Ndugu wana-jamvi,
Inasikitisha kuona kuwa leo hii nchini, elimu yako, weledi wako, na uchapakazi wako maofisini havina thamani tena. Ili upandishwe cheo, ulindwe usitumbuliwe, au upate mkataba wa serikali, huna haja ya kuwa na akili kubwa—unachotakiwa kuwa nacho ni "Cheti cha Uchawa"...
Bunge la Taifa limeanza hatua ya Usomaji wa Pili wa Muswada wa Bunge Na. 56 wa mwaka 2024, unaolenga kukomesha tabia ya muda mrefu ya hospitali za umma kuwazuia wagonjwa na miili ya marehemu kwa sababu ya madeni ya matibabu.
Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Afya, unaodhaminiwa na Mbunge wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.