mtoto wa rais

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nilimnyima siti mtoto wa Rais Rutto( Charlene)

    Week hii miongoni mwa story kubwa mitandaoni ni kuchumbiwa kwa mtoto wa Rais Samuel Ruto na ndugu yetu wa kitanzania Isaya Yunge. Kupitia story hiyo nikakumbuka kisa changu cha sekunde kadhaa na binti huyo. Mwaka 2023 October nilikwenda Mombasa kushiriki mkutano mkubwa wa program ya...
  2. JamiiForums Tanzania MTANZANIA kumuoa mtoto wa rais Ruto wa Kenya

    Kijana wa kitanzania issaya yunge, ametambulishwa rasmi kama mchumba wake na Charlene ruto, mtoto wa muheshimiwa William ruto, rais wa kenya. Za chini chini inasemekana kijana huyu, ni mhitimi WA CHUO cha IFM, ni mjasiriamali, na ndio miliki wa soma app. Naendelea kufatilia wadhifa wake na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kijana Kitanzania kumvisha pete Mtoto wa Rais wa Kenya,Charlene Ruto

    Kijana wa Kitanzania na mwanzilishi wa application ya SomaApp aitwaye Isaiah Yunk(g)e anatarajia kumvisha pete ya uchumba Charlene Ruto katika sherehe ya kimila( Koito ak chaik) itakayofanyika leo Jumamosi huko Narok, Kenya. Miongoni mwa wageni wanaotarajiwa kuhudhuria ni pamoja na wazazi wa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Chalamila asema kituo cha mafuta ni cha mtoto wa Rais Samia

  5. JamiiForums Tanzania Kisa ni mtoto wa Rais ndo muagizaji wa mafuta nchini

    Mtoto wa Rais Samia na mkwe wake na mtoto wa mstaafu wa awamu ya nne ndo waagizaji wakubwa wa mafuta nchini kutokea India na Uarabuni Nchi yetu imekua corrupt na ya hovyo au kwasababu wao viongozi huwekewa mafuta bure? Mafuta lita 4000 bado tunaagiza mafuta India tu na Saudi Kwanini tusinunue...
  6. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wanne wakamatwa kwa kujifanya mtoto wa Rais kwenye mitandao ya kijamii

    Wakuu, Vyombo vya usalama nchini Uganda vimewakamata washukiwa wanne wa uhalifu wa mtandaoni wanaodaiwa kujifanya Binti wa Rais, Natasha Karugire, kwenye mitandao ya kijamii kwa lengo la kuwalaghai wananchi. Washukiwa hao, waliokamatwa kupitia operesheni ya pamoja ya JATT, CID na Idara ya...
  7. JamiiForums Tanzania Mahakama yataifisha mali za mtoto wa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu

    Dalitso Lungu ambaye ni mtoto wa aliyekuwa rais wa Zambia amepoteza magari 79 na mali zisizohamishika 23 baada ya kushindwa kesi iliyokuwa ikimkabili. Kimsingi mahakama ilithibitisha pasi na shaka kuwa Dalitso hakuwa na kipato chochote cha kumwezesha kupata mali anazomiliki hivyo ikaamriwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Asenga aibua ishu ya mtoto wa Rais Samia kupewa unaibu waziri - Sakata la Abdul - ''NONGWA TU''

    https://youtu.be/A9g01IWawAs?si=MpgoXABf4N-5Efu-
  9. W

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Paul Biya alalamikia unyanyasaji na kufuatiliwa tangu kumalizika kwa uchaguzi Cameroon

    Brenda Biya, binti wa Rais Paul Biya, amejitokeza kwenye mitandao ya kijamii akieleza kuchoshwa na kile anachokiita unyanyasaji na ufuatiliaji unaoendelea dhidi yake tangu kumalizika kwa uchaguzi wa urais. Kupitia video inayosambaa mtandaoni, Brenda alisema: “Imetangazwa kwamba Tchiroma ndiye...
  10. I

    JamiiForums Tanzania Rai kwa Abdul, mtoto wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu

    Ndugu wajumbe. Nimekaa nikifikiria namna mambo yanavyoenda, nikafikia hitimisho kwamba Mtu pekee kwa sasa anayeweza kuikoa hii nchi na kumuokoa Mh. Rais Mama yetu Samia Suluhu Hassan ni Mtoto wake aitwaye Abdul. Hivyo nimemwandikia Rai Mh Abdul, aliye karibu naye tafadhali naomba amfikishie rai...
  11. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Paul Biya amewaomba wananchi wa Cameroon wasimchague tena baba yake kuwa rais

    Brenda Biya, binti wa Rais wa Cameroon Paul Biya, amewaomba wananchi wa nchi hiyo kutompigia kura baba yake katika uchaguzi wa Oktoba 2025. Kupitia moja ya matangazo ya moja kwa moja kwenye TikTok, akitumia jina la utani “King Nasty,” alimkosoa kwa uongozi wake wa miaka 43 akisema umesababisha...
  12. JamiiForums Tanzania GE2025 Kama kuwa Mtoto wa Rais ni tiketi ya kutajirika tuoneshe Buggati ya mabilioni ya Madaraka Nyerere na Jesca Magufuli

    Kwenye press yake Jana Mgombea Udiwani Kariakoo, Haji Manara katetea kitendo cha Abdul kumiliki magari ya kifahari eti ni haki yako sababu ni mama yake ni Rais. Huu utetezi wa kihuni ungeupeleka Kwa Wahuni wenzio. Pia soma >>> GE2025 - Haji Manara: Hii nchi ina utawala Octoba 29 hatoki mtu...
  13. JamiiForums Tanzania Abdul mtoto wa Rais ni mfanyabiashara wa muda mrefu swala la yeye kununua gari ni jambo dogo sana

    Watu wanaomfahamu Abdul wanaelewa kuwa huyu Kijana ni mchakarikaji wa miaka mingi. Kwahiyo issue Kama kupata Gari la 1-2B sio jambo la kushangaa. Tuache wivu na chuki .
  14. J

    JamiiForums Tanzania Maisha, hulka za mtoto wa Rais, zaweza kuathiri taswira ya Rais na uongozi wake.

    Mtoto wa Rais kwenye jamii kwa namna Moja au nyingine ni prominent figure. Ndio maana kwa kawaida mtoto wa Rais anatakiwa kupewa Ulinzi muda wote. Watu wa Itifaki wanafahamu. Vyombo vya habari huwa attracted na habari za kushtua, kushangaza, kufurahisha au kuumiza. Hivi karibuni kumekuwa na...
  15. JamiiForums Tanzania Mali za mtoto wa Rais, Abdul Hassan zimeandikwa kwa Majina ya China Xiping yang Chan Tc Milestone Ltd. Kampuni ya Kichina iliyopo Tanzania

    Machine kadhaa na magari mfano ile Rolls Royce yenye insurance ya Sh.55,000,000 ni mali ya Abdul. Ameiandikisha kwa China Xiping yang Chan Tc Milestone Ltd. Kampuni ya Kichina iliyopo Tanzania. Nchi inamegwa halafu wanaweka majina ya Wengine Britanicca
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA Hoja ya Gwajima 'Kwa mfano Mtoto wa Rais akitekwa, akatobolewa macho utajisikiaje ? Hoja hii waifanye iwe kubwa sana

    Kundi kubwa la Wamama wa Tanzania , Ambao wengi Wana Elimu za kawaida kabisa , Wanaelewa hii Hoja ,japo ni mfano !!. Fikiria unamwambia Mama wa Moshi huko Ndani Ndani... Mtoto wako anatekwa, anauliwa , Rais yuko kimya , Je angekua ni mtoto wa Rais ametekwa, Rais angekaa kimya?. Kati ya Hoja...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi mbunge wa Kinondoni yuko sawa kichwani kweli? Mtoto wa Rais ndiyo nani kwenye nchi? Wazazi wa watoto wengine wao hawana uchungu?

    Nchini Tanzania, Mbunge wa Jimbo la Kinondoni Abbas Tarimba amemshutumu vikali mbunge mwenzake wa chama tawala CCM kwa kukosoa juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan huku akiziomba mamlaka kumchukulia hatua. "Kuna mtu mmoja humu ndani mwenzetu, mbunge, tena ana nafasi ya kuzungumza...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho uhuru wa Angola: Rais wa Angola atoa msamaha kwa makumi ya wafungwa, akiwemo mtoto wa mtangulizi wake

    Rais wa Angola atoa msamaha kwa makumi ya wafungwa, akiwemo mtoto wa mtangulizi wake 27 Desemba 2024 Picha maktaba:. João Lourenço, rais wa Angola. Picha ya faili: Cia Pak/ONU José Filomeno Dos Santos, mtoto wa rais wa zamani wa Angola aliyefungwa jela kwa udanganyifu, amesamehewa na kiongozi...
  19. 5

    JamiiForums Tanzania Picha: Mjue Abdul Halim Hafidah Ameir, Mtoto wa Rais Samia

  20. JamiiForums Tanzania Ezekiah Wenje: Abdul Mtoto wa Rais Samia ni Muungwana sana hadi alikubali kwenda Tegeta kwa Lissu...

    MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje ambaye anatuhumiwa kumpeleka Abdul kumhonga Mapesa Tundu Lissu. Wenje anasema Tundu Lissu alikuwa anadai pesa zake za Matibabu, Abdul ikabidi amfuate Tundu Lissu Tegeta kichukua Documents za matibabu ili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…