mufindi

Mufindi is a town in Mufindi District in the Iringa Region of the Tanzanian Southern Highlands. It is located in the Boma/Mafinga ward. As of 2002, the population of the town was about 5,000.

View More On Wikipedia.org
  1. Shilingi Milioni 550 Zakamilisha Ujenzi wa Shule ya Sekondari Mufindi

    SEKTA YA ELIMU KATIKA JIMBO LA MUFINDI KASKAZINI Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini, Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe, (Naibu Waziri Uwekezaji, Viwanda na Biashara) tarehe 28, Mei, 2023 amekagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya Sekondari Mufindi iliyopo Kata ya Ikongosi. Shule ya Sekondari Mufindi...
  2. Milioni 550 Kujenga Shule ya Sekondari Mufindi

    SEKTA YA ELIMU KATIKA JIMBO LA MUFINDI KASKAZINI Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini, Mhe. Exaud Silaoneka Kigahe, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara amekagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya Sekondari Mufindi iliyopo Kata ya Ikongosi. Shule ya Sekondari Mufindi ina...
  3. Mufindi Kusini Wamzawadia Rais Samia Ng'ombe

    MUFINDI KUSINI WAMZAWADIA RAIS SAMIA NG'OMBE “Zawadi hizi; Ng'ombe Wawili, Mmoja kwa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na mwingine kwa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo zimetolewa na Wana-Mufindi Kusini na mimi ninazikabidhi kwa niaba ya kuwawakilisha wananchi wa Mufindi Kusini...
  4. Mwenge wa Uhuru Watua Wilaya ya Mufindi Siku ya Mei Mosi

    Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile ambaye ni Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge (Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo) leo tarehe 01 Mei, 2023 ameshiriki Mapokezi ya Mbio za Mwenge Wilaya...
  5. Exaud Kigahe apongeza Miaka 2 ya Rais Samia Madarakani kwa aliyoyafanya Jimbo la Mufindi Kaskazini

    Naibu waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara nchini na Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kaskazini Mhe. Exaud S.Kigahe amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Miaka Miwili Madarakani 19 Machi, 2021 - 19 Machi, 2023 Mhe.Exaud S.Kigahe amesema...
  6. Fatma Rembo achangia Milioni 2 UWT Mufindi, aahidi kutoa pikipiki Wilaya zote za Iringa

    MHANDISI FATMA REMBO ACHANGIA MILIONI 2 UWT MUFINDI NA KUAHIDI KUTOA PIKIPIKI KWA UWT WILAYA ZOTE MKOA IRINGA. Mjumbe wa Baraza Kuu la UWT Taifa Ndugu Fatma Rembo mnamo tarehe 11 Machi, 2023 amefanya Ziara Wilaya ya Mufindi ambako aliambatana na Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Iringa ndugu Zainab...
  7. Vibe la Mch. Gwajima Mufindi Usipime

    Ila Watanzania Kwa kutafuta shortcut hatujambo. Nyomi lote hili limeenda Kwa Gwajima kuombewa Ili kupata shortcut za unafuu wa Maisha. Hivi inakuwa namna gani wajameni?
  8. Ziara ya Mbunge David Kihenzile, Jimbo la Mufindi Kusini kijiji kwa kijiji

    Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo Mhe. David Mwakiposa Kihenzile amefanya ziara ya siku saba kijiji kwa kijiji ikiwa ni utaratibu wake wa kukutana na wananchi wake kila Kijiji angalau mara moja...
  9. Mbunge Rose Cprian Tweve ajitolea kutunza kituo cha watoto Yerusalemu, Wilaya ya Mufindi

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa kupitia Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mhe. Rose Cprian Tweve amekuwa chachu ya maendeleo kwa wananchi wenzake kwa kujitolea kutoa matunzo na mahitaji yote muhimu kwenye kituo cha watoto cha Yerusalemu. "Mimi kama Mwenyekiti wake Rose wa UWT Wilaya ya...
  10. Iringa: Mbunge wa Viti Maalum, Rose Tweve afanya ziara wilayani Mufindi

    MBUNGE WA IRINGA, MH. ROSE TWEVE AFANYA ZIARA WILAYANI MUFINDI MKOANI IRINGA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa Mhe. Rose Tweve amefanya Ziara Kata ya Saohill, Upendo, Wambi, Changarawe, Kinyanambo na Kata ya Boma. WANAWAKE WA Wilaya ya Mufindi wanasema Mhe. Dkt. Samia Mitano tena mbele ya...
  11. Mufindi: Polisi waua watu watano kwa madai ni majambazi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limewaaua watu watano wanaosadikiwa kuwa ni majambazi huku wengine saba wakidaiwa kukimbia katika majibizano ya risasi yalitotokea kiwanda cha Daazhong, kilichopo Changarawe, Mafinga Mjini wilayani Mufindi. Watu hao wameuawa katika majibizano ya risasi yaliyotokea...
  12. Mufindi: Watu 18 wamefariki katika ajali ya Coaster na lori

    Watu 18 wamefariki dunia papo hapo, katika ajali ya gari Wilayani Mufindi katika barabara Kuu ya Iringa-Mbeya. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa, ACP Allan Bukumbi amesema kuwa Coaster ilikuwa inatokea Dar kwenda Mbeya Aidha, amesema kwa taarifa za awali chanzo cha ajali hiyo ni kulikuwa na...
  13. Iringa: Ufugaji Samaki Bwawa la Nzivi Mufindi kwa Njia ya Vizimba Waanza

    Mafundi wakijenga Kizimba ndani ya Bwawa la Nzivi, Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa kwa ajili ya ufugaji samaki Uwekezaji mkubwa wa ufugaji samaki kwa njia ya vizimba imetajwa kuwa ni fursa kubwa ya uwekezaji katika Bwawa la Nzivi wilaya ya Mufindi mkoani Iringa. Hatua ya uwekezaji huo mkubwa...
  14. Iringa: Tsh Milioni 100 za wodi ya wazazi zapokewa kwa shangwe kijijini, zapunguza vifo vya kina mama

    Uongozi wa Kijiji cha Igoda, Kata ya Luhunga, Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa umepongeza jitihada kubwa zinazofanywa na Kampuni ya Foxes Treck kupitia Taasisi ya Foxes Community and Wildlife Conservation (FCWC) kwa kujitolea zaidi ya Tsh milioni 100 kujenga wodi ya wazazi na zahanati...
  15. S

    Waziri wa Mambo ya Ndani asonga ugali wa wafungwa katika gereza la Isupilo wilayani Mufindi mkoani Iringa

    Hawa ndio viongozi wa kuivusha Tanzania! Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene, akisonga na kula ugali wa wafungwa katika Gereza la Isupilo, Wilayani Mufindi, Mkoa wa Iringa, alipolitembelea gereza hilo katika ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa taasisi zake mkoani humo.
  16. Huyu Mbunge wa Mufindi Kusini ni hazina ya taifa

    George Michael Uledi. Tabora, Tanzania. June, 2021 Naweza nikasema mchakato wa ndani wa CCM wa kuchakata watia nia wa Ubunge mwaka 2020 ulikuwa bora sana pengine kuliko michakato mingi ya nyuma na pongezi za pekee ziende kwa Chama cha Mapinduzi na Serikali yake chini ya hayati JPM,Makamu wake...
  17. N

    Natafuta mashine ya kupasua mbao

    Wakuu, naomba kuelekezwa pahala ambapo naweza kununua mashine ya kupasua mbao. Hii iwe ni ya kuhamisha na kwa vyovyote vile isiwe inatumia umeme. Isiwe chainsaw maana inaharibu mbao.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…