Mwanaume unaempiga vita asiwe kiongozi wa kwanza kwenye nyumba na jamii, ndio mtoto wako wa kiume anaekua kwa kasi ndani kwako, usisahau..
Ni ngumu kuwa juu ya mumeo, na ukatamani mtoto wako wa kiume, aje kuwa juu ya mkewe.
Ngumu sana kumfanya mtoto wako wa kiume awe mwanaume kwa familia yake...