Wakuu,
Mkuu wa Majeshi Uganda, Muhoozi Kainerugaba, ameibua mjadala mkubwa baada ya kuandika ujumbe kwenye mtandao wa X akidai kuwa ana mamlaka ya kumzuia Robert Kyagulanyi Ssentamu, maarufu kama Bobi Wine, kushiriki tena katika chaguzi za Uganda.
Kupitia ujumbe huo uliowekwa mtandaoni Januari...
Mods tafadhalini msipeleke post hii jukwaa la Uganda, Lile jukwaa halipo active
Hii leo taasisi ya haki za Binadamu Uganda imemuomba Muhoozi kumuachia Edward Mutwe, Mlinzi mkuu wa Bobi Wine (Mpinzani mkuu Uganda) aliemteka na kumpa mateso makali.
Muhoozi alijibu
LOO! Kama hawa watu...
https://x.com/HEBobiwine/status/1920087242871112128
Edward Mutwe, ambaye ni mlinzi mkuu wa kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Uganda, Bobi Wine, alitekwa na mtoto wa Musebeni ( Muhoozi ) tarehe 27 Aprili 2025.
Leo hii kafikishwa mahakamani akiwa kwenye hali mbaya sana anabebwa.
Haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.