Money Penny: shoga vipi mbona shingo imejaa rangi nyekundu Nani kakung'ata?!
"Shoga: mume uyo, kani-ng'atang'ata Jana alipotokea safari
Karudi toka safari, sijaonana nae Miezi 6 tangu aondoke, kufika na kufika ananikumbatia mara aning'ate mara aniulize kama nimemmiss
Nikamwambia nimemiss...