mtoto wa samia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    POTOSHI Je, picha hii ya Abdul mtoto wa Samia na Gen. Muhozi mtoto wa Museveni ni ya 2026?

    Wakuu nimekutana na hii taarifa kutoka kwa baadhi ya watumiaji wa Instagram wakieleza wawili hao wamekutana jana ikiwa ni siku mbili kuelekea uchaguzi mkuu Uganda. Je ni kweli?
  2. fimboyaukwaju

    Fasheni ni kila ovu kulinasibisha na abduli mtoto wa samia

    Ndio fasheni sasa,kila baya kusema kalifanya abduli.Kuna watu wala hawamjui lakini watakuambia kuwa kapita hapa abduli na kabaka ng'ombe Acheni hizo fanyeni kazi,mtakufa na kihoro
  3. The Zanzibar Echo

    Anayoyafanya mtoto wa Samia Suluhu yanafikirisha na kuumiza sana

    Kuna post ya mtu mmoja hapa JF jina namhifadhi anawataka Watanzania waache kumsema vibaya mtoto wa Samia kutumia kodi zetu anavyotaka kwa kigenzo anakula juhudi za mama yake. Huyu mtu alienda mbali akawalaumu wazazi wetu kwa kusema walikuwa wapuuzi kisa hawakupambana kuwa kama Samia. Namuuliza...
  4. bro alex

    Mtoto wa Rais Samia namsikitikia sana

    Wakuu nimekaa kimya ila naona too much, muacheni huyo kijana aishi maisha yake, kama wazazi wetu hawakujipanga kuandaa maisha Bora bahati ya mwenzio msiilalie mlango wazi. Juzi kati akiwa anajianda kusafiri, airport alishtuka watu wakimrekodi ikabidi ahamie upande wa pili ili kulikwepa gari...
  5. comte

    CHADEMA tuachieni Yanga na Simba zetu, zilipambania uhuru wetu. Ninyi mmefanikiwa tu kutuambia Abdul ni mtoto wa Rais Samia

    CHADEMA wanazionea gere Yanga na Simba ambazo katika maisha ya watanzania ni kama usiku na mchana
  6. The Palm Beach

    Rais Samia Suluhu, Kuzaliwa 20/1/20/1960 [64], Tundu Lissu, kuzaliwa 21/1/1968 [56]. Kwa takwimu hizi ni kwa vipi Lissu anaweza kuwa “mtoto wa Samia”?

    Bi. Samia Suluhu Hassan (Rais wa JMT) ni mwanamke. Alizaliwa tarehe 27/1/1960 Umri wake Sasa ni miaka 64.............. Tundu A. M. Lissu (Makamu M/Kiti CHADEMA Taifa Upande wa Tanganyika na mgombea Urais ktk uchaguzi mkuu wa 2020) ni mwanamume. Alizaliwa tarehe 20/1/1968. Umri wake kwa Sasa ni...
  7. R

    Mwalimu Nyerere, Mzee Mkapa na John Magufuli waliwezaje kutenganisha uraisi na familia zao?

    Kuna kelele zinaendelea mitandaoni kuhusu mtoto wa Rais aitwaye Abdul. Kelele hizi japo hazina ukweli wala uthibitisho ila zina kila dalili ya kuwa na uhalisia kwa kiasi flani Kelele zilianza Abdul alipokwenda Uganda Uganda na kupokelewa kama kiongozi wa kitaifa. Watu walihoji. Kwa sasa...
Back
Top Bottom