msimu huu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Chizi Maarifa

    Hizi teams ambazo tumegoma kuzipa Ufadhili msimu huu zikicheza nasi zinauma sana meno

    Tumeona... Kuna huo ujinga kuwa kwa sababu hatujazidhamini basi zinakomaa zinapocheza na Yanga. Ili sasa kuvutia GSM iweke dau. Huo ni ujinga mbwah nyie. Yanga bado ni team bora Afrika kwa sasa. Na ina uwezo mkubwa sana. Tupo nayo na tunatamba nayo. Msimu huu pia tunachukua Kombe. Mtake msitake...
  2. DELETED ACCOUNT

    Baada ya kufungiwa Jamii Forums, ni wazi msimu huu wa ligi unaenda kupooza

    Huu msimu wa mpira unaenda kupooza kama uji wa mgonjwa. Yanga walishalijua hili ndiyo maana mambo mengi wanafanya ya hovyo bila kujali, kuanzia usajili usio na tija, jezi na hata ile milioni 100. Unaweza kudhani naongea kishabiki ila nina maana yangu kuitaja Yanga katika hili. Ni wazi Simba...
  3. ELI COHEN

    Huu ni utabiri wangu wa EPL msimu huu wako ni upi?

    BINGWA: liverpool MFUNGAJI BORA: halaand GK BORA: donnaruma YOUNG PLAYER OF THE YEAR: sesko MCHEZAJI BORA WA MWAKA: palmer TOP SIX: liverpool Man city Arsenal Man Utd Chelsea Tottenham
  4. Ponjoro wa Kinondoni

    Tetesi: Jezi za Yanga msimu huu Kutengenezwa na Nike

    Wadau hivi ni kweli kwamba Yanga walivunja mkataba na Sheria Ngowi baada ya makubaliano na kampuni ya Nike kutiki? Nikweli Nike ndiyo watatengeneza jezi msimu huu?
  5. President of China

    Hizi hapa ndizo jezi mpya za simba msimu huu unaoanza 2025

    Kazi kwenu wachawi toka utoporo
  6. Mstahiki Mea

    Usajili wa kwanza msimu huu Simba

    Karibu Simba SC, Rushine De Reuck. Kwa taarifa zaidi tumia Simba App, Simba Mastori au Instagram Subscriptions. #NguvuMoja
  7. Frank Wanjiru

    Wilson Oruma: MO anataka 67bl zitambulike kama ni deni analoidai Simba kabla hajatoa hela za usajili msimu huu

    "Kwa taarifa zilizonazo Kutoka ndani tajiri anafanya Pressing sana huko. Anataka Kabla hajatoa Pesa ya Usajili Msimu huu Kwanza ile Bilion 67 irekodiwe na itambulike rasmi Kama ni Mkopo anaidai Simba Sports Baada ya hapo waje Kwenye Pesa ya usajili ambayo ameahidi Juzi Kwamba atafanya Usajili...
  8. S

    Yanga wamebeba ubingwa mara nne mfululizo, msimu huu wamechukua makombe yote hapa Tanzania na kisha wakatufunga mechi zote, Simba hatuna Wazee

    Wazee wetu walioshiba makande wameendelea kuongeza mgogoro ndani ya timu yetu, hawaoni shida ndani ya timu yetu, wanaona kufika fainali kombe la losers ni mafanikio makubwa ndani ya timu yetu. Yanga ameshabeba ubingwa mara nne na nilivyomsikia Injinia kule Kigamboni akisema kuwa wanapanga...
  9. mugah di matheo

    Waliochangia Simba kukosa ubingwa msimu huu

    1.Camara ( vs coastal union,Vs Yanga,Vs Azam) 2.Kijiri( vs Yanga) 3.Chasambi (vs Fonten gate) 4. che Malone( vs Azam)
  10. Ponjoro wa Kinondoni

    Tetesi: Hakutakuwa na Tuzo za wachezaji msimu huu

    Zandaaaaaani, ikiwa Simba wataendelea na msimamo wao wa kuogopa kuleta timu uwanjani basi mamlaka zimepanga kutotoa tuzo kwa wachezaji waliofanya vyema msimu huu.
  11. K

    Kwa nini dhana ya ukiritimba(monopoly) utumike kwenye ununuzi wa pamba msimu huu 2025/26?

    Tunajua Tanzania tunatawaliwa na soko huria ambapo kunaruhusiwa ushindani. Juzi Mhe. Mpina aliposhauri kuwa ni kwa nini tunatumia mtindo wa ukiritimba (monopoly) katika ununuzi wa pamba msimu huu alipingwa vikali sana na Mhe. Bashe Waziri wa Kilimo. Mazao mengine kama korosho, ufuta na...
  12. DELETED ACCOUNT

    Yanga wanajua zawadi ya mshindi wa CRDB Cup ilikuwa inaenda kuongezeka msimu huu

    Unajua Yanga au kama ninavyopenda kuwaita Deportivo de Utopolo ni wapuuzi sana. Baada ya kuona Simba inafanya vizuri kimataifa, kwenye ranking, uzinduzi na ushiriki wa AFL, fainali ya CAFCC, tuzo ya mashabiki bora na kuchangia pakubwa katika kuipandisha ligi ya Tanzania, wao wanaona kama...
  13. Nomadiq

    Timu tano (5) bora kwa msimu wa 2024/25

    Shalom wakuu. 5. Tottenham Imemaliza mkiani EPL(17), ila inastahili baada ya kutwaa Europa hivyo kuingia UCL. 4. Liverpool The Reds msimu huu wametwaa EPL, walikua bora sana kabla ya kupoteana mwishoni mwishoni. 3. Inter Milan UCL Finalists Coppa Italia Finalists Serie A Runner ups (kwa...
Back
Top Bottom