Kuna wengine tunapendeza kwa jitihada ndogo mana muonekano unatubeba, sasa kama wewe huna muonekano, jitahidi uvae vizuri na unukie vizuri. Mtu anaenda jumuia kama anaenda shamba, halafu watu waki “pay attention “ kwetu mnaanza kushangaa.
Kama unajua una sura personal na irregular shape, then...