mswada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bunge la Israel, Knesset, litapiga kura, mswada uliowasilishwa na kiongozi wa upinzani Yair Lapid, wenye mada "Kuitangaza Qatar kuwa "taifa adui

    Maandishi ya pendekezo hilo ambayo yana kifungu kimoja tu, yanaifafanua Qatar kuwa "taifa adui," na inaeleza kuwa vifungu vyote vya sheria za Israel kuhusu mataifa adui, aina zote za sheria, vitatumika kwake. Chama cha Yesh Atid kinauita mradi huo "Sheria ya Urich," baada ya mshauri wa Benjamin...
  2. Wales Yapendekeza Sheria ya Kuwafunga Wanasiasa Wanaotoa Ahadi za Uongo kwenye Kampeni za Uchaguzi

    Muswada tata unaolenga kufanya iwe kosa la jinai kwa wanasiasa kudanganya wakati wa kampeni za uchaguzi nchini Wales umeibua mjadala mkali kuhusu uhuru wa kujieleza na mustakabali wa demokrasia. Serikali ya Labour ya Wales imewasilisha muswada unaopendekeza kuanzishwa kwa kosa la kisheria kwa...
  3. Iran yapitisha mswada wa kusimamisha ushirikiano na IAEA

    Wanaukumbi. Bunge la Iran limepitisha muswada wa kusimamisha ushirikiano na Shirika la Kimataifa la Kudhibiti Nguvu za Atomiki, IAEA. hatua iliyochukuliwa kufuatia vita kati ya Israel na Jamhuri hiyo ya kiislamu. Spika wa Bunge Mohammad Bagher Ghalibaf hapo awali alitangaza kwamba mpango wa...
  4. Video: Kijana Mkenya ahimiza wenzake kuendelea kuandamana akisubiri kupelekwa hospitali baada ya kuumia

    NAIROBI: Kijana Mkenya ahimiza wenzake kuendelea kuandamana, wakati akisubiri kupelekwa hospitali na ambulensi, mara tu baada ya kuumia. Pia, soma: LIVE: Yanayojiri Maandamano Kenya kupinga Mswada wa Sheria ya Fedha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…