msingi

Msingi is an administrative ward in the Mkalama District of the Singida Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 6,439. According to the 2012 census, the population had increased to 7,289.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Msingi mkubwa wa makanisa ya kilokole ya zamani ni kujitenga na uzinzi na ulevi. Sasa hivi msingi mkubwa ni kutoa sadaka

    Habari! Nilitaka kuandika kitabu muda kidogo chenye title inayosema "Kanisa la uzinzi" ila nimekosa muda kidogo, ila ipo siku nitaandika hichi kitabu ili angalau watu wachache wapone. Kanisa la sasa limepatikana, silaha ya mwisho ya Ibilisi ambayo ni roho ya uzinzi inafanya kazi kwa kasi sana...
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali za Mtaa wanajichukulia poa hawafanyi majukumu yao stahiki

    Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Uchira, wilayani Moshi, mkoani Kilimanjaro, wamekusanyika kulalamikia uongozi wa serikali ya Kijiji hicho, kudaiwa kuuza maeneo ya barabara pasipo kuwashirikisha, hali inayowafanya kukosa njia za kwenda kutafuta huduma za kijamii. Chanzo: ITV ***** Nimesoma hiyo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tusilifananishe hili la mabadiliko ya Mawaziri na kisa cha aliyekuwa Waziri katika Serikali ya nchi jirani. Zipo sababu za msingi

    Miaka kadhaa iliyopita (1980s) Rais wa nchi moja jirani aliyekuwa madarakani alienda ziarani Marekani na Waziri wake wa mambo ya nje (Kwa sasa wote wapate ku RIP). Wakiwa huko walifanya mkutano na waandishi wa habari wa huko. Baadhi ya maswali yaliyoulizwa kwa Rais yalimpa shida sana kujibu na...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Jirani anajenga Msingi wa ukuta katikati ya jiwe la mpaka la manispaa, Sheria ya Ardhi inaruhusu hii?

    Habari wadau, Nina kiwanja changu kimepimwa na manispaa ya Ubungo. Jirani yangu naepakana nae ameamua kujenga msingi wa ukuta wake kati kati ya jiwe linalotutenganisha.. Je, yupo sahihi? Sheria ya Ardhi inaruhusu hili kutokea? Wataalamu na wazoefu naombeni ushauri Tazama picha. Kiwanja...
  5. T

    JamiiForums Tanzania AZAM MEDIA hakikisheni watangazaji wenu (Baraka mpenja,Patrick Nyembera n.k) wanapata elimu ya msingi kuhusiana na michezo wanayoitangaza mubashara

    Amani iwe nanyi. Nikiwa kama mdau wa michezo, napenda kuishauri kampuni ya habari ya AZAM kuhakikisha kuwa uwekezaji wao wanaoufanya katika tasnia ya michezo unaendana sambamba na kuwapa elimu ya msingi (basic education) watangazaji na wachambuzi wao. Niipongeze kampuni ya Azam Media katika...
  6. JamiiForums Tanzania Sikubaliani hata kidogo na utovu wa nidhani wa Bernard Morrison, lakini kuna hoja za msingi ni lazima zijibiwe na TFF.

    3ANAANDIKA Mchao Tv KWA MFANO TU Mechi ya Azam dhidi ya Yanga ilipigwa Septemba 6, 2022 (zaidi ya wiki mbili zilizopita, ni siku 16 zilizopita) ambapo mchezaji wa Yanga Bernard Morrison alifanya utovu wa nidhamu kwa kumkanyaga Lusajo Mwaikenda wa Azam kwa makusudi. Kwa mfano Bodi ya Ligi...
  7. JamiiForums Tanzania NHIF mmeacha lengo la msingi na kujiingiza kwenye biashara

    Mwanzoni wakati mfuko huu unaanzishwa ulikuwa unafanya vizuri sana kwasababu ulikuwa unachangiwa na Watumishi wa umma na kuwahudumia watumishi wa umma. Mfuko ulikuwa stable sana. Tatizo lilianza mlipoingiza tamaa za kuufanya kuwa mfuko wa biashara badala ya huduma. Haikupaswa taha kidogo...
  8. JamiiForums Tanzania Kauli za Mkuu wa Mkoa wa Dar, Amos Makalla, zinakiuka Haki za msingi za Binadamu

    Kauli iliyotolewa na Mkuu wa wa Dar, Amos Makala, kwa wazazi wa watoto kuwa atakayemkosa mtoto wake nyumbani, basi anapaswa aende kituo cha Polisi au hospitali kwenda angalia kama yuko huko, ni kauli ya vitisho visivyokuwa na msingi na ni kauli ambayo inakiuka Haki za Binadamu. Najua Mkuu wa...
  9. JamiiForums Tanzania Mambo ya msingi anayohitaji kila mwanadamu

    Maisha ya mwanadamu yanahitaji vitu vikuu vinne:- Chakula Sehemu ya kulala Afya njema Mavazi Chakula Mwanadamu lazima ahakikishe, miaka yote anapata chakula stahiki, iwe bei imepanda au kushuka, na hii ataitimiza kwa kujiwekea miradi mbali mbali ya kibiashara, kilimo, na ufugaji. Ili...
  10. JamiiForums Tanzania SoC02 Tuzikumbuke na Shule za Msingi

    Nimekuwa nikijiuliza Kwa Muda mrefu sana kuhusu Hali ya shule zetu za msingi. Serikali yetu imefanya jitihada kubwa sana katika kuhakikisha takribani kila kijiji kinakuwa na shule ya msingi. Jambo ambalo limefanikiwa kwa kiasi kikubwa mno. Lengo la kufanya hivyo lilikuwa ni kuhakikisha kila...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Elewa msingi na ubora wa wanaume wanaoitwa MARIO ili uanze kuwaheshimu kuanzia leo, Utajiri ni mipango ya Mungu pasipo kujali jinsia

    Habari wadau! Kumekuwepo na lugha chafu sana kwa wanaume wanaozidiwa kifedha na wake zao! Hata imefikia kubatizwa majina mengi mazuri kama Vile Mario, kitonga au ganda la ndizi! Ni majina mazuri kwasababu kisaikolojia majina hayo yameundwa kwa misingi ya Wivu, yaani mtu yoyote anayesikia raha...
  12. A

    JamiiForums Tanzania SoC02 Msingi wa binadamu katika maisha

    Afya ni msingi wa kila binadamu katika maendeleo ya kila siku hvyo bas tunatakiwa kulilinda kwa nguvu zote. Lakini ni ngumu kuilinda kutokana na mazingira na maisha ya kila siku kwamaa vyakula tunavyokula na kadharika. VYAKULA vipo vyakula ambazo sio vzuri kula ila kwenye maisha yetu ya kila...
  13. JamiiForums Tanzania SoC02 Kuchochea hali ya kujiamini pamoja na elimu inayotolewa kwa vijana wa Kiafrika kama msingi wa kujenga ustawi wa taifa la kesho

    Kama ilivyo kwa sehemu kubwa duniani, Afrika pia ni sehemu ambayo inajengwa na nguvu kazi ya vijana kwa asilimia kubwa na kama inavyojulikana kwamba vijana ni watu wenye nguvu, akili na uwezo wa kutenda mambo mengi kwa sababu bado wapo imara. Lakini ni ukweli pia kwa miaka mingi sasa nchi nyingi...
  14. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Afya iliyo imara kwa Taifa la leo ndio msingi imara kwa taifa la kesho

    UTANGULIZI: AFYA:Ni hali kujisikia vizuri kimwili,kiakili,kiroho na kiutu bila kusumbuliwa na ugonjwa wowote. Afya ya binadamu itakua njema kama atafuatilia kanuni na taratibu bora za afya.Afya inajumuisha mambo yafuatayo. 1. Chakula chenye virutubisho vyote vikiwemo protini,wanga,na...
  15. JamiiForums Tanzania Nikifanya jambo la msingi nasikia usingizi, nikishika simu unapotea, kwanini?

    Kwa mfano nafungua kitabu kwenye laptop nisome, dakika chache nasikia usingizi, mikishika simu nipoteze usingizi, namaliza masaa bila kusinzia, ipi trick ya ku win hii hali ili niwe productive?
  16. JamiiForums Tanzania Mwalimu Shule ya Msingi atuhumiwa kumdhalilisha kisha kumbaka mwanafunzi wa darasa la tano Pemba

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba, litampandisha Mahakamani wakati wowote, Mwalimu skuli ya Msingi ya Madungu wilaya ya Chake chake Pemba, Ali Makame Khatib, akidaiwa kumchezea sehemu zake za siri na kisha kumbaka, mwanafunzi wake wa darasa la tano skuli hapo. Taarifa za Jeshi hilo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kalamu na karatasi ni nyenzo za msingi kabla ya kuanza mapambano

    Sisi Kama WATANZANIA au wanadamu Kila mmoja anashughuli ambayo anaifanya ili kumuingizia kipato Cha Kila siku ambacho kitamsaidia kukidhi mahitaji yake binafsi na familia yake kwa ujumla. Na Kama siyo hivyo basi ipo shughuli ambayo Kila mmoja wetu anaamini akishiriki kikamilifu katika shughuli...
  18. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Zaidi ya Shule kumi za msingi za Serikali wilayani Hai ni chakavu, zinatakiwa kubomolewa na kujengwa upya

    Shule nyingi za msingi za serikali zilizopo wilayani hai mkoani Kilimanjaro majengo yake ni machakavu na hayafai kwa wanafunzi kusomea. Nyingi za shule hizo ni zile zilizojengwa kipindi cha ukoloni na baada ya uhuru lakini hadi sasa majengo yake yako vile vile ni machakavu na hakuna ukarabati...
  19. JamiiForums Tanzania SoC02 Elimu ya msingi ni mhimili muhimu katika Sekta ya Elimu

    Elimu ya msingi ni eneo nyeti sana katika safari ya maisha ya mwanafunzi au mtu yeyote. Ni katika elimu ya msingi tu ndipo mtu anafundishwa kujua kusoma, kuandika na kuhesabu ambayo ni mambo muhimu mno kwenye maisha. Kwa hiyo ni muhimu sana kuwekeza kwenye elimu ya msingi zaidi kwa kuwa huku...
  20. O

    JamiiForums Tanzania SoC02 Jiwe la Msingi 5.2: Wanafunzi kuelewa wanachojifunza

    Wanafunzi kuelewa wanachojifunza. Mnamo mwaka 2011, nilikuwa miongoni mwa wanafunzi 80 tuliokuwa tukisoma masomo ya sayansi katika shule fulani ya sekondari mkoani Tabora. Sikuwa miongoni mwa wanafunzi bora katika darasa lile. Na wala sikuwa muulizaji sana wa maswali. Inawezekana hiyo ilikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…