mtatiro

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sifi Leo

    Uwezi kuwa mpinzani, ukajiunga ccm UNAENDELEA na akili zako? Mtatiro amekuwaje hivyo hivi?

    Leo mtatiro anawaamisha watumishi walio kuwa na shida ya ubadhifu na matumizi mabaya ya MADARAKA alafu mtatiro anaamua kama jitu la CCM na sio Cuf? Hivi Mtatiro Ujui ukifa UTAKUTANA maelf self?Ujui kama lipumba yupo Alie kujenga?kweli ccm imekubadili akili? Naumia sana WIZI ULIO kuwepo...
  2. Roving Journalist

    Responded DC Mtatiro: Veta Shinyanga ina nafasi 179 za bweni lakini Wanafunzi wapo 229, nimeelekeza darasa moja liwe bweni

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA ZA BAADHI YA WANAFUNZI WA VETA SHINYANGA KUPORWA NAFASI ZA BWENI UTANGULIZI Chuo cha VETA Shinyanga hadi napotoa taarifa hii, kina uwezo wa kupokea wanafunzi wa Bweni 179 tu. Huo ndiyo uwezo wa juu kabisa wa chuo. Katika mwaka huu wa masomo wa 2026...
  3. Roving Journalist

    Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni

    Wakili Peter Kibatala, Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro pamoja na Wananchi wengine wameingia katika mjadali mzito kuhusu kauli ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Albert Msando aliyoitoa akimtumia ujumbe Askofu Josephat Gwajima. Albert Msando ambaye kitaaluma ni Wakili alisema Askofu...
  4. Waufukweni

    DC Mtatiro atoa maelekezo kwa TARURA baada ya kukuta barabara haipitiki

    Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Wakili Julius Mtatiro amelazimika kumpigia simu Meneja wa Wakala wa barabara Vijijini TARURA mbele ya wananchi wakati wa mkutano wa hadhara kupata ufafanuzi juu ya ujenzi wa barabara iliyopo katika kijiji cha Shatimba kata ya Nyamalogo halmashauri ya Shinyanga. Hayo...
  5. Pfizer

    Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro, amelifunga kanisa la CHURCH OF GOD lililoko kijiji cha Mendo, Tarafa ya Itwangi

    MTATIRO ALIFUNGA KANISA LINALOKATAZA KINA MAMA WASIENDE KUJIFUNGULIA KLINIKI Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro, amelifunga kanisa la CHURCH OF GOD lililoko kijiji cha Mendo, Tarafa ya Itwangi, Wilaya ya Shinyanga ili kupisha uchunguzi maalum. Akiambatana na Kamati ya Usalama...
  6. Pfizer

    Shinyanga: Mkuu wa Wilaya Mtatiro, abomoa Karavati lililochakachuliwa kwenye Barabara ya Lyabusalu Mwajiji

    MTATIRO ABOMOA KARAVATI LILILOCHAKACHULIWA Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro amesimamia ubomoaji wa karavati moja kati ya sita, lililokuwa linaendelea kujengwa, katika mradi wa shilingi 111,822,000 (Mil. 111) wa barabara ya kilomita 5 wa Lyabusalu Mwajiji - Halmashauri ya...
Back
Top Bottom