko la watu kutoka Afrika, hususan kusini mwa Jangwa la Sahara. Mwandishi mmoja mwenye IQ ya 160 anadai kuwa: “Civilisation is a product of the genetic and cultural makeup of its founding...
  8. O

    JamiiForums Tanzania Mustakabali wa Uongozi wa Kanisa: Papa Ajaye Awe wa Msimamo Upi? Kiliberali au Kihafidhina ?

    Misimamo mikali ya aina yoyote haifai. Tunakosea sana tunapowagawa makardinali katika makundi mawili haya ya kiholela. Kufanya hivyo ni sawa na kulichukulia Kanisa kama taasisi ya kawaida kama vile IMF au Benki ya Dunia, badala ya kulitazama kama Mwili wa Fumbo wa Kristo. Baba Mtakatifu ni...
  9. JamiiForums Tanzania G55 CHADEMA Ni Wazi kuwa ni Mizizi wa Historia Toka CCM..Je kwa CDM ni Mustakabali wa Demokrasia au Ni chanzo cha Mgawanyiko Ndani ya Chama Hicho?

    Wiki hii, tulichangamshwa na habari juu ya kuibuka kwa kundi jipya linalojiita G55 ndani ya chama kikuu cha upinzani nchini, CHADEMA. Kutambulishwa rasmi kwa kundi hili kulitanguliwa na kuvuja kwa mawasiliano ya kundi la WhatsApp linalojiita G55. Mawasiliano haya yalivuja wakati uongozi wa...
  10. JamiiForums Tanzania Kuporomoka kwa Blogu Tanzania: Sababu na Mustakabali wa Uandishi wa Kidijitali

    Katika miaka ya nyuma, blogu zilikuwa moja ya vyanzo vikubwa vya habari na burudani nchini Tanzania. Zilitoa majukwaa huru kwa waandishi, wachambuzi, na watu binafsi kueleza mawazo yao, kushiriki matukio, na kutoa taarifa kwa umma. Blogu nyingi zilianza kama miradi ya kibinafsi lakini zilikua na...
  11. JamiiForums Tanzania MAONI: Jumuiya ya Afrika Mashariki kuiwekea Rwanda vikwazo vya kidiplomasia na uchumi

    Baada ya baadhi ya nchi za Ulaya na Marekani kuiwekea Rwanda vikwazo pia kuwekea viongozi wa Rwanda vikwazo kwa kujihusisha na migogoro ndani ya DRC. Sasa ni dhahiri na muda muafaka kwa jumuiya za Kiafrika na kanda zake kukaa na kupiga kura hatimae kuiwekea Rwanda vikwazo kama ilivyofanya...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vijana Tanzania wanaweza kubeti, kushabikia Simba na Yanga na Uchawa kwisha habari!

    Wakuu asalaam aleykum! Nguvu ya taifa lolote huwa ni vijana, katika rika hili wanaweza kufanya mambo mengi kwa usahihi na nguvu; kuanzia kufikiria kibunifu, kutekeleza mipango, nk. Mfano enzi ya akina Mwlm. Julius Kambalage Nyerere, Warioba, nk. Lakini pia nchi zilizoendelea, gunduzi nyingi...
  13. JamiiForums Tanzania Fungua mwanga wa mustakabali wa sekta- Jiunge nami kufanya kitu cha kimaendeleo na kuvutia sana(Bila mtaji wa kwanza lakini kwa shauku kubwa )

    Habari za mda huu , JIna langu naitwa Geofrey ni mwanafunzi wa shahada ya kwanza ya uhandisi .Pamoja na masomo yangu nimejitengenezea msingi imara wa uelewa wa biashara kwa kusoma vitabu tofauti vinavyoelezea mbinu bora za ujasiriamali, usimamizi wa biashara na mkakati wa soko. kwa kipindi cha...
  14. JamiiForums Tanzania TRA kuna fani hazipo kwenye job careers yenu nini mustakabali wake kwa wasomi wa Tanzania

    Ndugu .. Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo, Kuna fani hazipo kwenye job careers ya TRA. Mustakabali wake ni upi zimekaaje na kwanini hazipo ,je fani zinazotolewa na vyuo vya Tanzania hazijulikani zote. Je, mamlaka mnatusaidiaje wasomi ili fani zetu zote ziwepo kwenye career ya TRA ili...
  15. JamiiForums Tanzania Mwelekeo wa Siasa za Tanzania: Mustakabali wa Taifa Katika Mazingira ya Sasa

    Kwa muda mrefu, Tanzania imekuwa ikisifika kwa utulivu wa kisiasa na mwelekeo wake wa maendeleo. Hata hivyo, kwa kipindi cha hivi karibuni, kumekuwa na mabadiliko kadhaa katika uwanja wa siasa yanayoweza kuashiria mustakabali mpya wa taifa. Katika uchambuzi huu, tunaangazia hali ya kisiasa ya...
  16. JamiiForums Tanzania Leo sio tu siku ya Uchaguzi wa Mwenyekiti CHADEMA. Leo ni siku ya kuamua mustakabali wa miaka 100 ijayo ya Tanzania

    Sidhani kama Wajumbe wa CHADEMA wanalifahamu hili? Tanzania ilipofikia sasa, hasa kutokana na changamoto za rushwa na uongozi mbaya unaogharimu maisha ya wananchi masikini kila kukicha, ni jambo moja tu linaloweza kutubadilishia hali hii na kuhakikisha uwepo wa Tanzania imara yenye maendeleo ya...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Lissu kuhusu mustakabali wako CDM, jifunze Kwa JK kuliko kufuata ya Lowwassa.

    Hellow!! Kuna wajinga humu wanakudanganya kuwa Eti ikitokea umeshindwa uenyekiti Kwa namna yoyote Ile kwamba ukiondoka CHADEMA utasomba umati wa wanachama wengi na kukiua CHADEMA! Hii Si Kweli, ni kujillisha upepo, wewe ni mtu mmoja, CHADEMA ni Taasisi. Ni vyema ukajifunza Kwa Jakaya Kikwete...
  18. JamiiForums Tanzania Fikra duni za mbeba maboksi kuhusu mustakabali wa CHADEMA baada ya uchaguzi wao.

    Mbeba maboksi here I come with my two cents from a distance. Nianze kwa kuwatakia heri ya Krismasi kwenu waumini wa Kristo. Kwa wasio waumini, nanyi nawatakieni sikukuu njema na mapumziko mema. Nimekuwa nikiifuatilia hii mijadala ya uchaguzi wa ndani wa CHADEMA kwa juu juu tu. Sikuwa kabisa...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Taqwa Foundation Yatoa Msaada wa Vifaa vya Skuli kwa Watoto Yatima, Ikiwasaidia Kujenga Mustakabali Bora

    Na Zurima Ramadhan, Zanzibar Jamii imetakiwa kuungana kwa pamoja kuwasaidia watoto yatima ili kujenga upendo na mshikamano baina yao. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Taqwa Foundation Zahra Issa Kassim wakati wa ugawaji wa vifaa vya skuli kwa watoto yatima huko Mpendae Wilaya ya...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: 'Mwalimu, Naomba Usife Kabla Sijafa', Ujumbe wa Kumbukizi ya Kifo cha Nyerere

    https://youtu.be/qcH8Unr_MFo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…