Huyu ni mkuu wa wilaya huko Shinyanga, amejitoa kuhakikisha mabinti wote waliochaguliwa kuendelea na 'high school' wanawasili mashuleni.
Sasa kuna baadhi hawajawasili shule walizochaguliwa. Hivyo ameamua kuwasaka nyumba kwa nyumba. Kwa madai yake anasema mabinti hao wanatarajia kuolewa hivi...