mtoto

Mtoto (1 April 1983 – 24 May 2011) was a British Thoroughbred racehorse. In a career which lasted from 1985 until 1988, he ran ten times and won seven races. He showed some promise as three-year-old in 1986, but emerged as a top-class horse in 1987 when he defeated The Derby winner Reference Point in the Eclipse Stakes at Sandown. In 1988, he was the dominant middle-distance horse in Britain, winning a second Eclipse Stakes and taking the King George VI and Queen Elizabeth Stakes.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua utaratibu wa kuadopt mtoto kwa hapa Tanzania

    Habari za majukumu? Naomba kujua utaratibu wa kuadopt mtoto kwa hapa Tanzania
  2. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Samia (Wanu): Sitamani Kuonekana Mtoto wa Rais Nikiingia Mahali/Naumia Mzazi Akitukanwa

    "Kuna mahali naingia nafanya kazi zangu naondoka bila Watu kujua kama nilikuwa pale, lakini unapokwenda kwenye shughuli za kijamii hasa harusi kuna Watu lazima wanitambulishe kama mtoto wa Rais, ile huwa inanifanya nisiwe huru katika mazingira yale" - Mhe. Wanu Hafidh Ameir, Mbunge na Mwenyekiti...
  3. JamiiForums Tanzania Una miaka 23 na 'Unambaka' Mtoto wa Miaka 4, hivi Serikali na Mahakama kwanini hawa 'Wapumbavu' msiwe 'Mnawanyonga' tu moja kwa moja?

    Mahakama ya wilaya ya Ruangwa imemhukumu Juma Saidi Selemani almaarufu kama Dj Mushizo (23) mkazi wa Kijiji cha Nandanga wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi kwenda jela kifungo cha maisha kwa kosa la kubaka mtoto mwenye umri wa miaka minne. Hukumu hiyo ya kesi ya Jinai namba 3071/2024 imetolewa na...
  4. JamiiForums Tanzania Mbivu na Mbichi za kuzalishwa ukiwa bado ni Mwanafunzi wa Chuo

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida wanafunzi wengi kuanzia kidato cha tano na Sita wanadhani Maisha ya Chuo ni ya Starehe sana bila kujua undani wake. Baadhi ya wanafunzi huenda Chuo wakiwa na matumaini makubwa sana ya kutimiza ndoto zao. Lakini Ndoto hizo hukwamishwa na vitu vingi hasa kwa wale...
  5. JamiiForums Tanzania Mtoto miaka 4 apasua kioo cha basi la Shabiby kwa manati

    Mtoto wa miaka 4 avunja kioo cha Shabiby kwa manati Basi la Shabiby Line lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Dodoma lilichelewa kwa takriban saa moja na nusu Agosti 14, 2024, baada ya mtoto wa miaka minne wa Kijiji cha Ndolela, Iringa, kuvunja dirisha la basi kwa manati kutokea upande wa pili wa...
  6. JamiiForums Tanzania Duru: Chatanda tulikuonya usicheze na mtoto pendwa

    "....kaka, Mary mda wowote ataundiwa zengwe na kutupwa nje ya uringo. Si una kumbuka alimshikia bango dogo kuhusu wanawake kudhalilishwa kule mkoani? Basi bwana, kumbe dogo hakufurahishwa! Na mama mtu alimwambia dogo akaushe dawa yake ipo jikoni." "....sasa mbaya zaidi imegundulika Mary alikuwa...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Msaada. TRICHLOROACETIC ACID. hiyo dawa naweza kuipata sehemu gani dsm ninauhitaji nayo wa haraka sana ni kwa ajili ya mtoto

    TRICHLOACETIC ACID. hiyo dawa naweza kuipata sehemu gani dsm ninauhitaji nayo wa haraka sana ni kwa ajili ya mtoto
  8. JamiiForums Tanzania Mtoto wangu anatafuna meno tiba yake nini?

    Jf doctors na wadau naomba msaada wa mawazo, mtoto ni wa mwaka mmoja ni wa kike nifanyeje ili kutibu tatizo
  9. JamiiForums Tanzania Haki kisha kabla mtoto wako hajafika chuo wamefanya hili

    Hakikisha Angalau amesafiri nje ya nchi Angalau nchi mbili. Elimu matembezi ( exposure) ndio elimu kubwa kuliko elimu ya chuo. Vyuo sasa ni vyanzo vya mapato vya wamiliki sio vyanzo vya elimu. Ndio maana bado shahada na stashshada za elimu Zina Endelea kutolewa wakati kunamafuriko ya walimu...
  10. JamiiForums Tanzania Naombeni hekima zenu; Natafuta mtoto na mke wangu hajafanikiwa kubeba ujauzito

    Ndugu wana Jf natumaini mko salama ndugu zangu. Ndugu zangu katika vipindi vilivyopita ijulikane nilikua natafuta mke na Mwenyezi Mungu amenijalia nimepata mke na nimeoa. Ndugu zangu mimi na huyu mke wangu tulikua tunatafuta mtoto katika siku zake tulizo amini ni siku za hatari ila cha ajabu...
  11. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Neymar

    Hivi huyu mtoto wa Neymar mnamuonaje wazee, mwanetu hajapigwa kweli hapa? Hata kama mama ni mzungu pure, sijawahi kuona mtoto chotara akachukua sifa za mzazi mmoja tu
  12. JamiiForums Tanzania Natongozwa na watoto waliozaliwa mwaka 2000, yani nitwachapa nyie! ohoo!

    Ni kwamba nimekosea kuwapa namba yangu ya whatsapp au? mbona watoto wa 2000 mnaanza kunitongoza bibi yenu tena? sasa mtapita wapi na mimi "eti, Tsup ma, how ya doin' baby send me your photo ma, you love my swaga? hey babe, lil mama hey honey money money penny i got money for ya'' yani huku...
  13. JamiiForums Tanzania Mke kagundua nina mtoto nje

    Habari waungwana. Nilioa 2015, ila kabla ya kuoa nilisha zaa na mabinti wawili, na mke siku mbuki kama nilimwambia au laa. Iissue kuazia juzi naona namtumia msg, hajibu na piga hapokei, nikasema labda yuko busy nakazi, maana si ishi nae karibu. Bi mkubwa leo kanipigia cm,kaniambia mkeo...
  14. JamiiForums Tanzania Mzazi/Mlezi: Unachukua hatua gani za kiusalama kumlinda mtoto wako dhidi ya vitendo vya kiunyanyasaji wa kingono?

    Habari! Bila shaka Wana JF wote tumepata habari ya kusikitisha juu ya binti aliyeingiliwa kingono na wanaume watatu baada ya kuhisiwa kuwa ametoka na mume wa mtu (mwanajeshi). Kwa muktadha ule, wale vijana walifanya unyama sana kwa yule binti tena wakaona wamrekodi na kurusha katika mitandao...
  15. JamiiForums Tanzania Kwa mtazamo wako unadhani huyu mtoto alikuwa anawaza nini wakati akimtazama huyo bibi

  16. JamiiForums Tanzania Umasikini wa mtoto umefungwa ndani ya fikra na akili ya mzazi! Tusiwalaumu watoto tu wakati mwingine!

    Umasikini umefungwa ndani ya fikra na akili ya mtu. Wazazi kama fikra zao ni za kimasikini huwa na uhakika uzao wake wote watakuwa masikini. Katika jamii ninayoishi kuna watoto wengi ambao tunawasomesha shule za umma na za binafsi. Sasa hizi shule za umma (za Serikali) kutokana na changamoto...
  17. JamiiForums Tanzania Mtoto mwenye kasi zaidi Duniani akazaliwa

    Kwenye riadha huko Duniani miaka ilee palipata kutokea Mwamba alieitwa Tim Montigomery raia wa Marekani. Siku Moja Tim alikimbiza upepo huku akisindikizwa na makelele ya wapenzi watazamaji wa Mchezo huo wengi wao wakiwa wamarekani wenzie na kufanikiwa kuwa bingwa wa mita 100. Wakati hayo...
  18. JamiiForums Tanzania Nimenyimwa mtoto kisa eti sijamaliza mahari

    Wakuu kuna makabila yana mambo ya ajabu sana hasa hasa ya kanda ya ziwa hususuani wale weupe ti wanaopatikana kanda ya ziwa wale akina macho ya makengeza yaani kwao mtoto wa kike ni source of income yaani Nimeambiwa ili niweze kumchukua mtoto lazima nimalize mahari aisee daa mimi niwadindia...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Mtoto kutapika damu, amepewa dawa ya vidonda vya tumbo lakini tatizo haliishi

    Habari, Nina mtoto wa miaka 7 anatapika damu fresh. Tatizo hili limetokeza Kama siku 18 zilizopita. Nimempeleka hospital ya Benjamini Mkapa . Kwa kutumia kipimo Cha kuingiza tumboni wamegundua ni vidonda vya tumbo (gastric ulcers). GERD with LPR Nimepewa dawa za anti acid, PPI's na anti...
  20. JamiiForums Tanzania Aliyemuoa mtoto wa Rais Hussein Mwinyi ndio kaoa,sie wengine tulioa ili mradi tusije kufa bila kuacha watoto

    Mwanamke anakupa stress ukienda kwao mlango wa jikoni ukiupiga teke unadondoka. Choo mlangoni wameweka gunia au khanga Kanyumba kenyewe ka slope sebuleni ndio stoo ya kutunza udaga. Ukimleta mjini akaanza kutakata anaanza maringo bila kujali umemsitiri. Huyu mwamba wa Arusha aliyeoa mtoto wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…