mtaji mdogo

  1. profHarryEnock

    Paradigm Mpya ya Uchumi: Kuibua Faida Kubwa Kutoka kwenye Mtaji Mdogo – Dhana, Mbinu na Hesabu za Kiuchumi za Mafanikio ya Kibiashara

    Katika ulimwengu wa biashara za kisasa, dhana kwamba "mtaji mdogo hauwezi kuzalisha faida kubwa" ni kasumba ya kifikra inayotakiwa kuondolewa. Katika tafsiri ya kiuchumi, mtaji (capital) si lazima uwe mkubwa ili kuzalisha thamani; bali ni uwekezaji wenye tija (productive allocation of resources)...
  2. youngkato

    Anza Biashara Hizi kwa Mtaji Mdogo wa Chini ya 20,000/=

    Kama una chini ya Tsh 20,000, bado unaweza kuanza biashara halali na yenye faida. Hapa kuna mifano ya biashara kumi unazoweza kuanza leo, zikiwa na ushauri wa hatua kwa hatua. 1. Biashara ya Mikate na Vitafunwa Je, unajua kuwa kwa kutumia unga, sukari, mafuta na jiko la nyumbani tu unaweza...
  3. Justine Mitumba

    Hili tatizo la ajira ni kubwa sana tukubali kuanza hata kwa mtaji mdogo

    Nawashauri vijana tukubali kuanza biashara hata kwa mtaji mdogo tafuta kizimba au sehemu mnadani omba bidhaa kwa mali kauli Ukihitaji ushauri zaidi ni Follow Justine mtasiwa au Justine mitumba.
  4. Frank Mazagazaga

    SIO LAZIMA UWE NA MILIONI ILI UTOTOLESHE MAYAI – WAKATI MWINGINE UNAHITAJI TU KUONESHWA NJIA SAHIHI KAMA MIMI

    Wakuu wa JF, habari za kazi na maendeleo. Miaka ya nyuma nilikuwa naamini kutotolesha mayai ni kwa watu wenye incubator za bei mbaya – zile za laki mbili mpaka milioni. Nilikuwa natamani sana kufuga kuku kwa njia ya kisasa lakini nilikwama mara kwa mara kwa sababu ya bajeti. ○●○ Mpaka...
  5. Prof_Adventure_guide

    Hustle Smart: Vijana Tuamke – Mtaji Mdogo, Ndoto Kubwa

    Kama una ndoto ya kutoka mtaa mpaka kwenye success ya ukweli—basi lazima ujue hii dunia haimsubirii mtu. Haina time ya kusikiliza visingizio. If you wanna make it big, start where you are, use what you got, and do what you can. Hii ni sayari ya wanaojituma, sio ya walalamishi. WHY BIASHARA...
  6. KING MIDAS

    Anza biashara ya printing, scanning na photocopying kwa mtaji mdogo tu.

    Mashine ni mpya kabisa, imetumika kwa miezi miwili tu. Unafaa kwa matumizi ya ofisi, chuo, Stationary na biashara. Bei poa 2,000,000/- karibu tuongee. 0712302556, 0684240927
  7. Mtumishitu

    Biashara ya dagaa ndani na inje ya inchi ni hapa

    Habari ya leo wanajamii forum ?natumaini tunaendelea kupambana na kuendesha gurudumu liende mbele. Waswahili wanasema ili usianguke na baiskeli hauna budi kukanyaga pedeli ili isonge mbele na ukiacha kukanyaga lazima udondoke.Hivyo endelea kukanyaga MUNGU WA WOTE Haijalishi kiasi gani tunamkosea...
  8. KING MIDAS

    Unaweza kuwa tajiri kirahisi, mtaji mdogo tu fanya biashara ya bucha la nyama ya ng'ombe

    Wazo: BUCHA La NyamaCapital: 4MBidhaa: Nyama ya Ng'ombeKwanza, Biashara hii ni Fursa nzuri sana ikiwa tu itaendeshwa kwa Ufanisi na kwa kutumia vifaa vya kisasa, kwasabb NYAMA inalika kila kona ya nchi. Nataka nikupe mchanganuo mzima kuanzia Mtaji hadi FAIDA inavyopatikana. GHARAMA: 1. Frame...
  9. Joseph Kadasula

    Ushauri wa biashara

    Habari wana Jamii forums? Naomba kujua zaidi kuhusu biashara ambayo naweza kuanza kwa mtaji mdogo na ikakua na kufungua fursa zingine za kibiashara. Binafsi nimekuwa nikiwaza sana kuhusu stationery yenye electronics, car wash na grocery. Naombeni mawazo yenu hapa wakuu
  10. Mr Beach Boy

    Tatizo Sio business idea, tatizo ni mtaji mdogo, biashara zipo NYINGI Ila limit ni mtaji mdogo.

    Biashara zipo kila Kona biashara yoyote ukiinvest Hela hata biashara ya makopo inaweza kukutajirisha. Ila tatizo linakuja kwenye mtaji how to get capital malegend AU tips Gani hutumika kukuza small Business mpaka iwe huge
  11. music mimi

    Biashara ya stationery ya mtaji mdogo iliyoongezewa thamani

    Wakuu naomba mawazo yenu. Nina mpango wa kuanzisha stationery ya mtaji mdogo around mil 5 yani umo kila kitu mpaka fremu. Naomba ushauri zaidi ya kuprint na kutoa copy pamoja na vifaa kama bahasha, rimu, kalamu, etc Naweza vipi kuongeza thamani kwenye stationery kwa gharama ndogo lakini niwe...
  12. G

    Profit ni kitu muhimu sana kwenye kuamua biashara ya kufanya, ukiwa na mtaji mdogo epukana na biashara zenye faida chini ya 10%

    Hii inawhusu zaidi ambao huiga biashara bila kutafakari kwa kina, Ni muhimu sana kufuatilia asilimia ya profitability Huwezi kuwa na mtaji wa milioni 1 uanze kufanya biashara yenye faida ya 5% Utachelewa sana
  13. ngara23

    Ukiwa na mtaji mdogo usifanye biashara ya kusubiri mteja, Fanya biashara ya kutafuta mteja

    Watu wengi wanafirisika biashara Kwa kufuata mkumbo wa kufungua maduka, bar, vibanda n.k Yaani mtu una million 2 au 3 unachukua mzigo wa kuweka dukani? Ndugu utalia sana aisee, Vijana wanatoka vyuo wanapewa mtaji na wazazi wanakimbilia kufungua boutiques, sijui bar, n.k na mtaji umepewa...
  14. D

    Ipi Biashara nzuri kati ya hizi?

    Salaam Wakuu!! Ni muda wa kuweka vyeti kabatini na kuamua kuchakalika Sasa katika Elimu niliyopewa ni kuanzisha Biashara unique..Na kuanzisha Biashara unique ni changamoto. Mimi mkazi wa Mwanza nimefanya Tafiti nikagundua Biashara ya supu ya pweza ni adimu sana na hii ni kwasababu ya...
  15. Jumanne Mwita

    Kufanya biashara kunafikirisha sana hasa ukiwa na mtaji mdogo unahitaji uwe na back-up usogee

    Nimekaa nikatafakari sana haya maisha kila biashara nikipanga niifanye naona mtaji haukidhi yaani hautoshi. Naona dhahiri kabisa naenda kuanguka maana life mtaani ndio usiseme hakuna hela na mzunguko umekuwa mdogo sana kwa baadhi ya watu wanaofanya biashara. Niliwaza nifanye biashara ya...
  16. steve_shemej

    Phone4Sale Biashara ya simu kwa mtaji mdogo

    Wateja wangu karibuni mjipatie simu kwa bei ya jumla na rejareja pia ukiagiza kutoka China kupitia sisi utapata kwa bei za viwandani kwa watakao agiza pisi nyingi. Tupo Kariakoo pia wateja wa mikoani na nje ya nchi tunawahudumia. Call or WhatsApp +255713861567
  17. Liverpool VPN

    Tuongee ukweli: Soko la pesa la Tanzania (UTT, Hisa N.k) haliwezi kukufanya ukawa tajiri kwa mtaji wako mdogo

    INTRODUCTION. Mr. Liverpool kwa maisha ni mfanyakazi, mfanyabiashara na mmiliki wa vipande kwenye mutual fund.. Nasoma(ga) sanaa watu humu wanasifia FOREX, Mutual Funds (hasa UTT), Government bonds and bills na fixed deposits. BODY:- Soko la pesa Tanzania sio kubwa kiasi kwa maana kuna hisa...
  18. Y

    Biashara ya mtaji mdogo kati ya Dar au Mikoani

    Eti Wakuu wapi ni bora kati ya Dar au Mikoani kuanza na biashara yenye mtaji mdogo mfano 2M
  19. G

    Je, ni biashara ipi nzuri kwa mtaji mdogo?

    Changamoto kubwa katika jamii yetu kwa sasa ni AJIRA hasa kwa vijana, watu wamemaliza vyuo wakiwa na degree nzuri na matokeo mazuri lakini wako mitaani, hakuna ajira pia serikali yetu kila kukicha ni "Kujiajiri". Kwa maoni ni biashara ipi mtu anaweza kuanzisha akiwa na mtaji mdogo kabisa kama...
Back
Top Bottom