msimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Yanga atapona kweli msimu ujao?

    HAKUNA nchi inajua kuwapamba watu wake wa mpira Afrika kama Tanzania. Mtunisia Nasreddine Nabi kwa sasa anaitwa profesa. Alisomea wapi? Sina majibu. Ukitazama pale katikati ya dimba kuna kiungo Mganda Khalid Aucho, lakini kwa sasa anaitwa daktari. Alisomea wapi? Sina majibu. Ndiyo mpira wetu...
  2. N

    JamiiForums Tanzania KAMA NI KWELI HUU UFUNGUO UTAIPASUA SANA UTOPOLO MSIMU HUU

    Kijana katengenezwa na propaganda akawa mkuubwaa hadi yeye akajishangaa , ukweli ni kwamba hizi teams 3 za bongo zinalipa mishahara ambayo huko west africa wachezaji hawana kabisa lakini Aziz key propaganda yake na jinsi walivyo handle suala lake lita wa cost sana mbeleni huko ***Sharti la...
  3. JamiiForums Tanzania Usajili wetu (Yanga SC) msimu huu

    Foward hatari wa kimataifa fox in the box aliyepachika magoli ya kutosha kwenye mechi chache takwimu zake ni hatari amekuja nchini kutusaidia kimataifa mwite Lazarous Kambole mechi 46 magoli 2. Mengine hawajayahesabu mazoezini. Winga hatari winga wa kuingia nyo kwenye box aliyelitumikia bechi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa bure kwa TFF na Bodi ya Ligi kuhusu utoaji we Tuzo kwa Msimu ujao 2022 / 2023

    Kura zipigwe na Sisi Wadau wa Soka au na Makocha au na Wachezaji wa zamani na siyo na Watendaji wa TFF waliokaa hapo Karume na Vitambi vyao kama Mapipa ya SIMTANK ndiyo Wachague / Watuchagulie Washindi. Huwezi kusema kwa Magoli yote yaliyofungwa katika Msimu wa Ligi Kuu Goli la Fiston Mayele...
  5. JamiiForums Tanzania Mchezaji wako bora wa Msimu wa NBC PL ni nani?

    Mimi nafikiri Fiston Kalala Mayele. Wewe je?
  6. JamiiForums Tanzania Mataifa ya Afrika ambayo yatakuwa na uwakilishi wa vilabu vinne kwa msimu wa 2022/23 michuano ya CAF

    Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) limetangaza nchi 12 ambazo zitatoa timu nne kuwakilisha katika mashindano ya Klabu Bingwa na Shirikisho. • Algeria 🇩🇿 • Angola 🇦🇴 • Congo DR 🇨🇩 • Egypt 🇪🇬 • Guinea 🇬🇳 • Libya 🇱🇾 • Morocco 🇲🇦 • Nigeria 🇳🇬 • South Africa 🇿🇦 • Sudan 🇸🇩 • Tanzania 🇹🇿 • Tunisia 🇹🇳
  7. JamiiForums Tanzania Kocha Yanga anataka kumaliza msimu bila kupoteza mechi

    Baada ya Yanga kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu wa 2021/22, Kocha wa timu hiyo, Mohamed Nabi amesema kuwa wataendelea kupambana ili wamalize ligi bila kupoteza mchezo hata mmoja “Nafurahi tumetwaa ubingwa, haikuwa kazi rahisi, lengo letu ni kuhakikisha hatupotezi mchezo hata kama...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Naingia kulima kahawa Makete

    Hapa wahaya, wanyakyusa na wachaga, wanyiha, wangoni nk nipeni experience ya kilimo cha kahawa , naingia makete serious kulima kahawa, soko la kahawa ni uhakika, though bei zinapanda na kushuka kutegemea msimu na msimu, kipi kigumu kwenye kilimo cha kahawa
  9. JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kuweka tetesi na Taarifa za usajili Ligi Kuu ya NBC kwa msimu ujao 2022/2023

    Salaam Wakuu, Ligi kuu ya NBC ya msimu huu 2021/2022 inaelekea ukingoni huku timu ya Yanga ikiwa na zaidi ya 99% ya kunyakua taji hili. Kama tujuavyo mwisho wa msimu mmoja ndiyo maandalizi ya msimu mwingine. Baadhi ya timu tayari zimeanza kufanya maandalizi kwa ajili ya msimu ujao. Timu nyingi...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nani anaweza kuwa mchezaji bora wa Simba msimu huu?

    Huu ni mwaka wa shetani kwa klabu yetu pendwa ya Simba kiasi cha kumfurusha aliekuwa kuwa kocha mkuu Professor Pablo. Wachezaji wengi wameshuka viwango je kwa msimu huu nani atakuwa mchezaji wetu bora?
  11. JamiiForums Tanzania Bingwa Wa msimu huu anapata kiasi Gani Kutoka Mdhamini mkuu Wa Ligi ya NBC?

    Wakuu Habari ya Jumapili. . Naomba Kujua kwamba ni Kiasi Gani Bingwa Wa Msimu Huu atakipata Kutoka Kwa Mdhamini Mkuu Wa Ligi. . Nimeamgalia Hivi orodha ya fedha atakayoipta Yanga kama Atakuwa Bingwa Wa Msimu Huu sioni fedha atakayoipta Kutoka NBC.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msimu mzima hadi sasa Messi kapata goli 6 tu!! huko League 1 Ufaransa

    Mchezaji mzuri anapaswa kung'aa kwenye timu yoyote na nchi yoyote. Messi kushindwa kung'aa akiwa na timu ya PSG nchini ufaransa kumethibitisha kuwa Messi yuko over-rated!! Ameishia na keshaanza kuwaza kukimbilia Marekani au uarabuni. Mwenzake CR7 hadi sasa ana magoli 18 na ndiye shujaa wa...
  13. JamiiForums Tanzania Nani anastahili tuzo ya mchezaji bora wa msimu EPL?

    Tuambie kwa mtazamo wako, mchezaji gani anastahili tuzo ya mchezaji bora wa msimu? Mimi naenda na Son wa Spurs
  14. JamiiForums Tanzania Unpopular Opinion: Liverpool hatotwaa taji lingine msimu huu

    Baada ya tathmini yangu, nimegundua kuwa Liverpool hatotwaa taji lingine msimu huu na atabakia na kombe lake la Carabao. Wote ni mashahidi, kwenye EPL tumeona moto wa Man City ambaye kwa mechi mbili zilizopita kafunga goli 10 na kuruhusu moja. Man City anapewa nafasi kubwa sana ya kutwaa EPL...
  15. JamiiForums Tanzania Hizi nyimbo tumeziimba sana sisi Wanasimba msimu huu

    Tangu kuanza kwa msimu huu sisi mashambiki wa simba tulikua na matumaini makubwa sana na timu yetu, na hii ilitokana na ukweli kwamba takribani misimu minne tulikua na timu bora sana na hivyo tulifanikiwa kudominate soka la bongo na hata katika medali za kimataifa tulijaribu kupambana kidogo na...
  16. JamiiForums Tanzania Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu ujao 2022/2023

    Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Liverpool. Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri tunavyozipata kutoka katika vyanzo mbalimbali. Karibu...
  17. JamiiForums Tanzania Julio: Simba anaweza kuwa bingwa msimu huu

    Kocha wa Namungo, Jamhuri Kihwelu Julio anasema kuwa Simba anaweza kuwa bingwa endapo wao Namungo watawafunga Yanga hapo kesho kisha Yanga kufungwa na Simba wikiendi ijayo. Julio ameongeza kuwa, wao kama Namungo wanataka kuwafunga Yanga kesho ili kuweza kuvunja mwiko wa kutofungwa msimu huu...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Hersi atikisa Afrika: Peter Shalulile aikataa Mamelodi sundowns, kutua Jangwani msimu ujao

    Injinia Hersi katikisa afrika unaambiwa kimyakimya baada ya kutoka Ivory coast kumsaini Ki aziz ambaye amekiri kwamba Yanga ndiyo klabu kubwa na yenye mafanikio makubwa kabisa Afrika mashariki na kati ,jamaa akatua pale South Africa kimafia kabisa na kufanikiwa kumshawishi Mnamibia Peter...
  19. JamiiForums Tanzania Mnawaona wapi wakulima wa pamba na alizeti msimu huu

    Habar Wana Jf, This year, tmeona mfumuko wa bei hasa kwenye mafuta, Nazungumzia Cooking oil. Siku zote nlikua nawaona WAKULIMA WA malighafi za uzalishaji mafuta ya kula wako nyuma sana, hasa kwenye bei wanazopewa na wawekezaji , lakini wazo langu kwa sasa lmefitika kwani Hawa jamaa Nawaona...
  20. JamiiForums Tanzania Hii ndio rekodi ya Orlando Pirates katika michuano ya Kombe la Shirikisho msimu huu

    Rekodi hii imenitisha, mpaka utumbo umecheza kwa zile beki zile ambazo hazijui kuruka mipira ya krosi kuna maafa makubwa sana. Naiona balaa kubwa sana, yajayo hayafurahishi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…