mtanikumbuka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    Ushauri kwa vijana: Hakikisha ndani ya miaka hii 4 ya Rais Samia umekaa mahali sahihi. Mtanikumbuka

    Hello! Sasa hivi kwenye sekta ya utalii fursa ziko wazi, kwenye sekta ya madini fursa ziko wazi, kwenye sekta karibu zote kuna fursa nyingi. Kijana badala ya kushinda kwenye mitandao ya kijamii kusubiri post inayohusu serikali ukomenti negative tumia huu muda kuhakikisha aidha unaingia kwenye...
  2. Mhaya

    Rais Magufuli alikuja kama Messiah kisha akaondoka na kuacha ujumbe "MTANIKUMBUKA..."

    Ilikuwa wakati wa jioni huko vijiweni vya kawaida, pale mtaani, ambapo sisi marafiki tulikuwa tumekaa chini ya mti mkubwa, tukinywa chai moto na kutoana hadithi za maisha. Mmoja wetu, yule anayependwa na mazungumzo ya siasa, akaanza kwa sauti ya kushawishi: "Eh, rafiki zangu, mnakumbuka ile siku...
  3. M

    Najua ipo siku mtanikumbuka kwa mazuri na si kwa mabaya~~ Hayati Magufuli

    Binafsi nilijua tutamkumbuka lakini siyo kwa haraka na mapema namna hii. Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuwataja watekaji kuliko kuwa mtekaji, yani ni bora uteke uuwe utalindwa na dola kuliko ujitokeze uwakemee wauaji utakamatwa na dola!! Nchi yetu sasa ni hatari zaidi kuuchambua ufisadi...
  4. Pdidy

    Simba kaen kimachalee nimeota june 15 "Tunacheza" "Msijisahau mtanikumbuka hili

    WANASIMBA WENZANGU NAWAJULISHA JANA NIMEOTA KITU NA NAIONA DERBY YA JUN 15 IKICHEZWA NAWASHAURI MKAE KWA MKAO WA KUCHEZA JISAHAUNI...,,MTABEBBA 5
  5. J

    Hayati Magufuli: Mtanikumbuka, msema kweli ni mpenzi wa Mungu!

    Binadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi siyo nyingi nazo zimejaa shida na mateso inasema Biblia Matendo na maneno yenye kuwapendeza binadamu wenzako hukumbukwa milele. John Pombe Joseph Magufuli tutakukumbuka kama mtetezi wa watu wa hali ya chini kabisa. Rip. Nawasalimu kwa jina...
Back
Top Bottom