mtuhumiwa wa mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    RC Tabora atangaza dau la milioni 50 atakayetoa taarifa alipo, Chacha mtuhumiwa wa mauaji ya watoto wawili wa mke wake

    MKUU wa Mkoa wa Tabora Paul Chacha, ametangaza kuongeza dau la zawadi kutoka shilingi milioni 20 hadi milioni 50 kwa mtu yeyote atakayetoa taarifa sahihi zitakazomsaidia kukamatwa mtuhumiwa anayefahamika kwa jina la Chacha anayesakwa kwa mauaji ya watoto wawili wa mke wake. Paul Chacha ameeleza...
  2. Kijakazi

    Donald Trump: Muuaji wa Charlie Kirk tayari tumemtia nguvuni

    Trump amesema assasin wa Charlie Kirk ameshikwa tayari na amependekeza anyongwe kwa mujibu wa sheria. Soma Pia: Marekani: Charlie Kirk afariki dunia baada ya kupigwa risasi
  3. R

    Mtuhumiwa wa Mauaji Hospitali ya Kenyatta akamatwa na Polisi

    Maafisa wa upelelezi wa mauaji wamemkamata Kennedy Kalombotole, mtuhumiwa mkuu wa mauaji ya kutisha ya wagonjwa wawili katika Hospitali ya Kitaifa ya Kenyatta. Uchunguzi wa awali umebaini kuwa Kalombotole alilazwa hospitalini hapo tangu Desemba 1, 2024. Mauaji ya hivi karibuni yanayomuhusisha...
  4. Mkalukungone Mwamba

    Moshi: Diwani aahidi kutoa donge nono kwa watakaofanikisha kujua mtuhumiwa wa mauaji ya wanandoa

    Vilio na simanzi vimetawala katika mazishi ya wanandoa Geofrey Motta (60) na Blandina Ngowi(53) wakati miili yao ikizikwa katika makaburi ya familia yaliyopo eneo la Kariwa chini, kata ya Rau, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro. Wanandoa hao ambao ni wakazi wa Msufuni, Msaranga, wanadaiwa...
  5. funaku

    Luigi Mangione mtuhumiwa wa mauaji ya bosi wa bima ya afya atiwa nguvuni

    Hii ni taarifa isiyotajwa sana katika vyombo vyetu vya habari nchini.lakini ni tukio linalo-trend nchini Marekani. kijana Msomi na anayetoka kwenye familia tajiri Ndg.Luig Mangione anatuhumiwa kumpiga risasi na kumuua CEO wa kampuni ya bima ya afya maarufu nchini Marekani Thomson Brian. Leo...
  6. Mtoa Taarifa

    LGE2024 Polisi wathibitisha kumkamata Mtuhumiwa wa Mauaji ya Kada wa CHADEMA, Stephen Chalamila

    SONGWE: Jeshi la Polisi Wilaya ya Momba, limesema linamshikilia Mwanaume mmoja ambaye ni Dereva wa Bodaboda anayetuhumiwa kuhusika na Kifo cha Stephano Chalamila (23) ambaye awali aliripotiwa kuwa Mwanachama wa CHADEMA. Taarifa ya Polisi imesema tukio la mauaji ya Chalamila lilitokea Novemba...
  7. Lady Whistledown

    Kutoroka kwa Wafungwa, mapya yaibuka

    UPDATE: August 22, 2024 KUTOROKA KWA WAFUNGWA: SHAHIDI ADAI WALITOKEA MLANGO MKUU KWA KUTEMBEA Taarifa mpya zinaeleza Wafungwa 13 walitembea na kutoka kupitia mlango mkuu wa kituo cha Polisi wakiwa chini ya uangalizi wa maafisa wawili wa polisi waliokuwa zamu usiku Idadi ya Wafungwa ni 13...
  8. Replica

    Shahidi amtambua Jaji kama mtuhumiwa wa mauaji

    Katika hali isiyotarajiwa, shahidi wa tatu kwenye kesi inayomkabili Zephania Ndalawa anayeshtakiwa kwa kosa la kuua kwa kukusudia, amemtambua Jaji Graffin Mwakapeje kama mtuhumiwa wa mauaji ya Thomas Masumbuko. Shahidi huyo, Salome Cheyo (9) akiongozwa na Mwendesha Mashtaka wa Serikali, Musa...
  9. Robot la Matope

    Kanisa Katoliki tuondoleeni utata huu. Mtuhumiwa wa mauaji ya mtoto mwenye ulemavu wa ngozi ni Padri au siyo?

    Msemaji wa jeshi la polisi kasema ni padri, watu wanatwambia ni mlevi mmoja hivi. Which is which?? Pia soma Kifo cha Asimwe Novath (Albino); Baba mzazi na Paroko msaidizi washikiliwa kwa tuhuma za mauaji
Back
Top Bottom