Huu sasa ni ule ushamba, na ama sivyo, kuna mahali mshale mkali umepiga utosi wa mtu
Mwenye msiba katulia tuli, kelele za vilio vinasikika kusiko kuwa msiba,
Chadema ni dude moja kuubwa sana na ndiyo maana majizi ya kura sasa hayana amani licha kwamba walichokubaliana wamekipitisha, ila ni...