muda mrefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa wale mlio kwenye mahusiano ya muda mrefu mnafanya nini kuhuisha penzi pale linapokuwa limepoa?

    Habari za wakati huu wanajamvi pendwa la MMU. Ni siku ya tarehe 05/05/2021 kwa wale ambao siku ya jana 04/05/2021 ilikuwa siku ndefu poleni na wale ilikuwa kinyume chake hongera kwenu. Acha niende kwenye hoja moja kwa moja. Nimekuwa kwenye mahusiano na binti wa mtu kwa mwaka na kitu sasa...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa wale waliowahi kutunza siri nzito kwa muda mrefu tukutane hapa

    Binadamu katika mazingira mbali mbali, hukumbana na majanga mbali mbali ambayo mengine ni hatari kabisa. Kuna waliowahi kushuhudia mtu kiauawa na kukaa kimya. Kuna waliowahi kuona mtu anamloga mwingine wakatunza siri. Kuna waliowahi kuona mwenzao anaibiwa wakakaa kimya. Kuna waliowahi kushuhudia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…